lazima ukae
JF-Expert Member
- May 15, 2013
- 788
- 380
Mwaka 2008 wakati naanza mwaka wa kwanza chuo nilikua na Malaria ya kujirudiarudia ambapo nilikua siwezi kukaa miezi mitatu bila kuumwa Malaria.
Nilikua sina raha nikiwaza kuhusu huu ugonjwa uliokua unanisumbua bila kujua nini ufumbuzi wake.
Mwaka jana mwezi wa tatu nikaona ngoja niingie google nitafute tiba za asili za kutibu Malaria, ndipo nilipokutana na mada mbalimbali za jamiiforums zinazohusu tiba ya Malaria.
Nikawa najaribu kupitia comments za watu mbalimbali ndipo nilipoona comment ya mtu mmoja humu ambae aliongelea mbegu za mlonge na jinsi ya kuzitumia.
Baada ya kuona ile comment yake nikaenda maduka ya asili nikanunua zile mbegu na nikaanza tiba mara moja.
Hapa ninavyoongea mara ya mwisho mimi kuumwa ugonjwa wa Malaria ni mwaka jana mwezi wa saba mwanzoni.
Kiukweli Mlonge umenisaidia sana na mpaka leo sijiskii kabisa Malaria.Kiukweli nina amani sana