Usieneze udini

Dec

Member
Jul 13, 2011
66
26
Chama cha mapinduzi (ccm) kimechoma moto ofisi zao na nyumba ya kiongozi wa kata IGUNGA. Taarifa za ndani ya chama zimeeleza mpango wa kufanya kitendo hicho ni kuteka mawazo ya wananchi wajue kwamba vyama vya upinzani ndio wafanya fujo na hatari kwa usalama wa taifa,wausika walio choma moto nyumba hiyo wameacha ujumbe na namba za simu za watu wa chadema ili kupoteza ushaidi. Mtazamo wangu-"TOKA LINI MWIZI AKAJITAJA AMEIBA?'
 
kama ni kweli basi inabidi kuwakumbusha ccm kuwa kila aliyepo madarakani na anayeshiriki kufanya hujuma hizi alikula kiapo kwa kutshika either Msahafu au Biblia.
Kwa kufanya dhambi hiyo itakuwa ni kuendeleza laana kwa taifa hili na watu wake.
Stop this pse
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom