Masokotz
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 3,435
- 5,404
Kuna ambo moja ambalo nimeona watu wengi wanalifanya
Kuanzisha biashara kwa sababu wana mtaji.
Unakuta mtu anaazisha biashara ya mtaji wa milioni 100 kwa sababu ana milioni 200 na wakati angeweza kuanzisha biashara ya milioni 5 na ikampa faida maradufu.
Kuna kanuni tatu za msingi ambazo naamini zinafaa katika uwekezaji:
Karibu katika mjadala huu.

- Wekeza kiasi ambacho uko tayari kupoteza iwapo hasara itatokea(Invest only what you are willing to put to risk)
- Wekeza kwa watu na sio vitu(Invest in people and not things
- Wekeza kila unachokipenda na kukiamini na sio vutio la faida kubwa(Invest in what you are passionate about and not what promises big return)
Karibu katika mjadala huu.