Ushuhuda wa nguvu za kiume

S

sina demu

Senior Member
Joined
Jul 25, 2019
Messages
180
Points
225
S

sina demu

Senior Member
Joined Jul 25, 2019
180 225
Habarini wana JF wote natumaini muwazima nisiwe nastori nyingi niende mojakwamoja kwenye mada

Naomba kama ulikua muathirika wa Nguvu zakiume kutokana na Punyeto au maradhi yoyote naukapona naomba uweke mrejesho wadawa uliotumia ukapona tatizo hilo

Nikianza namimi nilikua mpigapuchu mzuri ila nilikua Niki mix napapuch kwamwenzi Mara mbili

Matibabu yalionisaidia

1)Mbegu za maboga (punje 10×2)
2) Ungawasoya ( asubuhi na jioni kijiko kimoja kila nikinywa chai au uji)
3) Matikiti maji nakula pamoja na mbegu zake wiki ×4
4 mazoezi ya kegel (asubuhi na jioni)

5) Maji Lita Moja kilasiku
6)Asali ya nyuki wadogo nachanganya navitunguu maji vilivyo kanguliwa kila siku jioni nakula kijiko kimoja na asubuhi

+++NAKARIBISHA WENGINE WATOE USHUHUDA LENGO KUOKOA NDOA ZAWATU++
 
Nokia83

Nokia83

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2014
Messages
24,568
Points
2,000
Nokia83

Nokia83

JF-Expert Member
Joined Jan 16, 2014
24,568 2,000
Mm nlidhani umewaletea suluhisho watu wenye maradhi kama presha na kisukari na wale watu wazima
 
Darmian

Darmian

JF-Expert Member
Joined
Oct 1, 2017
Messages
6,146
Points
2,000
Darmian

Darmian

JF-Expert Member
Joined Oct 1, 2017
6,146 2,000
Pull ni alternative ya sex ya kawaida..inamalizaje nguvu??

It's only cause psychological problems..
 
Nyoka mwenye makengeza

Nyoka mwenye makengeza

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2018
Messages
823
Points
1,000
Nyoka mwenye makengeza

Nyoka mwenye makengeza

JF-Expert Member
Joined Aug 20, 2018
823 1,000
nilipaka unga wa pilipili hoho kwenye mshedede
 
S

sina demu

Senior Member
Joined
Jul 25, 2019
Messages
180
Points
225
S

sina demu

Senior Member
Joined Jul 25, 2019
180 225
MAZOEZI ya KEGEL ulifanya muda wa miezi mingapi... Na unachukua dakika ngapi kumwaga??
Mda ni 2month kumwaga dakika 15 nakuendelea nankimwaga sipumzki mnyamaanaendelea
 
Fuqin

Fuqin

Senior Member
Joined
Dec 2, 2018
Messages
144
Points
250
Fuqin

Fuqin

Senior Member
Joined Dec 2, 2018
144 250
Mimi Nina mwezi 1 na wiki 2 tangu nianze zoezi... Nashkhru Kwa ushuhuda wako nitajitahd MAZOEZI haya mpaka nitimize miezi 3 au na zaid
Mda ni 2month kumwaga dakika 15 nakuendelea nankimwaga sipumzki mnyamaanaendelea
 
S

sina demu

Senior Member
Joined
Jul 25, 2019
Messages
180
Points
225
S

sina demu

Senior Member
Joined Jul 25, 2019
180 225
Ila inategemeana naulivyo athirika sababu kunamtu alifanya wiki mbili matokeo yakawa mazuri
Mimi Nina mwezi 1 na wiki 2 tangu nianze zoezi... Nashkhru Kwa ushuhuda wako nitajitahd MAZOEZI haya mpaka nitimize miezi 3 au na zaid
 
relis

relis

JF-Expert Member
Joined
May 24, 2015
Messages
2,356
Points
2,000
relis

relis

JF-Expert Member
Joined May 24, 2015
2,356 2,000
Mimi Nina mwezi 1 na wiki 2 tangu nianze zoezi... Nashkhru Kwa ushuhuda wako nitajitahd MAZOEZI haya mpaka nitimize miezi 3 au na zaid
Hebu nielekeze mkuu namna ya kufanya hayo mazoezi.
 
G

gluckkcom

Member
Joined
Jun 21, 2019
Messages
97
Points
125
G

gluckkcom

Member
Joined Jun 21, 2019
97 125
Mim sijawah tumia dawa japo nilikua mpigaj kinara ila Nilianza kuzingatia mazoezi na kubadili ratiba yangu kama hivi
Kwa siku nilikua napiga mara tatu ila nikaanza kupunguza nikawa napiga mara mbili kwa siku ad mwisho nikawa napiga mara moja kwa siku

Nikafwatia kwa siku mbili mara 1 nikaja kupiga kwa siku 4 mara 1 ad mara 1 kwa wik hivyo hivyo ad nikaja kuweza kupiga mara 1 kwa mwezi baada ya miezi sita nikatafta dem ili nitest mitambo nikajikuta nadumu kwa dakk 15 bila kuachia wazungu Maana kabla nilikua namaliza mapema hata sec 5 zilikua azifik na kuendelea ili ni shughuli nzito
 
S

sankwini

New Member
Joined
Sep 28, 2019
Messages
1
Points
20
S

sankwini

New Member
Joined Sep 28, 2019
1 20
kegel exercises ni suluhisho endapo ukifanya kwa usahihi
 
Watery

Watery

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2018
Messages
670
Points
1,000
Watery

Watery

JF-Expert Member
Joined Jul 24, 2018
670 1,000
Ukitaka upone acha kufikiria kuhusu hizo nguvu
Kuna mda nilizipoteza kutokana na akili yangu mwenyew
Acha kuhisi vibaya akili zako na pia kula vyakula vya kawaida tu au karanga alone
 

Forum statistics

Threads 1,342,663
Members 514,746
Posts 32,759,157
Top