MLA PANYA SWANGA
JF-Expert Member
- Jul 31, 2015
- 5,181
- 5,429
Huwezi amini kila kitu kizuri kipo Tanzania,mlima mrefu upo Tanzania,madini adimu Tanzanite yapo hapa.
Kuna shida kuu ya umeme Tanzania tanesco wanahaha namna ya kuwaridhisha wananchi kwa kuwaepusha na mgao wa umeme bila mafanikio.
Lakini sasa maporomoko ya kalambo falls yaliyopo sumbawanga wilaya mpya ya kalambo matai huko yana fall drop ya mita 235 kutoka juu na mto huu haukatiki yaani kukauka.
Ktk afrika inasemekana ni fall ya pili kwa urefu baada ya ile ya ethiopia ambayo nayo chanzo ni maji ya mto nile utokao nchini mwetu.
Kuna maajabu mengi ktk kalambo falls yaani kutokana na drop kuwa ndefu kushuka chini maji hugeuka kuwa mvuke na hivyo pale yanapostahili kudondokea waweza kukaa kabisa pale na usilowe.
Maajabu haya jamani.Mto huu unamwaga maji yake ziwa tanganyika.
Huwezi kuamini wazambia kwa wivu wamesogea pale mpakani wakiwa na,watalii kibao wanajipatia pesa nyingi wakidai kalambo falls ni ya kwao kama ilivyo mlima kilimanjaro kwa wakenya.
Jamani aliyepewa kapewa usimuonee wivu.
Serikali ya Tanzania acheni kulala tegeni umeme wa maji pale tuepukane na mgao wa umeme pia boresheni utalii yale maporomoko yawe hifadhini yaani pori la kalambo ligeuzwe kuwa hifadhi hadi mwambao wa ziwa tamganyika ili tuone jeuri ya wazambia kushinda pale na wazungu kuwadanganya kuwa ni zambia pale.