Mavindozii
JF-Expert Member
- Oct 20, 2012
- 2,111
- 2,779
Hello my buddies ,naomba kuuliza ushuru kwa hizi scania tipper mende ushuru wake ni milion ngapi wakuu. Mpaka ifike hapa Mombasa port ni milion 40.
Mkuu,unaweza nisaidia kufahamu gharama za shiping line na port charges?**** toyota nimeagiza JP,jamaa wa clearing wasie nibamizaUshuru una-deepend vitu kadhaa, kitu cha kwanza ni gar ya mwaka gani, pia axle configuration ya iyo gari pamoja na aina ya gari. Lakini hivyo nilivyotaja hapo juu, mwaka pamoja na axle configuration ndivo vinavyo-determine sana bei ya tipper. 4x2 ushuru wake ni mdogo ukilinganisha na 6x2, 6x4, 8x2, na 8x4. Kwa ku-simulate kiasi speciefiec cha ushuru ingia kwenye tax calculator ya TRA Used Motor Vehicle Valuation System - Used Motor Vehicle Valuation System ingiza details za gari yako unataka kununua kisha utapata estimates za ushuru.
Mkuu,unaweza nisaidia kufahamu gharama za shiping line na port charges?**** toyota nimeagiza JP,jamaa wa clearing wasie nibamiza