Ushuru wa Gari VS gariyangu.com | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ushuru wa Gari VS gariyangu.com

Discussion in 'Matangazo madogo' started by Kingdom_man, Oct 31, 2012.

 1. Kingdom_man

  Kingdom_man JF-Expert Member

  #1
  Oct 31, 2012
  Joined: May 19, 2010
  Messages: 457
  Likes Received: 285
  Trophy Points: 80
  Habarini!.
  Hivi hii website ya gariyangu.com calculations zake za ushuru zipo accurate au ni makisio tu. Yani nauliza kama naweza itegeme kunipa right figure ya ushuru nitakao lipa kwa gari kama Ford-Focus 1.8L. (2005) Price £2,500 Naweza lipa milioni ngapi kwa hiyo gari wanaofanya kazi TRA naombeni msaada. Shukrani!.
   
 2. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #2
  Oct 31, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,873
  Likes Received: 6,226
  Trophy Points: 280
  kwa nini usitumie kikokotozi cha tra?
   
 3. Mwakalinga Y. R

  Mwakalinga Y. R Tanzanite Member

  #3
  Oct 31, 2012
  Joined: Oct 22, 2008
  Messages: 2,718
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 145
  Ingia kwenye website ya TRA utapata madesa
   
 4. m

  masagati JF-Expert Member

  #4
  Oct 31, 2012
  Joined: Oct 16, 2012
  Messages: 399
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 45
  jamani TRA Tunaomba majibu yanayo eleweka
   
 5. Kingdom_man

  Kingdom_man JF-Expert Member

  #5
  Nov 6, 2012
  Joined: May 19, 2010
  Messages: 457
  Likes Received: 285
  Trophy Points: 80
  Mdau nimeingia kwenye website ya TRA ila sijapata link ya kunipa jibu!. Naomba msaada!!
   
 6. Kingdom_man

  Kingdom_man JF-Expert Member

  #6
  Nov 6, 2012
  Joined: May 19, 2010
  Messages: 457
  Likes Received: 285
  Trophy Points: 80
  Kiko wapi kwenye website ya TRA sijafanikiwa kit!!. Nahitaji kujua makadirio sahihi ya kodi ya hiyo gari. Naomba msaada!!.
   
 7. Amoeba

  Amoeba JF-Expert Member

  #7
  Nov 6, 2012
  Joined: Aug 20, 2009
  Messages: 3,328
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 0
  Hicho kikokotoo cha TRA na chenyewe utata mtupu, model zngne za magari hazipo. Na pia hakijamrahsishia mtumiaji wa kawaida!
   
 8. Mwakalinga Y. R

  Mwakalinga Y. R Tanzanite Member

  #8
  Nov 6, 2012
  Joined: Oct 22, 2008
  Messages: 2,718
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 145
 9. Kingdom_man

  Kingdom_man JF-Expert Member

  #9
  Nov 6, 2012
  Joined: May 19, 2010
  Messages: 457
  Likes Received: 285
  Trophy Points: 80
 10. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #10
  Nov 6, 2012
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,462
  Likes Received: 5,846
  Trophy Points: 280
 11. Dumelang

  Dumelang JF-Expert Member

  #11
  Nov 6, 2012
  Joined: Aug 11, 2011
  Messages: 2,190
  Likes Received: 1,539
  Trophy Points: 280
  imenichekesha sana mie huwa wananizingua...natumia pale gari yangu thou ni kama cha uongo hivi, eti gari ile ile ukibadili mwaka toka labda 2003 kuja 2004 (mwaka wa gari) inaongeza kodi sa unajiuliza kwanini gari ya miaka michache izidiwe na ya miaka mingi kodi
   
 12. lucky sabasaba

  lucky sabasaba JF-Expert Member

  #12
  Nov 15, 2012
  Joined: Nov 6, 2012
  Messages: 1,672
  Likes Received: 111
  Trophy Points: 145
  Bei ya tra uwa Haipo stable ukipata agent mzuri bei inashuka....yaaani hakuna fixed tax ni maelewano tu
   
Loading...