Usihangaike kuchimba mashimo ya choo,au wewe unaesumbuliwa choo kujaa mara kwa mara soma hii

Ushirombo

JF-Expert Member
Jan 22, 2013
3,557
2,692
Angalia hii attachment
IMG-20190228-WA0022.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sorry resolution ya image imekua compressed sana,
Hivi ni technology ambayo inakuondolea usumbufu wa kuchimba mashimo kwa ajili ya majitaka,pia inachukua nafasi ndogo sana ardhini na pia inaweza kuwekwa chini ya ardhi isionekane,hivyo nyumba kuonekana nadhifu,inakuepusha na gharama mbalimbali mfano za kunyonya au gharama ya usumbufu ya chambers kutoa harufu mbaya na kuzaliana kwa nzi na insects wengine.Pia inadumu sana na haina maintenance.Inatumia enzymes ambao wanawekwa mara moja,hii husaidia kumeng'enya uchafu na kuacha slurry ambayo kwa accumulation rate yake inachukua hadi 40+yrs kujaa kwa system ambayo ina ukubwa 1mita upana na depth 1mita i.e 1metre cubic by volume.

Maelezo hayo wakuu,na kapicha kidogo
IMG-20180822-WA0072.jpeg

Maji wa sabuni na dawa za kuoshea choo haziuwi hiyo enzymes.
 
hilo tangazo lina faida tu ila hasara hakuna. Haya tupe hasara zake fasta ili tupime na vyoo vingine
 
Sorry resolution ya image imekua compressed sana,
Hivi ni technology ambayo inakuondolea usumbufu wa kuchimba mashimo kwa ajili ya majitaka,pia inachukua nafasi ndogo sana ardhini na pia inaweza kuwekwa chini ya ardhi isionekane,hivyo nyumba kuonekana nadhifu,inakuepusha na gharama mbalimbali mfano za kunyonya au gharama ya usumbufu ya chambers kutoa harufu mbaya na kuzaliana kwa nzi na insects wengine.Pia inadumu sana na haina maintenance.Inatumia enzymes ambao wanawekwa mara moja,hii husaidia kumeng'enya uchafu na kuacha slurry ambayo kwa accumulation rate yake inachukua hadi 40+yrs kujaa kwa system ambayo ina ukubwa 1mita upana na depth 1mita i.e 1metre cubic by volume.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi kweli mfumo huu haujai!??? Mfano kwangu ni udongo wa mfinyanzi hasa yaani haupitishi wala kunyonya maji hata kidogo shimo kubwa linachukua muezi 8 hadi 10 linajaa na kuita gari la kunyonya tena yaani karaha kweli kweli, sasa kwa sehemu kama hii huu mfumo unafaaa

Je mnfanyaje kama kuna mtu anatumia mfumo huu na yuko sehemu kama yangu ya mfinyanzi amefanikiwa hukaa hata miaka mitatu bila shimo au mfumo huu kujaa naomba anipe ushahidi ili nami niutumie kwangu maana nina wasiwasi kama kangu hapa huu mfumo utafaa. Napokea ushauri pia wa nn nifanye kusaidia kuepuka huu hii kadhia ninayopitia.
 
Back
Top Bottom