ExactlyIla ukijua baadhi ya info inakusaidia kupredict tabia yake ilikuaje
Sent using Jamii Forums mobile app
Sio ma ex tu mkuu kuna matukio mengi sanaKabsa kabsa... Tumekutana tunaanzia hapo kuhusu ma x its non of your business
Sent using Jamii Forums mobile app
Chuki baina ya wapenzi huanzia hapa siku zote...hakuna mtu anaweza vumilia historia mbaya ya mwenza wake hata kidogo na ndio maana hata wazazi ukiwapelekea mkwe kumtambulisha na kuwaeleza ndiye unataka kumuoa swali kubwa na la kwanza kabisa huwa "umeshamsoma tabia yake vizuri na umeridhika nae?"
Binafsi sijawahi ridhika na historia za wapenzi wangu wooote niliowahi kuwa nao hata huyu mke wangu sijawahi ridhika na historia yake na kuna baadhi ya vitu aliwahi nihadithia nikivikumbuka tu huwa natamani kumtimua kabisa.
Hutaki kujua alivompa maraha Kasie ? Sasa ndo nimeshakujulisha hivyo
Hutaki kujua alivompa maraha Kasie ? Sasa ndo nimeshakujulisha hivyo
Sent using Jamii Forums mobile app
Upo kama Mimi mkuuKufukua makaburi ni muhimu kujua background yake,experiences zake nk.hii itakusaidia ku-perceive weaknes na strengths zake(kujua ni mtu wa aina gani) .kama kuna mahala pakurekebisha unamrekebisha na pia kujua namna ya kuishi nae na kumfanya awe-comfortable katika mahusiano yenu.