Usihangaike kurudia Mtihani, Jiunge na Chuo cha Afya kama umemaliza Form Four

Sep 16, 2014
68
5
Chuo cha Utabibu na Sayansi ya Afya Tandabui kinatoa nafasi za masomo ya afya kwa ngazi ya Stashahada na Diploma kwa kozi za Utabibu, Uuguzi, Utaalamu wa Maabara, na Utunzaji Kumbukumbu za Afya.

Sifa: Uwe umemaliza Kidato cha Nne na kuwa na ufaulu angalau alama D ya somo lolote la Sayansi. Kwa maelezo zaidi, Piga simu no: 0712 910 319 au 0762 639 452.
 
PHY=D,BIOS=C,MATHS=D. NO CHEMISTRY. NIMEMALIZA 2011. Vp naruhusiwa kujiunga?
 
Unaruhusiwa kujiunga kwa kusoma health records and information management ambayo unahitaji kuwa na D yoyote ya sayansi na D tatu za somo lingine lolote. Karibu.
 
Haijalishi umemaliza mwaka gani ili mladi tu uwe umefaulu somo la sayansi utapata kozi ya kusoma tunachofuata ni cheti chako cha form four, na kama umemaliza na ukasomea udaktari msaidizi ( NTA LEVEL 5) karibu ujiendeleleze kuwa Daktari. ( NTA LEVEL 6)
 
samahani nauliza ,je mie na D ya chemistry,D ya mathematics ,D ya english, D ya kiswahili na F ya biology na naweza kusoma health record and information management NA TAMANI SANA NIKASOMEE HIYO ILA NAWAZA NAWEZA PATA NAFASI
 
Tandabui Institute of Health,Science & Technology - Mwanza ... Tandabui Institute of Health,Science & Technology, Mwanza. 484 likes · 19
talking about this · 174 were here.
andabui ... www.facebook.com/
TandabuiInstituteO...

Nimekiona, ila prospectas haifunguki, vipi fee structure hebu weka hapa tuisome
 
Back
Top Bottom