Ushuhuda wa mke wangu kupona COVID19 baada ya kumuombea kwa kutumia medium ya new annointing water ya TB Joshua

Inahitaji kiwango cha Imani alichonacho mtoa mada ili asomaye aelewe,vinginevyo kuelewa ushuhuda wa mtoa mada ni sawa na mwanafunzi was chekechea kumuelewa Profesa wa Chuo Kikuu,

Inahitaji mtu wa kiroho kuweza kuelewa jambo la kiroho vinginevyo msomaji ataishia kujibu kama wanavyojibu watu wa ulimwengu.

Huu ushuhuda utawabariki wengi na utawalaani wengi,just watch your mouth kabla haujacomment huu ushuhuda,mtoa ushuhuda atabarikiwa mara mbili ndivyo ilivyo nguvu ya ushuhuda.

Mungu awabariki sana.
 
Nimesoma paragraph zote,hakuna sehemu umeelezea alipima hiyo covid-19 ikasoma positive.Naomba unisaidie,ulipima wapi ukawa na ushahidi kuwa ni covid-19!
Covid 19 kwa Kiswahili ni uviko wa 19,hizi ni dalili (symptoms) na hata madaktari wanatibu dalili (symptoms) sasa mtoa mada kakwambia mkewe kapiga x-ray ya mapafu kakuta yameharibika,hii ni moja ya dalili ya Uviko wa 19 maana vicorona vikiingia vinaenda kushambulia mapafu na kugandisha damu,kama ni hivyo na ukafikia kuwekewa oxygen maana yake upumuaji wako uko chini ya kiwango cha kawaida cha mwanadamu yaani chini ya 90 maana mwanadamu kiwango cha kawaida cha upumuaji ni 90 hadi 100 hivyo basi mtoa mada yupo sahihi,na Cha muhimu ni uponyaji ambao umetendeka maana hospitali hapo hapo wapo wenye shida ya upumuaji mtu mmoja anatumia mitungi 40 hadi 50 wengi wanapona na wengine wanakufa,kwa kama uponyaji umetokea mwanzoni ni jambo la kumshukuru Mungu maana watu wanakaa na mtungi wa oxygen siku 14 hadi 30 ndio anaanza mazoezi ya kupumua mwenyewe,Wote tumshukuru Mungu kwa uponyaji na ushuhuda uliotolewa,Mungu amemuepusha na mengi huyu mtoa mada,Sasa kama mwenzangu na Mimi hauamini basi subiri siku yako utaamini tu.
 
Tayari umeshatupiga hapo mkuu.
Haujatwambia kama mke wako alipimwa na kukutwa na COVID19 bali walimpima na kumkuta na tatizo la upumuaji ambalo ndiyo husababisha COVID19. Hapo unatumia ubabe tu kutupiga, yaani unamaanisha COVID19 husababishwa na tatizo la upumuaji?
Siyo kwamba tatizo la upumuaji ndiyo husababishwa na COVID19?
Huko ni kumsingizia Mungu kwa viwango vilivyo pitiliza, Mungu hapendi kabisa hizo. Acheni sanaa zenu.
Mke wako atakua ali login JF kwa account yako akaona mambo unayoandika humu Majukwaani akaishia kupandisha pressure kiasi cha kushindwa kupumua, halafu wewe unaleta story zako.
Tatizo inakuja kwenye anointing water.Jina la Yesu linadharauliwa.
 
Inahitaji kiwango cha Imani alichonacho mtoa mada ili asomaye aelewe,vinginevyo kuelewa ushuhuda wa mtoa mada ni sawa na mwanafunzi was chekechea kumuelewa Profesa wa Chuo Kikuu,

Inahitaji mtu wa kiroho kuweza kuelewa jambo la kiroho vinginevyo msomaji ataishia kujibu kama wanavyojibu watu wa ulimwengu.

Huu ushuhuda utawabariki wengi na utawalaani wengi,just watch your mouth kabla haujacomment huu ushuhuda,mtoa ushuhuda atabarikiwa mara mbili ndivyo ilivyo nguvu ya ushuhuda.

Mungu awabariki sana.

Walokole na vitisho vyenu. Utafikiri mna hatimiliki na Mungu kumbe matendo yenu mlio wengi ni uozo mtupu. Eti anointing water...na picha za nabii...na mafuta/chumvi ya upako . Nabii ana walinzi wenye silaha za moto na wewe umebandika picha zake ili zikulinde. We ulisikia wapi?

Na kwa nini wewe hujaweka CV na namba yako ya simu kama alivyofanya mwenzio?
 
Tatizo inakuja kwenye anointing water.Jina la Yesu linadharauliwa.
Hapana,unawaza vibaya,kumbuka Fimbo ya Eliya na nguo ya Eliya alizomwachia Elisha 2Wafalme 2:9-14 mifupa ya Elisha ilifufua maiti iliyotupwa juu yake,Kumbuka kivuli cha Petro Matendo ya mitume 5:14-16kukuponya mamia ya watu waliojilaza pembeni ya Barabara,kumbuka kitambaa cha Paulo 18:3-4,Matendo ya Mitume 19:11-12 kiliponya wote waliokishika,Sasa kwa suala Annointing water ya Tb Joshua Kwanza mwenyewe kila mara kwa siku kwenye tv yake anasema hauzi Annointing water na ataeuza na ataenunua watakuwa wamenunua maji ya kawaida ya bombani na sio annointed water,

Sasa basi kama Imani yako ndogo unahitaji mtu wa Imani iliyojuu yako akusaidie kuomba,Annointing water inasave a purpose,inasimama kama medium ya upako kati yako na Mungu,

Naamini umewahi kusikia kwamba mtu anaweza kuomba lakini maombi yake yasimfikie Mungu maana yanazuiliwa sehemu kwa sababu hayana upako kuweza kupita wanajimu wa anga wa shetani na satelite zao wakitega maombi dhaifu na legelege na kuyazuia yasimfikie Mwenyezi Mungu.

New Annointing water ya Tb Joshua inakuwa kama mimbali yenye microphone kuweza kuongea na Mungu,kama ilivyokuwa neema ya Paulo kwenye kitambaa basi Leo pia neema ya Tb Joshua itakuwepo kwenye maji kuponya wenye uhitaji ambao atashindwa kukutana nao,

Tuwe Great thinker,Mungu hakusema yaliyofanyika kwenye Agano la kale au wakati wa Bwana Yesu yalipita na kuisha,Bwana Yesu alisema nitawaletea msaidizi na mtafanya Mambo makubwa,

Soma Ufunuo 11:4-13 kuna manabii wawili watakuja duniani watafanya mambo makubwa mno hata kuwaadhibu wanadamu kama ilivyokuwa enzi za Nabii Eliya,watasimamisha jua lipige hata mvua,
 
Walokole na vitisho vyenu. Utafikiri mna hatimiliki na Mungu kumbe matendo yenu mlio wengi ni uozo mtupu. Eti anointing water...na picha za nabii...na mafuta/chumvi ya upako . Nabii ana walinzi wenye silaha za moto na wewe umebandika picha zake ili zikulinde. We ulisikia wapi?

Na kwa nini wewe hujaweka CV na namba yako ya simu kama alivyofanya mwenzio?
Basi wewe subiri tukishanyakuliwa na wewe ukabaki(the rapture) imeandikwa utasaga meno sio ulimi,utayasaga meno na utayala,utaomba mlima ukuangukie ili ufe lakini mlima utakukimbia,utakitafuta kifo hata ujirushe ghorofani hautakufa,Sasa kama unaona walokole wanakutisha basi,endelea kutishika lakini jinsi wanavyokutisha ni luxury kwa sasa maana muda wa Bwana ukifika,pale palapanda itakapolia starehe hautaiona,shetani atajitokeza atawacheka atawaambia alikuwa anafanya kampeni ndio maana aliwaletea starehe kidogo,Ila kampeni zimeisha mpambane na maisha halisi ya Jehanamu.
 
Naona aibu hata kujibizana nawe. Sorry
 
Nampenda yesu live live lakini mzee wangu hayo maji endelea kutumia wewe na mkeo yakiisha mtafute mzee Bokozo akupe mengine anayo pipa zima.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom