Usianike matatizo yako kwa watu, nao wanayo mazito zaidi ya hayo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Usianike matatizo yako kwa watu, nao wanayo mazito zaidi ya hayo

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by Lekanjobe Kubinika, Sep 30, 2010.

 1. Lekanjobe Kubinika

  Lekanjobe Kubinika JF-Expert Member

  #1
  Sep 30, 2010
  Joined: Dec 6, 2006
  Messages: 3,067
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Niliwahi kuipata hapo nyuma, labda nawe pia. Nimedhani inaweza kumfunza mtu fulani kitu hapa.

  Source: Yahoo Friends

  Jamaa wawili walikutana kwenye kituo cha basi wakafanya mazungumzo.
  Mmoja aling'ang'nia kuzungumzia kero za familia yake hatimaye mwenzake

  akasema " Unadhani familia yako ina matatizo?" Basi sikiliza kisa hiki.  " Miaka michache iliyopita nilikutana na mwanamke mjane aliyekua na binti

  mkubwa tu na tukaamua kuoana. Baadaye baba yangu akamuoa binti yangu

  wa kambo hivyo huyo binti yangu wa kambo akawa mama yangu wa kambo na

  Baba yangu akawa mtoto wangu wa kambo wa kiume ambapo mke wangu

  akawa mama mkwe wa mkwe wake.  Baadaye binti yamke wangu yaani binti yangu wa kambo alipata mtoto wa

  kiume. mtoto huyo wa kiume alikua ndugu yangu kwa sababu tulichangia

  baba mmoja. lakini kwa vile alikua ni mtoto wabinti wa mke wangu papo hapo

  akawa mjukuu wa mke wangu na mimi nikawa babu yake ndogo wangu.  Lakini hayo yote yalikua si kitu mpaka mimi na mke wangu tulipopata mtoto

  wa kiume. Sasa msichana ambaye ni ndugu wa mtoto wangu huyo wa kiume

  kwa kuchangia mama yao mmoja, akawa pia bibi yake. Hali hiyo ilimfanya pia

  baba yangu kua shemeji wa mtoto wangu ambaye ndugu yake wa kike kwa

  upande wa mama yao ndie mke wake baba yangu. Kwa hiyo mimi ni shemeji

  yake mama yangu wa kambo ambapo mke wangu ni mama mdogo (anti)

  wabinti yake mwenyewe . Mtoto wangu wa kiume ni mpwa wa baba yangu

  ambapo mimi nikawa babu yangu mwenyewe.  SWALI.

  Je, unadhani mpaka hapo wewe una matatizo ya

  kifamilia? Acha kulalamika
   
 2. N-handsome

  N-handsome JF-Expert Member

  #2
  Sep 30, 2010
  Joined: Jan 23, 2008
  Messages: 2,317
  Likes Received: 128
  Trophy Points: 160
  Ha ha ha ha ha ha ha
   
 3. L

  Lady JF-Expert Member

  #3
  Sep 30, 2010
  Joined: Apr 12, 2010
  Messages: 280
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  hahahahaahah!
   
 4. BornTown

  BornTown JF-Expert Member

  #4
  Sep 30, 2010
  Joined: May 7, 2008
  Messages: 1,716
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  :a s 13:
   
 5. Butterfly

  Butterfly Senior Member

  #5
  Sep 30, 2010
  Joined: Sep 30, 2010
  Messages: 126
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kuna mtu namfahamu ameanika matatizo yake kwenye facebook ili hali mume wake anafahamika sana kwenye tasnia ya teknohama basi watu wanamshangaa na hatimaye mwanaume kamkimbia sasa anatukana watu kwenye facebook si aibu hii jamani.

  Tufikiri kabla ya kutenda
   
 6. Da Womanizer

  Da Womanizer JF-Expert Member

  #6
  Oct 1, 2010
  Joined: May 24, 2010
  Messages: 1,561
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Sasa hapo tatizo liko wapi???
   
 7. De Javu

  De Javu JF-Expert Member

  #7
  Oct 1, 2010
  Joined: May 5, 2010
  Messages: 266
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Nimeanza kusinzia half way......n'tamilizia kesho.....
   
 8. MKANDYA

  MKANDYA Senior Member

  #8
  Oct 1, 2010
  Joined: Aug 12, 2009
  Messages: 166
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Bad Combinations:
  Many of us "Old Folks" (those over 60, WAY over 60, or hovering near 60) are quite confused about how weshould present ourselves. We're unsure about the kind of image we are projecting and whether or notwe are correct as we try to conform to current fashions. Despite what you may have seen on streets, the following combinations DO NOT go together and should be avoided:

  1. A nosering and bifocals
  2. Spiked hair and bald spots
  3. A pierced tongue and dentures
  4. Miniskirts and support hose
  5.Ankle bracelets and corn pads
  6. Speedo's and cellulite
  7. A belly button ring and a gall bladder surgery scar
  8. Unbuttoned disco shirts and a heart monitor
  9. Midriff shirts and midriff bulge
  10. Bikinis and liver spots
  11.Short shorts and varicose veins
  12. Inline skates and a walker
  And last, but not least...my personal favorite:
  13. Thongs and Depends. Please keep this basic guideline foremost in your mind when you shop.
   
 9. Lekanjobe Kubinika

  Lekanjobe Kubinika JF-Expert Member

  #9
  Oct 6, 2010
  Joined: Dec 6, 2006
  Messages: 3,067
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  I could not connect this to the original! This is another problem.
   
 10. Mfikiri

  Mfikiri JF-Expert Member

  #10
  Oct 7, 2010
  Joined: Sep 30, 2010
  Messages: 592
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 45
  hahahaa hili balaaa.... imekaa vizur sana....:tonguez:
   
 11. MwanaHaki

  MwanaHaki R I P

  #11
  Oct 10, 2010
  Joined: Oct 17, 2006
  Messages: 2,403
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 145

  Anadhani Facebook ni Mama Ushauri?
   
 12. U

  Ujengelele JF-Expert Member

  #12
  Oct 10, 2010
  Joined: Jan 14, 2008
  Messages: 1,256
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kwi kwi kwi kwi labda lake ni kwa kuliko hili kwi kwi kwi
   
 13. Butterfly

  Butterfly Senior Member

  #13
  Oct 11, 2010
  Joined: Sep 30, 2010
  Messages: 126
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kuna watu kwanza hawajui hata matumizi ya facebook, mtu ameweka mambo ya ndani kibao kwenye facebook, no wonder unchumba na ndoa nyingi zavunjikia facebook though na uchumba na ndoa nyingi zaanzia facebook
   
 14. Mtende

  Mtende JF-Expert Member

  #14
  Oct 11, 2010
  Joined: Sep 27, 2010
  Messages: 4,072
  Likes Received: 338
  Trophy Points: 180
  mbona hayo si matatizo
   
 15. Raia Fulani

  Raia Fulani JF-Expert Member

  #15
  Oct 11, 2010
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 10,219
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  Kha! Hadi nimeshindwa niishie vipi
   
 16. queenkami

  queenkami JF-Expert Member

  #16
  Oct 13, 2010
  Joined: Feb 8, 2010
  Messages: 1,340
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  huo ni mseto bin mvurugiko lol.
   
Loading...