The hitman
JF-Expert Member
- Nov 30, 2017
- 3,673
- 2,279
Hili iweje mkuu ? Tafuta pesa Tu , pogba , samatta & diamond hawana hata certificates hila wanaheshimika kuliko hao wazee WA makaratasinina diploma je nikasome?
Hili iweje mkuu ? Tafuta pesa Tu , pogba , samatta & diamond hawana hata certificates hila wanaheshimika kuliko hao wazee WA makaratasinina diploma je nikasome?
Ni kweli mkuu, watu wana elimu zisisowasaidiaHii bachelor yenyewe natafuta mtu nimuuzie vyeti haina msaada wowote zaidi ya kunitia umasikini...
Sent using Jamii Forums mobile app
Aibu tuliyonayo kwa sasa Masters zinanunuliwa.Point kubwa ambayo namuunga mkono mleta mada ni research topic iwe yenye mashiko wakati unafanya master,siyo unafanya tu litopic lolote ilimladi umegraduate .
Hawa wasipoajiriwa wanakuwa na maisha magumu sana,kwa sababu hawana uwezo wa kutengeneza ajira;wao wanataka kuwa wasimamizi tu.Ndio maana elimu ya kati ni ya muhimu sana katika kuleta maendeleo kuliko hizi ma-degree.Mkuu hizo PhD bongo zimesaidia NN ?wengine weupe tu
OK kuwa na lengo la sifa tu but no money in pocket ni mawazo muflisiHiyo kusoma kwa ajili ya "prestige ya sifa" kama mwenyewe ulivyoandika si ndiyo malengo yenyewe kwa baadhi ya hao wasomi? Kuna ubaya gani kuwa na lengo kama hilo?
Hiv wewe ata chuo umefika kweli? Au unazungumzia masturbation?we ni mzembe! Masters ni kwa ajili ya SPECIALIZATION au kumwandaa mtu kwa Managerial Levels! PhD kwa ajili ya ku oversee mambo yote hayo niliyosema kama yanaenda inavotakiwa kwa kucheza na policies! PhD ni level za matumizi ya nchi kwa kurekebisha panapoleta shida kwa kila nyanja!
tatizo Masters zetu ufundishaj wake inakuwa kama undergraduate
Umeongea philosophically big upWanaosoma sana kwenda 'vertically' (degree-master-Phd etc) hawatafuti maarifa bali wanatafuta nafasi zaidi za kuajiriwa na kuongeza kipato;wanaosoma kuelekea 'horizontal' (ujuzi tofauti tofauti) hawa wanatafuta maarifa na ujuzi wa kutengeneza ajira zao binafsi/kujiajiri.
Yan unakuta mtu anamiaka 40 bado anangangana kutafta ma PHD, kiatu anatembelea mpaka sole inaisha. Kichwani ana ndoto ya kuwa boss. Mwisho wa siku anaishia kuwa muuza duka. Sasa iyo pesa ya kusoma kuto uko ukipiga hesabu unaweza fungua hata kiwanda kidogo cha kutengeneza sabuni za kogomq.Kama nafasi ya kusoma ipo we soma,lakini kama haipo usilazimishe
Mchukue na Bashite mwende nayeUzi wa wasomi huu,acha nirudi kwenye Mahaba yangu.
Asilimia kubwa wanaosoma hizi PhD ni wale walioajiriwa na wanatumia fedha za taasisi wanazotoka au ufadhili kutoka taasisi zingine n.k,na lengo kubwa ni hofu ya kushushwa vyeo n.kYan unakuta mtu anamiaka 40 bado anangangana kutafta ma PHD, kiatu anatembelea mpaka sole inaisha. Kichwani ana ndoto ya kuwa boss. Mwisho wa siku anaishia kuwa muuza duka. Sasa iyo pesa ya kusoma kuto uko ukipiga hesabu unaweza fungua hata kiwanda kidogo cha kutengeneza sabuni za kogomq.
Sent using Jamii Forums mobile app
Uko sahihi!Asilimia kubwa wanaosoma hizi PhD ni wale walioajiriwa na wanatumia fedha za taasisi wanazotoka au ufadhili kutoka taasisi zingine n.k,na lengo kubwa ni hofu ya kushushwa vyeo n.k
Very good insight bro , tatizo watu wengi ni malimbukeni WA hayo mamboYan unakuta mtu anamiaka 40 bado anangangana kutafta ma PHD, kiatu anatembelea mpaka sole inaisha. Kichwani ana ndoto ya kuwa boss. Mwisho wa siku anaishia kuwa muuza duka. Sasa iyo pesa ya kusoma kuto uko ukipiga hesabu unaweza fungua hata kiwanda kidogo cha kutengeneza sabuni za kogomq.
Sent using Jamii Forums mobile app
Bro uko vizuri I like your analysisNina kampuni yangu, huwa wanakuja vijana na Masters zao wanaomba kazi wanazoweza kufanya vijana wenye Diploma, hii inanisikitisha sana....what a waste of time and resources. Husisome Masters kama lengo lako ni kupata kazi nzuri zaidi, kasome kama kuna knowledge gap.....hilo ndio lengo la elimu.
Sent from my iPhone using JamiiForums
NTA level 1? kweli wewe ni mzushi!Sisi wa NTA level 1 tunacoment wapi
Ngobekezela NKOSI Ngobekezela
NTA level 1? kweli wewe ni mzushi!