Usiache kazi yako ya ajira na kukimbilia ujasiriamali kama nguvu ya hivi vitu huvijui vizuri.

Mkuu nimeishia la Saba B, siwezi nikaelewa hicho kidhungu mi nimekuuliza kiroho safi ili unipe mwongozo sasa mjomba umeanza kutema kidhungu, dahh
I can see una roho ya kwanini. Sema ukweli mkuu naongopa? Mfano km nimeandika blah blah na unaona hazikuingii si unapotezea tu, ama zingekuingia zaidi km nimejiajiri? Ukiambiwa hii dawa inatibu malaria, unamuuliza aliyekwambia wewe imewahi kukutibu? Unafahamu kuhusu research?
 
I can see una roho ya kwanini. Sema ukweli mkuu naongopa? Mfano km nimeandika blah blah na unaona hazikuingii si unapotezea tu, ama zingekuingia zaidi km nimejiajiri? Ukiambiwa hii dawa inatibu malaria, unamuuliza aliyekwambia wewe imewahi kukutibu? Unafahamu kuhusu research?
sjasema umeandika blah blah lakini nilitaka ujibu lile swali afu nikuulize maswali kulingana na topic husika na unachojishughulisha nacho na uzoefu wako
 
Hivi vitu vinategemeana yaani walioajiriwa na waliojiajiri tusiubeze upande mmoja, wapo wanaofanikiwa kupitia kuajiriwa na wengine wanafanikiwa kupitia kujiajiri. Pia ninayaheshimu mawazo ya mleta uzi.
Pole ndugu mwajira. Utashangaa nimejuaje kama umeajiriwa, ni kwasababu mnahisi tunawadharau
 
Wanasema ili ufanikiwe nenda peke yako, lkn ili ufike mbali nenda na wenzio.

Kujiajiri ni fursa inayo kupa nafasi ya kutumia akili yako to the maximum ili ufanikiwe au ufikie malengo yako.

Changamoto za kujiajiri ni tofauti sana na mtu alie ajiliwa hivyo basi kutokana na hizo changamoto ndipo kuna kupanda na kushuka kiuchumi.

Mfano, wewe umeajiliwa unalipwa mshahara 800,000/ kwa mwezi inamaana kwanza huwezi kuwa na mipango inayo zidi hiyo pesa kwa mwezi na llazima mipango iwe chini ya hiyo pesa ili uweze kupata nauli kula vocha na wazazi kule kijijini wanajua upo mjini na una kazi nzuri tu ila mshahara hawajui ni kiasi gani pia kuna makato mbalimbali nk hivyo mwisho wa siku speed ya kufikia mafanikio inakua ndogo sana.

Wakati mtu alie jiajiri anatofauti kubwa anaweza kufanya lolote muda wowote kupanda na kushuka kunategemea juhudi zake na ubunifu wake
 
Back
Top Bottom