Usifanye hili kosa unaposalitiwa na Mkeo/Mwanamke wako

Carlos The Jackal

JF-Expert Member
Feb 6, 2017
24,009
71,149
Tofauti nasie Me, Mwanamke anaposaliti kuchepuka ,ameamua kufanya hivo Kihisia, na hii inamaana Akili yake yote inakua imeshajikubali na ipo tayari kwa lolote.

Sasa Basi, Unapotokea umegundua Mkeo, mwanamke wako Kakusaliti, ama umefuma Namba za huyo jamaa na meseji. Ama ni taarifa tu unazopewa nakweli zina uhakika 100%.

USITHUBUTU KUMTAFUTA HUYO JAMAA IWE KWA KUMPIGIA SIMU ,IWE KWA MESEJI, IWE KWA KUMTAFUTA LAIVU ET MUONGEE, VITISHO N.K

USITHUBUTU KUMGOMBEZA MKEO KWA MANENO KAMAA
---kwahiyo uyo jamaa ni bora kama mimi
---Nakulishaa, nakuvishaaa, unaniona boyaa
----unakoswa nn kwangu
----Nakutunza mpaka ndugu zakoo
---Unaniona mie mnyongee

(Broo hayo yote anayajua ,lkn bado aliamua kuchepuka).

alafu wakati huoo huoo, mkeo au mwanamke wako ukaamua kumpa adhab ndogooooooooo ...

Nakuambia, Atakupa K. Utapiga, utasahau, siku mbili zijazo atampelekea muhuni K na ataipiga kama kawa.

Unajua kwann??? Kwa sababu kitendo chako kumtafuta yule Jama..

kwanza kitamfanya Mwanamke awe na huruma sana ,nakujiona yeye ndo kamuingiza Muhun matatizoni ivo lazima ampe Pole kwa kumpa papuchi.

Pili, kwa kumpa adhabu ndogoo,kutamuaminisha kua Huwezi kumuacha !!.

Ufanye nini sasa???.

2-Kama wee ni Don , pambana na anayekugongea mkeo kimya kimyaa. Yaan kimya kimya kama hii michezo ya kinondon, ukimya ambao Utamfanya Jamaa amuogope kama ukoma mkeo. Wakati huohuo nawee unakua sehem salama kisheria...hiii 50-50 , kama mkeo ndio hulika yake, basi akiona jamaa anamkwepa, akitongozwa na mwingine basi ataendelea kupigwa

1-MTESE KIAKILI KIKWELIKWELI MKEO , hapa usimuonee huruma wala nn. Hakikisha unamtesa akili kweli kweli kwanza mfanye ajue umegundua anakusaliti yaan HAKIKISHA AMEJUA KUA UMEJUA KUA ANAKUCHEAT ,Kisha anza kumpa mateso ya akili , kama kulia alie mwezi mzima, hamna kumsemesha ndan wala nn, hamna kula chakula chake, hamna kumshirikisha lolote. Hamna chochote, badili ratiba zako za kuja home nakurudi , kua bize usiku nasimu nakuongeaaa, jifulie , au beba nguo kwa begi peleka kwa dobi zifuliwe jion uje nazo zimeshanyooshwa, usimguse wala kumuomba K, ikiwezekana lala chumba kingine , Wakati huohuo fanya mabadiliko yaan kama kupendeza zidisha kupendeza, ukiondoka acha Ela yake yakula mezani. Kikubwa hakikisha humpi sababu ya kukusemesha....ikiwezekana mrudishe kwao kwanza lkn usimsemee kwa nduguze au nduguzo kwasababu lengo ni kumfunza ila bado unamuhitaji.

Mwezi tu ,utaona Majibu.

Hio ni kwa wale ambao hamuwez kumuacha Mke kisa Unampenda mara umemtolea mahari.

Kwa wenzangu namm, makauzu, ambao tunajiamin, ambao tunauhakika wa kua na mwanamke na kuanzisha mahusiano mapya na familia mpya.... MWANAMKE MSALITI USIMPE NAFASI YA PILI WALA MSAMAHA , YEYE NI MOJA KWA MOJA KUMBEBESHA KILICHO CHAKE, CHENYE JASHO LAKE, ASEPE ZAKE !!

utajiepusha na Kufa mapema, ieleweke kua, Mwanamke anapoanza kukusaliti wewe Mume wake, ujue muda wowote Kufa kwako kupo njian nakupo kwenye mawazo yake, Kama hakupo basi anawaza namna ya kukupumbaza ili mradi kwako aendelee kupata mahitaji na Jina la heshima kua "Mke wa Fulani" lkn kiroho Hayupooooooooooo

Ieleweke pia, Mke anachepuka, lkn hawanaga uhakika kua huko anapochepukia, ikitokea umemuacha ,Ataolewa au haolewi??? Wanajua kabisa.

BAHATI MBAYA SANA NI KWAMBA, UKIONA MKEO ANACHEPUKA, UJUE NAWEWE ULISHACHEPUKAAAAA KITAMBO NA WENDA UNAENDELEA KUCHEPUKA.

NAKAMA WEE HUCHEPUKI. BASI TAMBUA KUA, KUNA MAISHA YA MATESO UNAYEMPA MKEO .

KAMA NAHAPO HAUPO, BASI UJUE, ULIKOSEA KUCHAGUA, NAKWAMBA UMEOA MWANAMKE AMBAYE ,KUCHEPUKA NDIO HULIKA YAKE YAAAAN UMEOA MKE WA WATU
 
mbona mi hivyo vitu havinitishi,nikikuomba msamaha nina limit ya siku za kuomba after that utajijua mwenyewe kama utanisamehe au la,ila hizo drama za kutokulala chumbani etc poa tu tutaishi hivyo hivyo siku yakiisha sawa yasipo isha sawa pia

Hii ulioandika ni kwa wanawake wanao amini furaha wanaipata kwa mume tu,kwa mapigo hayo lazima wadate
Nakubaliana nawee kuna wanawake manunda sana .
Ila kiasili, mpaka mwanamke awe nauwezo wakuhimil hayo, basi huyo ni konkiii !!!.

Wahivo , NAKUFUNGASHIA VILAGO UENDE KWENU, UENDE KUPANGA N.J UTAJUA MWENYEWE UKACHEPUKE HUKOHUKO.

Labda km unazungumzia Kanamume, kanakoabudu Papuchi na bado kalikupata kakaona kama kamekupata kwa bahati nasibu tu.

Kwa ufupi, kanaume, kadogooo, kaogaa, kanalialia, kabebibebi, kanasauti yakike, kanamiko lainiii, kanabadilisha boksa mara mbili kwa siku, kanajifanya kanamapenzi ya dhatiiii, kajingaaa, Bila shaka katakua Kahehe
 
Nakwambia labda huyo mwanaume awe mjinga , Mimi nakufukuza kabisa watoto wangu utaacha ukitaka zaidi nakupasua ubongo full stop.
 
we jamaa umetisha
 
Bila shaka kalikula mbwa hanithi
 
mbona mi hivyo vitu havinitishi,nikikuomba msamaha nina limit ya siku za kuomba after that utajijua mwenyewe kama utanisamehe au la,ila hizo drama za kutokulala chumbani etc poa tu tutaishi hivyo hivyo siku yakiisha sawa yasipo isha sawa pia

Hii ulioandika ni kwa wanawake wanao amini furaha wanaipata kwa mume tu,kwa mapigo hayo lazima wadate
🤔🤔
Marital status: Divorced/Single
Age: 18 - 40
Misc: Financial stable/Bachelor degree holder, could be single mother already.

Dhahania tu
 
Umeo jamaa?
Una uzoefu gani katika mahusiano?
Sijaoa.

Uzoefu ninao kupitia maisha yangu binafsi.

Kupitia maisha ya watu wangu wa karibu.

Anyway ...Kuna Jama angu ni Muhandisi wa barabara saizi yupo chin ya TARURA .

Wiki iliopita nmemtembelea wilayani kwake, nikamkuta ana msala huoo wakugonga mke wamtu na mwenye Mke akawa anamtafuta na kumtisha, mara anamwambia nitakuharibia kazi, sijui nikakupeleka kwa DAS mara ninii.... Mpa kipigo mkewe.

Jamaa akaniambia nimshauri, nilimwambia usimtafute huyo demu, akipiga usipokee simu zake, .

Leo ananitumia meseji...MKE wa mtu kawahi saa 12 nyumban kwake asubuh hii ,kumuuliza mbona hapokei simu.,analia machozi, nakuomba msamahaa
. Labda mpaka sasa jamaa keshapigia bao tano.
 
Kwa taarifa ukikua ndio utajua vizuri.
Lakini tambua kila ndoa inachangamoto zake, na ina namna yake ya kuhandle.
So jua huna uzoefu wowote...
Poa Mkuu, ngoja niingie ,nione !!

Ila kwakua Tabia ni ngozi, changamoto ya Usaliti nitaihandle iviivi sidhan kama nitabadilika.

Nikweli kabisa kila ndoa ina changamoto zake, lkn ukweli nikua, Changamoto ya Uchepukaji, wengi sababu ni zile zile

Watu wanatofautiana kuzitatua ,ndo maana kuna mwengine atazuga kakasirikaa wee lkn mwisho wasiku atajirud kwa mkewe .

Mwingine yeye hawez kuhimil yeye anapiga na kuua au ulemavu.

Kwa sisi tunaopenda maisha yetu, aaahhhh Unaacha, unajipa muda, unavuta Kifaa kingine pasipo kujali ulitoa mahari kiasi gani.
 
Nakwambia labda huyo mwanaume awe mjinga , Mimi nakufukuza kabisa watoto wangu utaacha ukitaka zaidi nakupasua ubongo full stop.

Si umeona na mimi huwa nataka mwanaume ambae yupo straight sipendi drama drama kuna mambo mengi ya kufanya mahusiano ni part tu ya maisha
Ukinifuma na nikaomba msamaha usiweze kunisamehe nifukuze
Sio sijui unahama chumba,sijui huli chakula etc ni utoto na ujinga kwangu
Na incase huniachi ukanipa mateso ya kisaikolojia kitakacho kupata mbeleni tusilaumiane.
Wanaume nyie ni weak kuliko sisi ndio maana hamuwezi kuvumilia mkijua tumechepuka tofauti na sisi.Mtu kama mimi adhabu kuu unayo weza kunipa ni kuniacha ila usilete drama hatutoishia pazuri
 
Back
Top Bottom