usiache kumshukuru MUNGU kwa kukupa MKE/mume MWEMA mwaka huu!!

BASIASI

JF-Expert Member
Sep 20, 2010
9,735
5,003
yawezekana wahisi ndoa ni kila mmoja la hasha kuna watu kila wakigusa ama wanachomka kwenye sendoff ama kanisani mtu anachomoa simpendi..jiulize wewe mwenzio kakupenda kwa dhati kaamua kuingia na wewe kanisani sijajua kilichofwata huko mbele ya ndoa kwa nini usimshukuru MUNGU jamani
Si mbaya kumshukuru Mungu aliekuwezesha na weewe KUSHIKA IKULU YAKO kama kikwete anavyoongoza vilza wake watanzania

Na wewe ulieshiba ndoa embu jitahdini mpendane jamani ndoa si kama lelemama watu wengi wanavyofikiria sio mbaya kumshukuru mungu si kwa kuoa tu ama kuolewa but also kwa kuishi na amani
wapo wengi wanaatoka leo kupeana talaka mahakamani..jiulzie wewe umemfanyia nini MUNGU ??

HAPPY NEW YR
 
si kweli Dear Rose
kwa wasiooa /kuolewa Mshukuru Mungu kwa kuwa umepona kwenye kundi la waliokurupuka kuolewa ama kuoa bila mapenzi ya MUNGU jua Muda wako uko lakini aujafika na ukifika utaungana na hao
HEPI NYU YIA
 
si kweli dear rose
kwa wasiooa /kuolewa mshukuru mungu kwa kuwa umepona kwenye kundi la waliokurupuka kuolewa ama kuoa bila mapenzi ya mungu jua muda wako uko lakini aujafika na ukifika utaungana na hao
hepi nyu yia

amen amen!!!!!!
 
Back
Top Bottom