Usiangaike na mwanamke angaika kutafuta pesa

Nani huyo kakudanganya zaidi? Mapenzi na pesa ni kama samaki na maji.

Wakulungwa wanasema "Mapenzi si PESA ila zikipungua na mapenzi YANAPUNGUA" tafuta pesa, narudia tafuta fwedha upunguze kujieleza kwa wanawake shida zako za maisha na hatokuelewa kamwe, pesa ni shortcut ya kujielezea eleza hovyo kusikokua na mpangilio.
Usichanganye ngono na pesa basi ukasema mapenzi na pesa hivi ni vitu viwili tofauti jamaa.Ukiwa na hela utatapa ngono kwa mwanamke yoyote lkn hautapata penzi kwa mwanamke yoyote
 
Unaelewa kinachoongelew au umekulupuka kama serikali yenyewe kuna muda inakosa pesa japo kuwa ndio mmiliki wa hiZo pesa ww nani kinachoongelewa hapa sisi ni binadamu kuna muda unayumba kiuchumi hata kama una vyanzo vingi vya kipesa hivi hujawah ona mwenye bmw inamshinda hata hela ya kutengenezea gari yake??

Sent from my ndenjiii five using JamiiForums mobile app
Uyo hana hela bado

Sent from my itel S33 using JamiiForums mobile app
 
Huo ndio ukweli Mchungu wanaume wenzangu, tuangaike kutafuta pesa sio kuangaikia mademu,

Ukiwa na pesa hautaomba msamaha ata kama ulikuwa unakosa, Mwanamke anavumilia shida kwa muda mchache tu ila hawezi kudumu ndani yake. Atasema anakupenda kwa sababu unamchakata vizuri lakini akija mwenye pesa ata kama anatumia kidole atakuacha na kwenda zake.

Tutafute pesa mademu wazuri tutawakuta tukiwa nazo, Sasa hivi tuwachakate tu na kusepa kwenda kutafuta shekeli.


Cc Zero IQ
Upewe ulinziii popote ulipo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom