Usidanganywe Ukatega dawa ya kumnasa Mchawi aumbuke hadharani. Nakuhakikishia Baraza la Wachawi nchi nzima watakukalia kikao wakuondoe fasta!

Maana ya kunasa yenyewe huijui ahahahaha!
.
Sir wewe hujui lolote kuhusu Uchawi na Uganga kaa kimya kaendelee na form 5 au Siasa.
Wachawi hawana baraza wala vikao, wachawi hawapatani hata kidogo na hawafanyi shughuli zao pamoja.
.
Naandika by experience watu tushaenda kwa waganga sana toka tunaanza kujitambua hadi leo uje ulete story za kipuuzi kama hizi nikuache WEWE ACHA KUDANGANYA WATU.
kwanza wachawi hawarogi kama mnavyofikiri ila kwa kuwa hamjui basi mtadanganyana sanaaaa
oh, tupatie elimu hiyo basi mkuu maana hivi vitu vinatusumbua sana uswahilini huku kwa kukosa maarifa na maelezo ya kutosha. tuhabarishe tafadhali!
 
Mimi ndugu zangu ninahamu sana nisiwe muoga wa ivi vitu lakini nashindwa ,kwny mwezi wa 4 nlikwenda kuwasalimia kijijini kilimanjaro sasa kuna Bibi mkubwa ambaye tupo jiran naye na nlishaambiwa anammb ya kichawi sasa kwny kupiga piga story nikawa nimemwambia bibi yangu nasoma dodoma chuo na Bibi mkubwa akiwepo hapo,ila sijawaambia chuo gan ,lakini hamuwez amin hadi leo sina furaha nahofu hatr ,nahisi labda ataweza nifuatilia .naombeni mniondoe hofu jamaaan
 
piga kitabu dogo uchawi hauendi kwa Mentally
 
Endeleeni kujadili wachawi......lkn msisahau kwamba nimepita kwnye kura za maoni jimbo LA kigamboni
 
Back
Top Bottom