Fursakibao
JF-Expert Member
- Dec 12, 2017
- 6,665
- 11,086
Huna unachojua kaa kimyaTrekta kama treck 29m? Hilo sio trekta ni dracula mashine a.k.a popobawa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huna unachojua kaa kimyaTrekta kama treck 29m? Hilo sio trekta ni dracula mashine a.k.a popobawa.
Asee, mie nipo Shelui hapa, na Sekenke ndio chimbuko.
Ni baba yangu mdogo, we tizama jina langu ninalotumia. Ni code name.Abdallah mwenye mashine ya alizeti mwarabu yule unamfahamu kijana hivi mpambanaji,
Hivi zile mashine za alizeti za Shemsi bado zipo au walizinywa baada ya bosi kufariki?Ni baba yangu mdogo, we tizama jina langu ninalotumia. Ni code name.
Zipo ila zimefifia kwa sasa, na ndugu yake na marehem alifanya kuuza sehem kubwa ya mali na kuwadhulum watoto wa marehem. Ila kwa sasa kesi ipo mahakamani.Hivi zile mashine za alizeti za Shemsi bado zipo au walizinywa baada ya bosi kufariki?
Ni baba yangu mdogo, we tizama jina langu ninalotumia. Ni code name.
Ni baba yangu mdogo, we tizama jina langu ninalotumia. Ni code name.
Sijawahi kuitumia hiyo 290 lakini naambiwa ni bora zaidi. Naipigia hesabu pia.Mkuu nashukuru sana. Barikiwa sana, huu uzi nilianzisha baada ya kuona tractor zinauzwa bei nzuri sana SA. Nami nipo njiani kufanya maamuzi magumu. Bahati mbaya tu mi nimekuwa mpenzi sana wa Massey Furgudon, hasahasa MF 290.
Sawa mkuu nitamwambia.Yaap kweli msalimie mweleze kuna jamaa alikua anaijia mafuta ya congo, na uliwahi onana nae maji moto mpanda atanikumbuka siku nyingi mno
Yeah, yule mi mdogo ake na Abdallah anaemfatia. Uaminifu kwanzaHalafu yule mwenye branch tumuli na yeye ni ninyi naona mmeiteka sana kanda hiyo sema Binsalum ni waaminifu hawana janja janja za kiboya ndio maana wanachanja mbuga
Mkuu nakushauri tafuta fundi anayezijua zaidi MF akuambie changamoto zake na kama utamudu kuzikabili. wakati natafiti kila fundi na opereta waliniambia MF inazingua sana hydrolic nikaacha nazo.Mkuu nashukuru sana. Barikiwa sana, huu uzi nilianzisha baada ya kuona tractor zinauzwa bei nzuri sana SA. Nami nipo njiani kufanya maamuzi magumu. Bahati mbaya tu mi nimekuwa mpenzi sana wa Massey Furgudon, hasahasa MF 290.
sijakupata mkuu. Ila kuhusu New Holland ilikuwa used japo sikuchukua. Dukani ni 52m kwa 4WD na jembe 3D ni 8mmkuu new holland hiyo ni ya duka?
Nimetoka leo suma jkt, new holland 4wd mpya ni 52m bila jembesijakupata mkuu. Ila kuhusu New Holland ilikuwa used japo sikuchukua. Dukani ni 52m kwa 4WD na jembe 3D ni 8m
Ni sahihi mimi nilitoka huko kabla ya uzi huu. Yakanishinda nikachukua Case used 3,000 hrs kwa 39.5m pamoja na jembe. Mkuu ile Swaraj inakamua balaaNimetoka leo suma jkt, new holland 4wd mpya ni 52m bila jembe
KUBOTA ZINAPATIKANA ? NI MODEL IPI ILIYONZURI ?