USHURU WA NISSAN TERRANO YA 1997, 2.7cc Diesel ENGINE...

Doltyne

JF-Expert Member
Aug 29, 2011
440
170
Wana JF, Naomba mwenye utaalamu na Ushuru wa TRA kwa system yao mpya anijuze hili;
Je 1997 NISSAN TERRANO 2.7 TDi SE 5dr Diesel Station Wagon Itanicost kiasi gani kulipia Ushuru?
Manaake nimecheki mwenyewe nikaona kama vile inakuja kwenye 8.7m hivi, nikadhani nimekosea...
Natanguliza shukran za dhati.
 
Ya 1997 uongeze na chaji ambazo hutozwa kwa gari zenye umri zaidi ya miaka 10 (ya kwako ni miaka 14!)
 
Ya 1997 uongeze na chaji ambazo hutozwa kwa gari zenye umri zaidi ya miaka 10 (ya kwako ni miaka 14!)

Hilo nalifahamu mkuu, ndio hivyo nimecheki imekuja zaidi ya 9m, duh.

Kama kuna mtu ameshawahi kuimport nissan navara ya 2004 naye anijuze. Itasaidia sana.
 
Back
Top Bottom