Usifanye hili kosa unaposalitiwa na Mkeo/Mwanamke wako

Si umeona na mimi huwa nataka mwanaume ambae yupo straight sipendi drama drama kuna mambo mengi ya kufanya mahusiano ni part tu ya maisha
Ukinifuma na nikaomba msamaha usiweze kunisamehe nifukuze
Sio sijui unahama chumba,sijui huli chakula etc ni utoto na ujinga kwangu
Na incase huniachi ukanipa mateso ya kisaikolojia kitakacho kupata mbeleni tusilaumiane.
Wanaume nyie ni weak kuliko sisi ndio maana hamuwezi kuvumilia mkijua tumechepuka tofauti na sisi.Mtu kama mimi adhabu kuu unayo weza kunipa ni kuniacha ila usilete drama hatutoishia pazuri
Unaongea tu wewe.Hujui kitu mdogo wangu.
Utakachokifanya Jamii itaishia kukuona tu Malaya,na watu wataconclud kwamba kumbe jamaa kweli alikua Ana haki ya kukuacha,kumbe wewe uko kwenye ligi na mumeo.
Lakini mwanaume atasifiwa",aah jamaa kachukua kifaa kipya kabisa.unajua bana kata mti panda mti."
Hata ndugu na wazazi wako watakua wanyonge kwa Tabia zako mpya.
Mwanamke Ni tofauti na me.
Jamii nzima inamuangalia mwanamke kama kiumbe mstaarabu.
Hata watakao kuwa wanakuchapa watakugeuza hit and run.sasa hi sio nzuri.
 
Hebu soma vizuri alafu rudi kusoma ulicho andika
Sijui ni wapi nimesema nitamkomoa kwa kutoka na mwanaume mwingine

Jamani eleweni sio kila mtu give fucks of what people think
Hebu tuelewe jf watu tuna background tofauti malezi tofauti na misimamo tofauti na tuheshimu tofauti zetu
Inaonekana hii comment yangu ni mwiba kwa wanaume wengi
Poleni kama nimewakwaza nilikuwa natoa experience yangu
 
[/ QUOTE]
Hapana Dada Wala hujanikwaza mm,kwanza elewa kwamba huu ni mjadala,kila mtu anajadili kwa uelewa wake.
Sasa wewe hujataja utamfanyia nn mme wako asipokusamehe na akaendelea kukutesa kisaikolojia.
Ulichosema Ni kuwa kwa bahati mbaya wanaume sio wavumilivu.
Sasa Dada utamfanyia mateso gani mwanaume asiweze kuyavumilia? Maana nijuavyo mm mwanaume ndio mtu mvumilivu wa magumu kuliko mwanamke.
Week wazi Basi.
Halafu usiwe unachukia katika mijadala.
Mtu anaweza kukuprovoke kidogo tu halafu akakutoa nje ya reli.
 
Binafsi ni mchepukaji mzuri na mara kadhaa wife amestukia ila siku za hivi karibuni nimenotice mabadiliko yasiyo ya kawaida kwamba akistukia au kusikia mambo huwa anajifanya kujisemesha na kunihombeza kiana na kujiapiza uongo na ukweli afu inakuwa imetoka hiyo.

Sasa hapa naanza uchunguzi wa kimya kimya tuu nikibaini sina msamaha hata siku moja siwezi gharamia mhuni hata siku moja na yeye anajua huwa namwambia ,afanye hiyo ligi ila nisijue
 
Basi itakua maana ya kahaba huielewi vizuri au hujajua unataka kuongelea nini.. linapokuja swala la hisia za moyo hata hao makahaba huwa wanakuwa wapole, issue ya sister unaebishana nae hapo ni kwamba anajiweka yeye mbele kuliko mtu yeyote yani ni furaha yake kwanza kitu ambacho wanaume wengi wa Tanzania hamjazoea so maneno kama hayo lazima tu yatakutoka, mambo yamebadilika sasa hvi unapanda ulichovuna after all ukiona wanawake wana confidence hvo ujue ana hela halafu hana cha kupoteza kwa huyo mume..wanawake wengi sikuhizi tunatafuta mbegu na tunazaa watt tunaoweza kuwatunza sisi its not about you men anymore. Hii issue mpaka wanaume wa kiafrika mzoee itawachukua miongo mengine 5
Wanaume hawataki kukubali kuwa wanawake tuna furaha zetu, wakiona hivo povu jingi humu, na lazima wabadilike tu kwa lazima,¢
 
nikijibu naambiwa jeuri nikifupisha maelezo naonekana nime mind
Huwezi kumridhisha kila mtu
Tatizo huu mjadala hauna fair ground,wengine wanachukua vitu so personal,nikifunguka hapa mambo ni mengi muda mchache
Mkuu wacha tuendelee na mambo mengine
Weekend hii tunaimalizia January taratibu
 
Wanaume hawataki kukubali kuwa wanawake tuna furaha zetu, wakiona hivo povu jingi humu, na lazima wabadilike tu kwa lazima,¢

Yani kauli ya kwamba furaha yangu haihusiani na mume wangu inewakeraa wanaona kama vile ni wake zao wamesema hivyo
Nimesema kabisa mimi binafsi nimevuka hio level ya furaha yangu kumkabidhi mume wangu,either tugombane au tuwe na maelewano ndani Mimi nachukulia ni sehemu ya maisha haiwezi kunitoa furaha yangu
Nimegundua wanaume wanapenda tuwalilie yani comment yangu moja imewapa uchungu wengi mpaka nimeshangaa unadhani nimewashtua wake zao huko majumbani kumbe ni jf tu hio
 
Si umeona na mimi huwa nataka mwanaume ambae yupo straight sipendi drama drama kuna mambo mengi ya kufanya mahusiano ni part tu ya maisha
Ukinifuma na nikaomba msamaha usiweze kunisamehe nifukuze
Sio sijui unahama chumba,sijui huli chakula etc ni utoto na ujinga kwangu
Na incase huniachi ukanipa mateso ya kisaikolojia kitakacho kupata mbeleni tusilaumiane.
Wanaume nyie ni weak kuliko sisi ndio maana hamuwezi kuvumilia mkijua tumechepuka tofauti na sisi.Mtu kama mimi adhabu kuu unayo weza kunipa ni kuniacha ila usilete drama hatutoishia pazuri
Mpenzi Wangu Maya hebu Soma aya ya mwisho ya komenti yako.
Kuwa me sisi Ni weak hatuwezi kuvumilia KUCHAPIWA.
Hapa ndipo ulipokua msingi wa hoja yangu kuwa.Kumuumiza men kwa kujiachia kuchapwa kunamuathiri zaidi ke ktika Jamii kuliko me.
Basi Mimi siendelei na mjadala.
Naomba unisamehe ntakununulia biscuits "Eat sum more"
 
Wanaume hawataki kukubali kuwa wanawake tuna furaha zetu, wakiona hivo povu jingi humu, na lazima wabadilike tu kwa lazima,¢
Yani kauli ya kwamba furaha yangu haihusiani na mume wangu inewakeraa wanaona kama vile ni wake zao wamesema hivyo
Nimesema kabisa mimi binafsi nimevuka hio level ya furaha yangu kumkabidhi mume wangu,either tugombane au tuwe na maelewano ndani Mimi nachukulia ni sehemu ya maisha haiwezi kunitoa furaha yangu
Nimegundua wanaume wanapenda tuwalilie yani comment yangu moja imewapa uchungu wengi mpaka nimeshangaa unadhani nimewashtua wake zao huko majumbani kumbe ni jf tu hio
Sisi ndo sisi Bwanaa
 
Wanaume wa jf huwa wanatabia ya ku bully wanawake
Yani ilitakiwa jana nimkalie kimya ndio nionekane sina kiburi na tabia njema
Kama umefatilia huyo alikuwa anani attack kwasababu ya post niliomba ushauri mwaka jana,Hebu nikuulize wewe uliekeleketwa na tabia yangu unataka kuniambia jf ni wanaume tu wanaruhusiwa kuomba ushauri,yani niogope kuomba ushauri au kuchangia kuogopa tu nitashambuliwa kwa maisha yangu ya nyuma??
Nipo jf kwa muda mrefu sana kuliko hii ID humu nimekutana na watu wengi wakubwa kwa wadogo na tuna heshimiana sana,nimekutana na vichaa ambao wanapenda kupandia watu vichwa kama hao wachache kwenye huu uzi
Huwa sina muda wa kujibu jibu watu hovyo jana nilitaka kwenda sambamba na watu wanaodhani kila mwanamke ni wa kumuonea,mimi hunionei kirahisi na Kama hicho ni kiburi basi naomba kikolee zaidi na zaidi
Naweza kuwa submissive kwa mume wangu tu,wengine nyie nina nafasi ya kuwaheshimu tu sasa msifikiri kama mnapambana na wake zenu huko majumbani basi hadi huku jf mtawapandia vichwa kila mwanamke
Hayo majina mbaya sijajua yamenipunguzia nini,labda uniambie wewe kuna lipi nitalikosa kwa majina walioniita

Nirudi kwako wewe ulieingilia usiyo yajua na kutoa ushauri juu,sijajua unajipa nafasi gani kwenye maisha yangu na unajiamini nini
Sidhani kama nimewahi kukupangia maisha humu ndani,au Kuna ninacho kutegemea hebu kiseme hapa ueleweke
Mwisho ushauri peleka kwa ndugu zako naamini lazima kuna watu wako wa karibu wanahitaji sana uwaongoze usijikute mshauri wa mitandaoni kushauri usio wajua
Huwa sikwazwi kwa vitu vidogo vidogo vya mitandaoni haswa cyber bullying
Nakwazwa na watu wa karibu zaidi kuliko nisio wajua so bila samahani
Haya siku njema
Dada Maya, sijui kwa nini una hasira na uchungu hivyo!
Mleta maada alitaka kutoa ushauri kwa mambo 'sensitive' sana kwa wanandoa wa kiume...hasa akigusia jambo gumu kumeza kuliko yote yanayoweza tokea kwenye ndoa na namna ya kukabiriana nalo! Majibu ulioyatoa ndio yaliyoshtua wengi! Wewe ndio umeonyesha huo ubabe dhidi ya huyo uliyemtendea kana kwamba alikutuma ufanye hivyo na kwa ukaidi na bila haya unaahidi kumtesa zaidi kama hatakusamehe na kusahau kwa muda wako uliojiwekea! Wakati huohuo unajigamba unamuheshimu mumeo huyohuyo unayemvunjia heshima na kuahidi kumkomesha zaidi asipokusamehe kwa wakati...huu ni utani! Heshima ni heshima tu kama humuheshimu mtu mwingine hata uliyenaye ndani...huyo mumeo kama kweli umeolewa huwezi muheshimu!
Humu mitandaoni kuna wengi wanapita na wengine hutumia maoni ya watu kutekeleza wanayotekeleza...hivyo tunapaswa kuwa waangalifu kwa tunayoyaandika ili yawajenge wengine!
"Kama umefatilia huyo alikuwa anani attack kwasababu ya post niliomba ushauri mwaka jana,Hebu nikuulize wewe uliekeleketwa na tabia yangu unataka kuniambia jf ni wanaume tu wanaruhusiwa kuomba ushauri,yani niogope kuomba ushauri au kuchangia kuogopa tu nitashambuliwa kwa maisha yangu ya nyuma?"

Toa ushauri unaojenga...badala ya kutibua na kutokubali matokeo ya utibuaji wako ni bora usitibue, baki nyia kuu...ukichepuka huwezi ukasimama na mishipa ukiitoa nje eti unamuheshimu huyo mumeo/mkeo! Itabidi ukapimwe akili! Huwezi mlazimisha mtu uliyemuumiza namna ya ku'react'! Maana kufanya hivyo unaweza sababisha makubwa zaidi!
Wanandoa, tujitahidi sana kuenzi viapo vyetu, tubaki njia kuu, ili tusijikute ktk mazingira magumu! Ukiacha mambo mengine kuna corona unaweza ambikizwa ikakugwarimu maisha yako na familia!

"
Nirudi kwako wewe ulieingilia usiyo yajua na kutoa ushauri juu,sijajua unajipa nafasi gani kwenye maisha yangu na unajiamini nini
Sidhani kama nimewahi kukupangia maisha humu ndani,au Kuna ninacho kutegemea hebu kiseme hapa ueleweke
Mwisho ushauri peleka kwa ndugu zako naamini lazima kuna watu wako wa karibu wanahitaji sana uwaongoze usijikute mshauri wa mitandaoni kushauri usio wajua"

Hukumbuki kuwa ww mwenyewe umekuwa mnufaika wa ushauri kutoka kwa watu usiowajua kama mwenyewe unavyoshuhudia🤔! Leo hii hutaki nikashauri kwa jambo lilopindika kama hili...huoni na wewe unakuwa cyber bully🤔! Ok, ok, samahani kwa kukushauri!
Ila maombi ni muhimu aiseeh!
 
Mpenzi Wangu Maya hebu Soma aya ya mwisho ya komenti yako.
Kuwa me sisi Ni weak hatuwezi kuvumilia KUCHAPIWA.
Hapa ndipo ulipokua msingi wa hoja yangu kuwa.Kumuumiza men kwa kujiachia kuchapwa kunamuathiri zaidi ke ktika Jamii kuliko me.
Basi Mimi siendelei na mjadala.
Naomba unisamehe ntakununulia biscuits "Eat sum more"

Naweza kuendelea kujibu lakini tayari hakuna fair ground toka mwanzo wa uzi wanaume wenzio walio kutangulia jibu moja tu wakakimbilia kufukua uzi wangu wa mwaka jana ambao hauna uhusiano na hii topic Ndio imeleta kelele nyingi sana hapa wamechachuka
Hivyo tambua sijashindwa kukujibu ila sasa tupunguze mambo mengi
Hizo eat sum more ni za wanangu wanao enda shule ujue
 
Unaongea tu wewe.Hujui kitu mdogo wangu.
Utakachokifanya Jamii itaishia kukuona tu Malaya,na watu wataconclud kwamba kumbe jamaa kweli alikua Ana haki ya kukuacha,kumbe wewe uko kwenye ligi na mumeo.
Lakini mwanaume atasifiwa",aah jamaa kachukua kifaa kipya kabisa.unajua bana kata mti panda mti."
Hata ndugu na wazazi wako watakua wanyonge kwa Tabia zako mpya.
Mwanamke Ni tofauti na me.
Jamii nzima inamuangalia mwanamke kama kiumbe mstaarabu.
Hata watakao kuwa wanakuchapa watakugeuza hit and run.sasa hi sio nzuri.
Siyo jamii tu, hata Mungu aliamua kumpa mwanamke jukumu la kamtunzia watu wake kwa uaminifu kwa miezi takribani 9 kabla mtu huyu hajaweza kuvuta hewa na kula mwenyewe! Bado Mungu akaendelea kumheshimu na kumwamini mwanamke aendelee kumtunzia vichanga hivyo alivyo zaa mwanamke kwa kuvinyonyesha na kuvietipeti mpaka vitakapojitambus na kujisimamia vyenyewe!
Mwanaume alikuwepo lakini heshima hii hakupewa!

Sasa unapokutana na mwanamke fyatu kama Maya asiyejielewa anaanza kuweka league na mwanaume hata nzi watamshangaa!
Shida ni ulimbukeni tu na kutojijua uthamani walionao wanawake ndio shida!
 
Dada Maya, sijui kwa nini una hasira na uchungu hivyo!
Mleta maada alitaka kutoa ushauri kwa mambo 'sensitive' sana kwa wanandoa wa kiume...hasa akigusia jambo gumu kumeza kuliko yote yanayoweza tokea kwenye ndoa na namna ya kukabiriana nalo! Majibu ulioyatoa ndio yaliyoshtua wengi! Wewe ndio umeonyesha huo ubabe dhidi ya huyo uliyemtendea kana kwamba alikutuma ufanye hivyo na kwa ukaidi na bila haya unaahidi kumtesa zaidi kama hatakusamehe na kusahau kwa muda wako uliojiwekea! Wakati huohuo unajigamba unamuheshimu mumeo huyohuyo unayemvunjia heshima na kuahidi kumkomesha zaidi asipokusamehe kwa wakati...huu ni utani! Heshima ni heshima tu kama humuheshimu mtu mwingine hata uliyenaye ndani...huyo mumeo kama kweli umeolewa huwezi muheshimu!
Humu mitandaoni kuna wengi wanapita na wengine hutumia maoni ya watu kutekeleza wanayotekeleza...hivyo tunapaswa kuwa waangalifu kwa tunayoyaandika ili yawajenge wengine!
"Kama umefatilia huyo alikuwa anani attack kwasababu ya post niliomba ushauri mwaka jana,Hebu nikuulize wewe uliekeleketwa na tabia yangu unataka kuniambia jf ni wanaume tu wanaruhusiwa kuomba ushauri,yani niogope kuomba ushauri au kuchangia kuogopa tu nitashambuliwa kwa maisha yangu ya nyuma?"

Toa ushauri unaojenga...badala ya kutibua na kutokubali matokeo ya utibuaji wako ni bora usitibue, baki nyia kuu...ukichepuka huwezi ukasimama na mishipa ukiitoa nje eti unamuheshimu huyo mumeo/mkeo! Itabidi ukapimwe akili! Huwezi mlazimisha mtu uliyemuumiza namna ya ku'react'! Maana kufanya hivyo unaweza sababisha makubwa zaidi!
Wanandoa, tujitahidi sana kuenzi viapo vyetu, tubaki njia kuu, ili tusijikute ktk mazingira magumu! Ukiacha mambo mengine kuna corona unaweza ambikizwa ikakugwarimu maisha yako na familia!

"
Nirudi kwako wewe ulieingilia usiyo yajua na kutoa ushauri juu,sijajua unajipa nafasi gani kwenye maisha yangu na unajiamini nini
Sidhani kama nimewahi kukupangia maisha humu ndani,au Kuna ninacho kutegemea hebu kiseme hapa ueleweke
Mwisho ushauri peleka kwa ndugu zako naamini lazima kuna watu wako wa karibu wanahitaji sana uwaongoze usijikute mshauri wa mitandaoni kushauri usio wajua"

Hukumbuki kuwa ww mwenyewe umekuwa mnufaika wa ushauri kutoka kwa watu usiowajua kama mwenyewe unavyoshuhudia! Leo hii hutaki nikashauri kwa jambo lilopindika kama hili...huoni na wewe unakuwa cyber bully! Ok, ok, samahani kwa kukushauri!
Ila maombi ni muhimu aiseeh!

Kiukweli andiko ni refu kaka nimeanza mistari miwili nimeshindwa kuendelea
Mwanzoni umesema nina uchungu mwingi sio kweli ni mtu napenda kuji express sana labda text ndefu ndefu unaona nina uchungu,sijajua uchungu wa nini ila I assure you am at peace
Ila Asante kwa mchango wako mrefu natumaini kama sio mimi kuna mwingine atasoma utamsaidia ,nikuhakikishie hujapoteza nguvu yako bure
 
Umeangalia sababu moja tu ya hisia, ila umesahau kuwa kuna sababu lukuki zinawafanya watu wachepuke
 
Sisi ndo sisi Bwanaa

Ni kweli nyie ni nyie
Mimi nawakubali wanaume kuanzia Baba,kaka zangu mpaka mume wangu
Nyie ni watu muhimu sana
Lakini mkianza kutumia nguvu kutuonyesha nyie ni nyie tunaona kama mnakosa kujiamini
Mwanaume ni mwanaume tu haitaji kutumia nguvu kujitambulisha
 
mbona mi hivyo vitu havinitishi,nikikuomba msamaha nina limit ya siku za kuomba after that utajijua mwenyewe kama utanisamehe au la,ila hizo drama za kutokulala chumbani etc poa tu tutaishi hivyo hivyo siku yakiisha sawa yasipo isha sawa pia

Hii ulioandika ni kwa wanawake wanao amini furaha wanaipata kwa mume tu,kwa mapigo hayo lazima wadate
Ndio hivyo mkuu, unapita kushoto tu uachie wengine space
 
Kwa taarifa ukikua ndio utajua vizuri.
Lakini tambua kila ndoa inachangamoto zake, na ina namna yake ya kuhandle.
So jua huna uzoefu wowote...
Haya mambo yenu ya ukikua tumeanza kuyasikia miaka mingi nyuma,sasa siku hizi we stay on top and break the rules.
 
Nimejibu vizuri sababu ya kuwa hivyo
Mimi ni mtu napenda mambo yawe solved haraka labda ni moja ya mapungufu nilio nayo
Huwa sipendi drama
Nikuombe msamaha wewe upo busy kunitesa kisaikolojia ashong utasubiri sana
It’s either yes or no,una samehe au husamehi tumalizane

Note:sijatetea kitendo cha kuchepuka
Mimi nawashangaa kwanini mtumie Nguvu zote hizo kuhama chumba,kuchelewa kurudi,naona mnajitesa
Hii ni ishara ya kiburi na majivuno ambayo kwa kiasi kikubwa huleta madhara hasi katika ndoa. Mtu mwenye tabia kama hii anaweza kufanya jambo baya kusudi akijua kuwa ataomba msamaha na atalazimisha kusamehewa maana mwenza wake atakuwa anajua kabisa kuwa asipo samehe basi mambo yanaharibika. Unapata muda wa kujutia kibaya ulichofanya?
 
Back
Top Bottom