#COVID19 Ushuhuda wa Mchungaji Godwin Chilewa kuhusu COVID-19: Je, tunamficha nani, kwanini na kwa Faida gani?

Binafsi nlipoanza kupata such symptoms nilikimbilia kutumia tuba asilia pamoja na hizo za kufukiza nyungu. Lkn hazijasaidia na zilinipelekea shida ya upumuaji kwa vile wadudu waliendelea kushambulia kifua na mapafu.

Niliporudi kwa doctor aliniambia niache kujifukiza mara moja ni hatari kwa pumzi.
Then ilikuwaje mkuu? Ulipata tiba gani?
 
Anawachanganya au anawaambia ukweli ili mjinasue huko kwenye nyungu zenu na mpaze sauti za kutaka serikali iwajibike juu ya vipimo na matibabu sahihi?
Siyo kila kitu unakiingia kichwakichwa na kiitikadi! Mleta hoja ni mhanga na anashare uzoefu wake jinsi alivyopambana pamoja na ushauri wa madaktari ili wahusika waamke na kutimiza wajibu wao na sio kututangazia habari ya mitishamba isiyofanyiwa tafiti za kisayansi kuuzwa kwenye hospitali za umma!
eti "matibabu sahihi"....mkuu unachekesha, hufahamu virus wewe!
 
Binafsi nlipoanza kupata such symptoms nilikimbilia kutumia tuba asilia pamoja na hizo za kufukiza nyungu. Lkn hazijasaidia na zilinipelekea shida ya upumuaji kwa vile wadudu waliendelea kushambulia kifua na mapafu.

Niliporudi kwa doctor aliniambia niache kujifukiza mara moja ni hatari kwa pumzi.
Mim nilikua na dalili Kama za jamaa hizo hizo Ila nikitumia dawa mseto nikapona
 
Kiufupi anataka kusema tiba ya corona IPO marekani, Sasa zile takwimu za vifo marekani ni za uwongo bila shaka.
 
eti "matibabu sahihi"....mkuu unachekesha, hufahamu virus wewe
eti "matibabu sahihi"....mkuu unachekesha, hufahamu virus wewe!
Dogo, Mimi ni mhanga na Nina siku ya tano nataabika! Hakuna dawa sijaitumia na Hadi Sasa natumia azu na junior aspirin ndio kidogo kichwa kinapoa japo sisikii, Sina taste na macho hayaoni vyema! Halafu unasema sivijui virus?
 
Sijawahi ona mchungaji Tanzania anayeumwa corona wana ulinzi wa Mungu wanayemtumikia huyu aangalie njia zake na ajiulize ni mchungaji wa Mungu au shetani

Corona haiwezi mpata mchungaji wa kweli
 
Mpaka amefikia kuandika kitabu kizima cha kuambukizwa,kuugua na kupona korona hajagusia kuhusu mke na watoto wake aliosafiri nao kuja Tanzania na kurudi nao na ambao ndio waliombeba kumpeleka hospitali.Jee na wao vipi wapo hai au wako hospitali?
 
Huyu jamaa ni mzushi kwa kuzingatia nukuu ya maneno yake mwenyewe kisa anaishi Marekani

Nukuu "...ukizingatia kuwa nilianza kuumwa nikiwa kwenye ndege........"

Mpaka hapo tuhuma anazozitoa kuhusu Tanzania ni chuki binafsi maana virusi vinaweza kufanyakazi kati ya siku moja na siku kumi na nne hivyo kuugua kwake akiwa tayari yuko ndani ya ndege na kwamba amekiri wakati akiwa bado akivinjari kwenye mitaa ya nchi ya Tanzania alikuwa ni mzima basi ugonjwa aliupata ndani ya ndege.
 
Back
Top Bottom