Shuhuda za namna watu walivyopona tatizo la upungufu wa nguvu za kiume

si kweli mkuu,watu hatufanani,ngoja nikupe hali halisi ya upande wangu. Nimi natumia dakika sio chini ya 15 kupata la kwanza,namwagia nje naingia bafuni kunawa na maji ya baridi kusafisha sperm,narudi tena napiga sichini ya dk 20,nafanya hivyo mpka kiuno kichoke maybe four times au 5 au mwenyewe achoke au aumie maana pulling out inawezaikakusha fluid ndani ya ke,siku ingine anaweza kuondoka wakat mb** Imesimama na akawa amejiridhisha vya kutosha.
Kama yako ukishapizi inanuwea wengine hatupo hivyo.
fix tupu ma.ma.eee
 
Hii nikweli
si kweli mkuu,watu hatufanani,ngoja nikupe hali halisi ya upande wangu. Nimi natumia dakika sio chini ya 15 kupata la kwanza,namwagia nje naingia bafuni kunawa na maji ya baridi kusafisha sperm,narudi tena napiga sichini ya dk 20,nafanya hivyo mpka kiuno kichoke maybe four times au 5 au mwenyewe achoke au aumie maana pulling out inawezaikakusha fluid ndani ya ke,siku ingine anaweza kuondoka wakat mb** Imesimama na akawa amejiridhisha vya kutosha.
Kama yako ukishapizi inanuwea wengine hatupo hivyo.
 
Naomba nianze kwa kujitambulisha,

Mimi ni kijana mwenye umri zaidi ya miaka 30, fani yangu ni Udaktari. Nimetanguliza hayo ili mnielewe vizuri nitakachoelezea hapa maana ni kitu kilichonisumbua na kukifatilia kwa mda mrefu sana, nitajitahidi kuelezea kwa kifupi kadri niwezavyo.

Kama kawaida, vijana wengi tunazama kwenye ule mchezo wetu pendwa, (CHAPUTA). Nami nilikuwa muathiriwa tangu nilivyoanza kidato cha kwanza. Pia nilikuwa muoga sana kwa wanawake (domo zege) hili ilinisababishia kuwatamani na kumalizia haja zangu bafuni. Mwanamke wa kwanza kukutana naye nilikuwa Chuo, mwaka wa tatu na nilimaliza kabla ya kuingiza.

Sasa hapo ndipo nilipojigundua nina tatzo kubwa hivyo nahitaji msaada, na kwa vile nilikuwa kwenye fani husika nilijitahidi sana kutafuta nondo zinazohusu matatizo hayo. Kwa kufatilia kwangu kipindi hicho na sasa, niligundua mambo mengi sana yanayohusiana na nguvu za kiume, kuna sababu nyingi zinasababisha tatizo hili hivyo mtu kabla hujaanza kutafuta dawa kwanza tafuta sababu, ukishaijua ndipo uifanyie kazi.

Nikipata muda nitaelezea sababu zote hapa ili kila mwenye tatizo ajikague na kujipima mwenyewe maana wengi tunaogopa kwenda Hospital. Kiukweli kabisa, Punyeto haisababishi tatizo la nguvu za kiume. najua kuna watakaopinga maana hata mie nilikuwa mpingaji lakini nitatoa mifano. Unaposema kitu fulani kinaleta madhara fulani basi kila atakaefanya hakikisha anapata madhara hayo.

Kwa mfano unaposema ukijikata na kisu unatoka damu, hapo kila mtu akijikata atatoka damu, ukisema ukilala bila chandarau unapata malaria au mbu anasababisha malaria je ni kweli kila anaelala bila chandarua au uking'atwa na mbu unapata malaria?

Hapo tunajua sio kweli mbu hasababishi malaria hvyo tunasema, plasmodium ndiyo anasababisha malaria maana kila atakayekutwa na kijidudu hiki basi atakuwa na malaria ila sio kila aliyeng'atwa na mbu atumie dawa ya malaria. Kwa mfano huo utakuwa umenielewa.

Nami baada ya kugundua hilo nikajipa moyo, nikaanza kupambana kujua tatizo. Baada ya kuoa, (mke wangu) akawa mwanamke wa pili kukutana naye, na ilichukua wiki kufanikiwa (naye ilikuwa mara ya kwaza) ila sikukata tamaa nikaendelea kujipa moyo huku nikitoa ahadi mbali mbali kwa mke wangu
(Jaman kumbukeni nafupisha ili story iwe fupi)

JE, SASA NIMEPONA?
Hapa ndipo paliponifanya nifungue ID mpya na kuandika hili, maana kunafaida itapatikana. Baada ya kusoma sana na kujikagua ili tatizo langu linasababishwa na nini nikagundua kuna aina mbili za Homoni zikizidi katika mwili wa mwanaume anauwezekano wa kupata tatizo ili, nikajipanga kwenda kupima ila sikutaka wenzangu wajue, kila ninapopafikiria kwenda naona kama kuna watu wananijua, nitafanyaje?

Miongoni mwa sababu iliyonisukuma kupima homoni ni hapa kazini palikuwa na muhudumu alinivutia sana na alikuwa karibu sana na mimi sasa kila nikiwaza naona nitaumbuka, huyu anaweza kusimulia wenzake maana wanawake wa siku hizi hawana siri (Kumbuka mke wangu alikuwa asharizika na hali yangu kwa muda wa zaidi ya miaka mitano)

Sasa huyu binti nimwite 'Jully' Alikuwa anakuja mara kwa mara Ofisini kwangu hadi tukaomba awe muhudumu katika ofisi yangu na tukakubaliwa kwa muda. (Kabla hawajatushtukia sasa wamemuhamisha) na huyu ndio aliniponya

Ilikuwaje? Endelea...
Siku hiyo baada ya kumaliza wateja wote tukabaki wawili tu, (ilikuwa weekend, nusu siku) bila kutarajia tukajikuta tumeshakumbatiana na kupakatana yaani hadi kulambana huku nikiwa na hofu ya hali ya juu, ghafla nikamwona mtoto anataka kuvua nguo, ikabidi nimzuie kwa kisingizio nilikuwa sijala tangu asubuhi hivyo sitaweza kitu, kwa bahati nzuri naye akanielewa, tukaanza kupanga sehemu ya kukutana.

Yaani siku hiyo nilikuwa na wasiwasi kutwa, sijui hata nile nini cha kuweza kunisaidia, natamani muda usifike, Ghafla napigiwa simu, mimi ndio naenda, mara nishafika yaani nilichelewa zaidi ya masaa mawili nikabidi niende na lolote liwe.

Chumbani sasa...
Nilivyofika kama kawaida tukajikagua Afya zetu ukizingatia wote ni wataalamu wa afya, baada ya hapo ghafla Jully akanirukia baada ya majibu kuwa salama, kama kawaida yangu, nikapampu mara mbili au tatu tayari nishamaliza hoi kitandani nikabaki nikimwangalia atasema nini, nikawa nasubiria maswali huku nikitafuta utetezi wangu,
cha ajabu nikamwona anafuraha na tabasamu huku akinambia asante nikatamani nimuulize umeridhizika nikasita, nikazidi kumkazia macho naye anazidi kunionyesha tabasamu.

Baadae tukazama kwenye stori kuhusiana na maisha na kunisimulia historia ya maisha yake tulitumia zaidi ya lisaa, akaanza kunisifia jinsi nilivyo huku akichezea kifua changu, ghafla nikahisi kitu kinanesanesa, nikaanza kushangaa na kutabasamu, akaleta mkono wake, kushika akaona kitu kimetuna, naye akatabasamu na kuja juu fasta. nayo haikuchukua muda nikacheua lakini sio kama mwanzo mara hii alinesanesa muda kidogo na alikuwa na spidi ya ajabu yaani nilijikuta tayari, (Yaani ilikuwa ndiyo mara ya kwanza narudi kufanya ndani ya muda mfupi, ilikuwa hadi nilale kwanza na muda mwingine nashindwa)

Mchezo bado unaendeleaa...

Baada ya hapo nikajiona nimeweza woga ukaisha, tukapumzika akanambia tukaoge tuondoke hapo sasa nikapata ujasiri wa kumuuliza kama ameridhika, akasema ndiyo nikamwambia mie bado nataka tena, (kumbe nilikuwa nazuga) akasema tukaoge anataka kuwahi.

Baada ya kuoga tukapumzika kitandani kama nusu saa huku tukinywa juisi na kuulizana hali ya mchezo, cha ajabu akawa ananisifia na kusema nipo vizuri, yaani nikajikuta nina furaha ya ajabu, huku anaendelea kunisifia na kunipapasa sehemu mbalimbali za mwili wangu.

Yaani sikuamini nilichokuwa najihisi jamaa alisimama ghafla naye hakuchelewesha akaweka maeneo,
Aisee asikwambie mtu yaani nilikamua, kila mkao, naye alikuwa na fujo, kazi kunibadilishia mikunjo tu, hadi tunafika mwisho namsikia akisema asante sana leo nimekojoa, na tulivyomaliza akaenda kuoga fasta nami nikamfata nyuma tulivyomaliza akavaa na kusepa!

Yaani nikawa najiuliza kimetokea nini, hata sielewi ikabidi nimwambie turudie ndani ya siku tatu akakubali. Safari hii nikawa naenda kwa kujiamini, kama kawaida la kwanza fasta, tukatulia, tukala na chakula, (Maana tulikuwa tumebeba kabisa tulipanga kulala hadi asubuhi) tukaenda kitandani imo, safari hii raundi ya pili nikamuona anavyokakamaa na kuning'ang'ania kwa nguvu mno nikajua ndiyo anakojoa na cha tatu hivyo hivyo!

Yaani hadi leo tumeng'ang'aniana maana kila mtu anakiri hajawahi fanya kama tunavyofanyana hivi. Yaani kuna siku naenda hadi raundi tano, hadi ananiomba msamaha, na cha ajabu zaidi, siku hizi hata punyeto siwezi tena, nikifanya nahisi najiumiza tu.

Maswali ninayojiuliza:
Je, huyu ndio kanitibu nguvu za kiume?

Kama kweli mbona ajawatibu hao alieanza nao wakawa kama mimi (kwa maelezo yake ninayoyamini mimi ni mwanamme watatu kwake, wa kwanza aliyezaa naye yupo naye kwa zaidi ya miaka ishirini ila hajawah kumtoa maji,
Wa pili ndiyo ajaweza chochote ye kimoja tu, na hajawahi kurudia hivyo akawa ananishangaa mie nawezaje kurudia.

Hitimisho
Usahihi ni kwamba, kwa maelezo hapo juu na ufuatiliaji nilioufanya, Punyeto haisababishi tatizo la nguvu za kiume ila mtu ukikubuhu kwenye mchezo huo kuna uwezekano ukaathirika kisaikolojia hivyo ikakuletea athari katika kufanya mapenzi na vijana wengi wanaopata shida hii itakuwa imesababishwa na sababu za kisaikolojia na wala sio nyingne

Nani wa kukutibu?
Hapa daktari mkubwa ni wewe mwenyewe na mwenza wako wote mnatakiwa kuonyesha ushirikiano, mwanamke usikate tamaa na kukimbilia kumlaumu mwenzako na wala mwanamme usikate tamaa kwa kujiona umeshindwa na wote kwa pamoja msiwe na haraka ya kutaka kurudia tendo.

Jamani nilikuwa na mengi ya kuelezea zaidi ya hayo ila mie sio mtaalam wa kuandika na naona maelezo mengi zaidi. Mwisho naomba mnishauri nimpe zawadi gani huyu binti kwa kazi nzuri aliyoifanya, Maana nishamnunulia kiwanja, nataka nimjengee nyumba kabisa

Naweka na kaushahidi kidogo
 
New member,
Naunga mkono hoja. Hii story yako haitofautiani sana na yangu ila kwenye nyeto tu sijafanya, ila mengine ni vile vile.

Nilichogundua, mwanamke anamchango mkubwa sana wa kukufanya ujione hufai na kukuathiri kisaikolojia au kujiona we kidume na kuwa man of the match kila siku.

Ushauri: angalia mwanamke unaekutana nae, akiwa amekubuhu itakula kwako, kwasababu hakawii kukuambia, kah mara hii tu umemaliza. Ukishaambiwa hivyo tayari keshakuroga hutaweza kuperfom tena. Ila mwanamke anaekutia moyo hata kama umevuruga huyo ndiye..
 
36 Reactions
Reply
Back
Top Bottom