Ushuri: Kamati ya Maadili ya Bunge iendeshe mahojiano live inapohoji wabunge wenye tuhuma

YEHODAYA

JF-Expert Member
Aug 9, 2015
36,909
51,904
Mbunge ni mchaguliwa na wananchi. Ni vyema kukawa na Transparency anapohojiwa na kamati ya Bunge kwa tuhuma zozote. Wapiga kura wake waone live Haki ikitendeka na bunge.

Kamati ya Bunge ya Maadili iendeshe mahojiano live inapohoji wabunge wenye tuhuma
 
Mbunge ni mchaguliwa na wananchi .Ni vyema kukawa na Transparency anapohojiwa na kamati ya bunge kwa tuhuma zozote.Wapiga kura wake waone live Haki ikitendeka na bunge

Kamati ya bunge ya Maadili iendeshe mahojiano live inapohoji wabunge wenye tuhuma
Itakuwa chenga chenga tu... maana wote Dish limeyumba...
 
Hii ndio silaha kubwa ya watuhumiwa bahati mbaya hawaruhusiwi kuingia nayo, hivyo lazima washindwe kesi.
 
Mbunge ni mchaguliwa na wananchi. Ni vyema kukawa na Transparency anapohojiwa na kamati ya Bunge kwa tuhuma zozote. Wapiga kura wake waone live Haki ikitendeka na bunge.

Kamati ya Bunge ya Maadili iendeshe mahojiano live inapohoji wabunge wenye tuhuma
wee unazani watakubali waonekane jinsi gwajima anavyowaumbua live bila chenga? Thubutuuu!!!!!
 
Back
Top Bottom