Usichokijua kuhusu maporomoko ya maji Kalambo falls Sumbawanga

Hakuna blogs za kuleta Habari hizi Mara kwa Mara ili watu wayajuevjue kidogo kidogo.
Mwalikeni Kingwangala aje apige picha za kupost kwenye fb take.
 
Hii Nchi ni tajiri kila idara Isipokuwa Watu wake, maana wengi ni MAMBUMBUMBU. Nimewahi kutembelea Udzungwa, Ruaha, Ngorongoro, Manyara, Serengeti, Mikumi, Kilimanjaro n.k katika hifadhi za Taifa na sehemu kadha wa kadha kwenye Machimbo ya Madini. Nilichokiona Sikuamini kama hivyo vyote ni Rasilimali yetu.

Nikagundua kuwa shida ni UMBUMBUMBU WA BAADHI YETU.
Nchi hii ni tajiri, nimejitoa maisha kwa ajili ya Watanzania wanyonge(kauli ya mwendazake), wacha tuupige mwingi kwenye kutembeza vibaba na tozo.
 
Tugela falls ndio ya kwanza ipo South Africa
Ila kwa kweli napenda sana nature
Hebu fikiria unaamka asubuhi unaenda kuoga hapo
 
Back
Top Bottom