USHURU WA 200sh STAND YA UBUNGO TERMINAL NANI ANAKULA?..

zubedayo_mchuzi

JF-Expert Member
Sep 2, 2011
4,873
1,216
Hbr Wana jf,Leo naomba kuwageukia wakusanyaji Wa Ushuru wa 200 pale getini una manufaa gan kwa watumiaji wa Stand hyo.
Watu wanalipa ushuru kila leo lakini Panazidi kuwa pachafu,Wizi umekithiri.,hali ya hewa mbaya....
Hivi Hi nchi imeuzwaa au...
 
Zinasaidia kulipia gharama za umeme, maji, polisi, vinywaji, usafi, hali ya hewa etc.
 
Back
Top Bottom