Ushuru wa parking hadi saa 6 usiku - ubungo bus terminal ni halali?? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ushuru wa parking hadi saa 6 usiku - ubungo bus terminal ni halali??

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Kyachakiche, Apr 28, 2011.

 1. K

  Kyachakiche JF-Expert Member

  #1
  Apr 28, 2011
  Joined: Feb 16, 2009
  Messages: 910
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 45
  Wanajf kuna jambo linanikera sana. Ukienda na gari ndogo muda wowote kuanzia saa kumi na moja alfajiri hadi saa 6 usiku pale stendi ya mabasi ya kwenda mikoani Ubungo, utalipishwa gharama ya kuegesha gari ya Tshs 300, hapa sina tatizo kabisa. Tatizo langu ni hili, ukiingia, ukatoka na ikatokea labda kuna sababu nyingine itakayokufanya urudi ndani muda huo huo, ukitoka unalipishwa tena! Tiketi walishaichana! Je, huu ni ushuru wa kuegesha gari au wa kuingia na kutoka? Na je, kwa nini hadi saa 6 usiku wakati kwengine ni hadi saa 11 jioni na ni kwa kila saa moja?!
   
 2. Najijua

  Najijua JF-Expert Member

  #2
  Apr 28, 2011
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 1,029
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Wezi hao kamata peleka polisi
   
 3. K

  Kyachakiche JF-Expert Member

  #3
  Apr 28, 2011
  Joined: Feb 16, 2009
  Messages: 910
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 45
  Kamanda tusaidiane basi!
   
 4. Ndachuwa

  Ndachuwa JF-Expert Member

  #4
  Apr 28, 2011
  Joined: Mar 8, 2006
  Messages: 4,529
  Likes Received: 725
  Trophy Points: 280
  Lipa ushuru kwa maendeleo ya jiji lako
   
 5. K

  Kyachakiche JF-Expert Member

  #5
  Apr 28, 2011
  Joined: Feb 16, 2009
  Messages: 910
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 45
  Mkuu kweli yanatoka moyoni mwako haya maneno?
   
 6. BONGOLALA

  BONGOLALA JF-Expert Member

  #6
  Apr 28, 2011
  Joined: Sep 14, 2009
  Messages: 13,782
  Likes Received: 2,391
  Trophy Points: 280
  kinjekitile ngombale mwiru alizifaidi sana pesa zetu pale ubungo bus terminal!
   
 7. Songambele

  Songambele JF-Expert Member

  #7
  Apr 28, 2011
  Joined: Nov 20, 2007
  Messages: 3,434
  Likes Received: 1,015
  Trophy Points: 280
  Afadhali ushuru kuna mjinga mmoja anatembea na kufuli huyo yeye anakuvizia na kufunga, mtandao wake ni matrafic na na wabeba mizigo na mainformer wake na kutishia kukulipisha ushuru wa TZS 60,000.

  Ushuru ukiendana na ubora wa huduma zitolewazwo hapo kituoni hakuna noma lakini magumashi tu, tiketi hawachani na rushwa kibao.
   
 8. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #8
  Apr 29, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,082
  Likes Received: 5,556
  Trophy Points: 280
  jiulize ukiwa nje unalipa utapata jibu unalipa kwasABU UKO NJE AMA NDANI;;SWALA LA USHURU USIKU SIO TATIZO MBONA ATM UNAENDA SAA NANE USIKU NA WANAKATA SH 400 ZAO KAMA KAWA UJUI HILI??TUNAITAJI KODI YAKO ILI WALE WAMAMA WA BARABARANI TUWEZE KUWALIPA..NA YALE MATUMBO PALE MJINI YAWEZE KUNGARISHWA
   
Loading...