Usifanye Masters kama lengo lako sio kutafuta PHD

Point kubwa ambayo namuunga mkono mleta mada ni research topic iwe yenye mashiko wakati unafanya master,siyo unafanya tu litopic lolote ilimladi umegraduate .
Aibu tuliyonayo kwa sasa Masters zinanunuliwa.
Wapo watu kazi yao ni kufanya homeworks za wanafunzi kwa malipo. Pia huandika research kwa malipo. Hivyo si ajabu kumkuta aliyemaliza masters anaona aibu kuitwa hivyo kwa sababu hana analolijua. Ni kwa sababu vyeti vimekuwa biashara

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanaosoma sana kwenda 'vertically' (degree-master-Phd etc) hawatafuti maarifa bali wanatafuta nafasi zaidi za kuajiriwa na kuongeza kipato;wanaosoma kuelekea 'horizontal' (ujuzi tofauti tofauti) hawa wanatafuta maarifa na ujuzi wa kutengeneza ajira zao binafsi/kujiajiri.
 
we ni mzembe! Masters ni kwa ajili ya SPECIALIZATION au kumwandaa mtu kwa Managerial Levels! PhD kwa ajili ya ku oversee mambo yote hayo niliyosema kama yanaenda inavotakiwa kwa kucheza na policies! PhD ni level za matumizi ya nchi kwa kurekebisha panapoleta shida kwa kila nyanja!
tatizo Masters zetu ufundishaj wake inakuwa kama undergraduate
Hiv wewe ata chuo umefika kweli? Au unazungumzia masturbation?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanaosoma sana kwenda 'vertically' (degree-master-Phd etc) hawatafuti maarifa bali wanatafuta nafasi zaidi za kuajiriwa na kuongeza kipato;wanaosoma kuelekea 'horizontal' (ujuzi tofauti tofauti) hawa wanatafuta maarifa na ujuzi wa kutengeneza ajira zao binafsi/kujiajiri.
Umeongea philosophically big up

Sent from my SM-J200F using JamiiForums mobile app
 
Kama nafasi ya kusoma ipo we soma,lakini kama haipo usilazimishe
Yan unakuta mtu anamiaka 40 bado anangangana kutafta ma PHD, kiatu anatembelea mpaka sole inaisha. Kichwani ana ndoto ya kuwa boss. Mwisho wa siku anaishia kuwa muuza duka. Sasa iyo pesa ya kusoma kuto uko ukipiga hesabu unaweza fungua hata kiwanda kidogo cha kutengeneza sabuni za kogomq.

Asilimia kubwa wanaosoma hizi PhD ni wale walioajiriwa na wanatumia fedha za taasisi wanazotoka au ufadhili kutoka taasisi zingine n.k,na lengo kubwa ni hofu ya kushushwa vyeo n.k
 
Nina kampuni yangu, huwa wanakuja vijana na Masters zao wanaomba kazi wanazoweza kufanya vijana wenye Diploma, hii inanisikitisha sana....what a waste of time and resources. Husisome Masters kama lengo lako ni kupata kazi nzuri zaidi, kasome kama kuna knowledge gap.....hilo ndio lengo la elimu.

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Yan unakuta mtu anamiaka 40 bado anangangana kutafta ma PHD, kiatu anatembelea mpaka sole inaisha. Kichwani ana ndoto ya kuwa boss. Mwisho wa siku anaishia kuwa muuza duka. Sasa iyo pesa ya kusoma kuto uko ukipiga hesabu unaweza fungua hata kiwanda kidogo cha kutengeneza sabuni za kogomq.

Sent using Jamii Forums mobile app
Very good insight bro , tatizo watu wengi ni malimbukeni WA hayo mambo
 
Nina kampuni yangu, huwa wanakuja vijana na Masters zao wanaomba kazi wanazoweza kufanya vijana wenye Diploma, hii inanisikitisha sana....what a waste of time and resources. Husisome Masters kama lengo lako ni kupata kazi nzuri zaidi, kasome kama kuna knowledge gap.....hilo ndio lengo la elimu.

Sent from my iPhone using JamiiForums
Bro uko vizuri I like your analysis
 
Back
Top Bottom