Usifanye hili kosa unaposalitiwa na Mkeo/Mwanamke wako

sijatukana bali nimetoa moja ya sifa za mtu ambae ni kahaba, kuwa yeye hawez umia kwakuwa umekatisha nae mawasiliano ndani ya nyumba, wala ategemei kuwa mme/ mke wake nisehem ya furaha yake. Yeye yupo kwaajir ya kitu tu bas

Nimejibu vizuri sababu ya kuwa hivyo
Mimi ni mtu napenda mambo yawe solved haraka labda ni moja ya mapungufu nilio nayo
Huwa sipendi drama
Nikuombe msamaha wewe upo busy kunitesa kisaikolojia ashong utasubiri sana
It’s either yes or no,una samehe au husamehi tumalizane

Note:sijatetea kitendo cha kuchepuka
Mimi nawashangaa kwanini mtumie Nguvu zote hizo kuhama chumba,kuchelewa kurudi,naona mnajitesa
 
Si umeona na mimi huwa nataka mwanaume ambae yupo straight sipendi drama drama kuna mambo mengi ya kufanya mahusiano ni part tu ya maisha
Ukinifuma na nikaomba msamaha usiweze kunisamehe nifukuze
Sio sijui unahama chumba,sijui huli chakula etc ni utoto na ujinga kwangu
Na incase huniachi ukanipa mateso ya kisaikolojia kitakacho kupata mbeleni tusilaumiane.
Wanaume nyie ni weak kuliko sisi ndio maana hamuwezi kuvumilia mkijua tumechepuka tofauti na sisi.Mtu kama mimi adhabu kuu unayo weza kunipa ni kuniacha ila usilete drama hatutoishia pazuri
Duu 🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃 Hapa hapakaliki...
 
Hapana Surya wewe ni malaika mtakatifu una uwezo wa kuhesabia madhambi ya watu huku wewe ukiwa mweupe kama theluji
Rafiki tuombee sisi wadhambi tufike huko ulipo
Hakuna aliye msafi mbele za Mungu.
Wote tumetenda dhambi.
Najua wewe ni Mkristo.
Sita sema jambo lingine maana utalalamika naku judge.

But: natumia wingi, Yesu anatupenda jinsi tulivyo. Tumshikirie haswa.
 
Kulalamika si jadi yangu
Umeleta mambo ya zamani ulikuwa na nia si nzuri ni mbaya,mimi huwa namuona mtu anacho kitaka kwangu kama si kizuri huwezi kuniona na panic
Bahati mbaya umekurupuka hujaelewa hoja yangu

Soma vizuri Kuna comment nyingine nimeziweka nimeelezea sitetei kucheat ila kwanini ukimfumania mtu usimfukuze badala ya kuleta drama?

Sasa surya kwanza ukaona namna nzuri ya kunitoa kwenye reli ni kuleta mambo yangu ya nyuma hapa,pili siku nyingine unaweza kuja kusutwa kaka yangu maana hayo yalisha pita

Kuna kisa kimoja umenikumbusha kupitia hili kilinifunza sana kuto kuongelea jana ya mtu tena haswa kwa mkristu kama wewe unavyojiita.Unajuaje labda nilisha mlilia Mungu wangu na akanisamehe makosa yangu,nimepatana na niliemkosea huku wewe ukiwa bado umeshikilia bango jana yangu,ndio maana nikakuita malaika,sijataka hata kupitia nyuzi zako za nyuma pengine una yako pia
Jikite kwenye mada,be a logic thinker like other men
 
Ila sijui!! uliyoandika hayawezi kuaply kabisa kwenye nafsi yangu!! Siwezi kukaa na nyoka ndani!! Ndivyo nilivyofundishwa na wazee wa kale!! Aidha nipige kichwa cha nyoka nimuue nyoka!! Au nimuache anitemee sumu aniue!! Ila kifupi siwezi kulala na nyoka nyumba moja!! Bible tiyali ilitoa muongozo kuhusu nyoka!!
 
Si umeona na mimi huwa nataka mwanaume ambae yupo straight sipendi drama drama kuna mambo mengi ya kufanya mahusiano ni part tu ya maisha
Ukinifuma na nikaomba msamaha usiweze kunisamehe nifukuze
Sio sijui unahama chumba,sijui huli chakula etc ni utoto na ujinga kwangu
Na incase huniachi ukanipa mateso ya kisaikolojia kitakacho kupata mbeleni tusilaumiane.
Wanaume nyie ni weak kuliko sisi ndio maana hamuwezi kuvumilia mkijua tumechepuka tofauti na sisi.Mtu kama mimi adhabu kuu unayo weza kunipa ni kuniacha ila usilete drama hatutoishia pazuri
Sio tu kukuacha!! nakuacha ila sio kwa usalama!!!
 
Ila sijui!! uliyoandika hayawezi kuaply kabisa kwenye nafsi yangu!! Siwezi kukaa na nyoka ndani!! Ndivyo nilivyofundishwa na wazee wa kale!! Aidha nipige kichwa cha nyoka nimuue nyoka!! Au nimuache anitemee sumu aniue!! Ila kifupi siwezi kulala na nyoka nyumba moja!! Bible tiyali ilitoa muongozo kuhusu nyoka!!

Wewe sasa ndio mwanaume
 
Kulalamika si jadi yangu
Umeleta mambo ya zamani ulikuwa na nia si nzuri ni mbaya,mimi huwa namuona mtu anacho kitaka kwangu kama si kizuri huwezi kuniona na panic
Bahati mbaya umekurupuka hujaelewa hoja yangu

Soma vizuri Kuna comment nyingine nimeziweka nimeelezea sitetei kucheat ila kwanini ukimfumania mtu usimfukuze badala ya kuleta drama?

Sasa surya kwanza ukaona namna nzuri ya kunitoa kwenye reli ni kuleta mambo yangu ya nyuma hapa,pili siku nyingine unaweza kuja kusutwa kaka yangu maana hayo yalisha pita

Kuna kisa kimoja umenikumbusha kupitia hili kilinifunza sana kuto kuongelea jana ya mtu tena haswa kwa mkristu kama wewe unavyojiita.Unajuaje labda nilisha mlilia Mungu wangu na akanisamehe makosa yangu,nimepatana na niliemkosea huku wewe ukiwa bado umeshikilia bango jana yangu,ndio maana nikakuita malaika,sijataka hata kupitia nyuzi zako za nyuma pengine una yako pia
Jikite kwenye mada,be a logic thinker like other men
Neno nililokupa kama advice kwako.
Siwezi kulitengua.
Imenipasa kukushauri hivo.

Na haijalishi uko vipi kwa sasa au umebadilika kiasi gani.

Neno nililokupa linakufaa kwa sasa wewe lifanyie kazi. full stop.

Au unataka nianze kujieleza kwanini nimeshauri hivo ? Hata kwa kuona comment yako ya leo bado imenipasa nikushauri vile vile.
 
Neno nililokupa kama advice kwako.
Siwezi kulitengua.
Imenipasa kukushauri hivo.

Na haijalishi uko vipi kwa sasa au umebadilika kiasi gani.

Neno nililokupa linakifaa kwa sasa wewe lifanyie kazi. full stop.

Au unataka nianze kujieleza kwanini nimeshauri hivo ? Hata kwa kuona comment yako ya leo bado imenipasa nikushauri vile vile.

Ngoja sasa nikusaidie kwanza sijaona huo ushauri pili una watu wengi wa kuwapa ushauri usijipe hio kazi kwangu
Ushauri peleka angaza.Full stop
Disclaimer:ntakupuuza ukiendelea kaka surya maana tunachafua uzi wa mtu kwa mada za kichoko
Tuendelee na maisha mkuu mambo ni mengi muda ni mchache
 
Kulalamika si jadi yangu
Umeleta mambo ya zamani ulikuwa na nia si nzuri ni mbaya,mimi huwa namuona mtu anacho kitaka kwangu kama si kizuri huwezi kuniona na panic
Bahati mbaya umekurupuka hujaelewa hoja yangu

Soma vizuri Kuna comment nyingine nimeziweka nimeelezea sitetei kucheat ila kwanini ukimfumania mtu usimfukuze badala ya kuleta drama?

Sasa surya kwanza ukaona namna nzuri ya kunitoa kwenye reli ni kuleta mambo yangu ya nyuma hapa,pili siku nyingine unaweza kuja kusutwa kaka yangu maana hayo yalisha pita

Kuna kisa kimoja umenikumbusha kupitia hili kilinifunza sana kuto kuongelea jana ya mtu tena haswa kwa mkristu kama wewe unavyojiita.Unajuaje labda nilisha mlilia Mungu wangu na akanisamehe makosa yangu,nimepatana na niliemkosea huku wewe ukiwa bado umeshikilia bango jana yangu,ndio maana nikakuita malaika,sijataka hata kupitia nyuzi zako za nyuma pengine una yako pia
Jikite kwenye mada,be a logic thinker like other men
Wewe ni msichana huru na unaye jitambua. Kama hautabadilisha msimamo wako utafika mbali kimaisha.
Miluzi mingi humpoteza mbwa,simamia unacho kiamini...
 
Back
Top Bottom