Nyenyere
JF-Expert Member
- Sep 9, 2010
- 14,769
- 10,650
Zimeenea habari mtaani kuwa lile goli la kwanza ilikuwa ofside. Amueni wenyewe.
MAROC 02 VS 01 TANZANIA 08/ 06/ 2013 - YouTube
MAROC 02 VS 01 TANZANIA 08/ 06/ 2013 - YouTube
Ndio maana kila nyakati utasikia Algeria, Morocco, Tunisia, Nigeria, Cameroon.......kumbe ni upuuzi tu...tunapeleka mitimu inayobebwa bebwa kwa rushwa...........damn!
Jamani pamoja na kujiwekea video hapa mmeshindwa kuona wenyewe?Morocco hawakuwa offside wakati cross inapigwa...kuna beki wetu alikuwa ameiua offside yao,nadhani erasto nyoni yule..baada ya mpira kupigwa ndo akajidai kurudi nyuma ili jamaa waonekane offside..cheza hiyo video halafu uisimamishe pale jamaa anapoanza kupiga cross
Zimeenea habari mtaani kuwa lile goli la kwanza ilikuwa ofside. Amueni wenyewe.
MAROC 02 VS 01 TANZANIA 08/ 06/ 2013 - YouTube
ni kweli kabisa, alicheza trick ya kizamani sana, pamoja na kwmba sheria hii namba 11 ndiyo ngumu kuliko zote kuitafsiri lakini jumba bovu ni la NyoniJamani pamoja na kujiwekea video hapa mmeshindwa kuona wenyewe?Morocco hawakuwa offside wakati cross inapigwa...kuna beki wetu alikuwa ameiua offside yao,nadhani erasto nyoni yule..baada ya mpira kupigwa ndo akajidai kurudi nyuma ili jamaa waonekane offside..cheza hiyo video halafu uisimamishe pale jamaa anapoanza kupiga cross
Penalty ni sahihi, inaonekana Morris alipaniki kwa jinsi alivyokaba na mastraika wote duniani eneo lile huwa wajanja sanaMkuu tupo pamoja kabisa hata mimi nimeona ile haikuwa Offside, ni beki za Starz zenyewe ndizo zimejichanganya ila ile PENALTY sina uhakika nayo. Yule Mchezaji hajaguswa kiasi cha kwamba adondoke aende chini na kuwa Penalty. Kama ingekuwa hivi basi Barcelona ingepewa hata Penalty 8 kwenye El Classico moja.
Duh!Hii kali aisee, kuna offside ya Penalty?
uungwana ni vitendo na kwa kuwa sasa tunu yetu ni uzalendo sishabikii kabisa wanaosema na ss tufanye mizengwe, zengwe letu liwe SOKA LA KITABU tuMpira ni uwezo! Kwa sasa nadhani Tanzania tunauwezo kuliko Morocco hata wao wanajua ndo mana walianza mizwenge tngu nje ya uwanja. Kiukweli Maamuzi yalikua sahihi lakin naipongeza team yangu kwani ilinionyesha uwezo mkubwa sana sana kiufundi.
nimeshangaa sana eti wanasema ni offside.....goal klia kabisa....kama alivyosema mdau nakumbuka goal la olimpiki 96 la tatu argentina waliukimbia mpira uku wakiwa wameshazidi tayari....Jamani pamoja na kujiwekea video hapa mmeshindwa kuona wenyewe?Morocco hawakuwa offside wakati cross inapigwa...kuna beki wetu alikuwa ameiua offside yao,nadhani erasto nyoni yule..baada ya mpira kupigwa ndo akajidai kurudi nyuma ili jamaa waonekane offside..cheza hiyo video halafu uisimamishe pale jamaa anapoanza kupiga cross