Ushuhuda

kalachai

Member
Jul 4, 2021
76
110
ilikuwa majira ya saa 9 mchana natoka kariako naelekea nyumbani ghafla nikiwa kwenye gari ghafla kichwa kilianza kuniuma sanaaa yanii maumivu yake ilikuwa kama mtu anagonga gonga upande mmoja kiukweli maumivu yalikuwa ni makali sanaa nikahic labda mishipa kwenye ubongo itapasukaa sema ukweli siku iyo nilizunguka sana kwanzia asubuh nikawa nimesahau kuwa alhamisi huwa ni siku yangu ya kuabudu

Uku nikiendelea kusikilizia maumivu kwenye gari nikakumbuka kuwa leo ni alhamic siku ya kuabudu ekarist na huwa sipend kukosa labda kama siku iyo ratiba imenibana basi nikamuomba konda anishushe usalama

Kushuka jua kalii pamoja na kichwa kuuma maumivu yakazidi mara mbili yake basi nikajikaza nikaingia zangu getini moja kwa moja ndani tabernako kwa wa roman catholic wanaelewa tabernako ni nn
kwa ambao hawaelewi ni chumba maalumu chenye ukimya na utulivu cha kuongea na yesu kwenye umbo la mkate ambayo ni mwili wake MTAKATIFU

Maajabu kitendo cha kuingia ndani tuu kichwa kikapona sikusikia tenaa maumivu ya kichwa na sijui yalielekea wapi

Sikumeza dawa wala sikunywa maji ila kilipona nilivyoingia ndani ya ekarist takatifu

Narudia tena sikunywa maji wala sikumeza dawa ila kilipona nilivyoingia ndani ya ekarist takatifu
Basi nikaabudu vizur bila shida yoyote na maongezi yakaendelea mm na YESU wangu

Ndugu zangu nachotaka kuwambia hapa ni kuwa ukiwa na mahusiano mazur na Mungu kamwe awez kushindwa kukusaidia hata kama uwe na magumu kiasi gani kwa sababu Mungu wetu sio kiziwi na wala sio kipofu yeye ni roho ambayo kila sehemu ipo

Sijisifii lakin naomba niwambie kama neno lake linavyosema waliowake anawajuwa na wenyewe umjua mchungaji wao

Kwann nasema hv,,,,,, kwa sababu huwa najua kuwa Baba yangu wa mbinguni uwa yuu pamoja nami pale napo ongea nae kupitia sala

Huwa natoka jasho na pale napo maliza hukauka ghafla na hata nilivyohamia dar kwenye mji wa joto hali imekuwa si ya jasho tena bali ni kitu kingine tenaa ambayo nahic kushikwa kichwa na nywele kusimama

Je mahusiano ayo ni yapi ?

UPENDO
MUNGU ni upendo na amri Kuu kuliko zote ni UPENDO ambapo YESU alisema mpende MUNGU mpende na jirani yako

Je unampenda MUNGU ( utatu mmoja ) namaanisha MUNGU baba, MUNGU mwana ,na MUNGU roho mtakatifu na wakala wake hapa namaanisha Bikira Maria ( MAMA WA NENO ) , YOSEPH, MANABII WAKE , WAZEE WAKE WALE WOTE 24 NA MALAIKA ZAKE?
Kwa sababu uwezi sema nampenda Mungu lkn roho zingine za Mungu unawachukia na kutowapa heshima zao kama unavyo Muheshimu Mungu

Je uwa unamkumbuka mara ngapi kwenye siku yako ?

Je uwa unamshukuru kabla ya kuomba au kusali?

Je uwa unawakumbuka wale ambao wapo karibu na Mungu na kuwaheshimu?

Je uwa unamkaribsha chakula kabla ujaanza kula ?

Je huwa unasamehe kwa yoyote atakae kukosea na kukuhudhi haijishi ni kosa kubwa au dogo?

Je uwa unasoma neno lake na kutafari ukuu na umbaji wake ? **** vile mwezi upo juu na wala haudondoki , jua lipo juu na wala halidondoki , bahari ina maji lakini hayakauki ni mengi ya kustaajabishwa na kushangaza

Tukiingia Upendo kwa jirani
Upendo kwa jirani hubeba baazi ya amri kwenye amri kumi za Mungu je uwa unazifuata coz kama unaupendo kwa jirani yako uwezi kuiba , kuzini , na mambo mengin

Kama unampenda jirani yako uwez mdhulumu

Uwezi ukaacha kumsaidia kwa uwezo ulionao

Uwez muombea mabaya

Hvyo ndugu zangu MUNGU yupo kwa sababu naona na ku feel uwepo wake
 
Back
Top Bottom