Ushuhuda wa Dr. H. Mwakyembe

mwakyembe amekuwa anatoa vipande vipande vya movie yake, niliangalia part I alipokuwa mgonjwa nyumbani kwako na part II aliporudi kutoka India, nimesubiri sana part III ya ama kalishwa sumu au hakulishwa sumu bila mafanikio. Hata ikitoka part III sitanunua.

Maombi yangu yali base story ya humu whether ni kweli ama ni uwongo ajua yeye ila jambo moja tu najua whether ni kwa mkono wa mtu ama shetani huo ugonjwa wake hauwezi kumfanya lolote maana uhakika huo siambiwi na mtu yeyote bali yeye aliyenituma kulihubiri neno lake na kuzidhihirisha nguvu zake kwa wanadamu humu ulimwenguni...Sasa hayo mengine hayani husu na wala sina interest mine is the healing of his disease na hasa baada ya story kusema kuwa kalishwa sumu so kama amepona then I assume ni kweli maana niliomba sumu iwe ineffective na itoke through body mechanisms jambo aliloshuhudia hadharani nami kusoma the story through JF so kama majibu ya maombi yangu yanalingana na niliyoyasoma then why shouldnt I praise my God kwaku demonstrate power? Na huu ndiyo ushuhuda kuwa the kingdom of God is not about bread and meat but the demnstration of power..Praise master Jesus!
 
Maombi yangu yali base story ya humu whether ni kweli ama ni uwongo ajua yeye ila jambo moja tu najua whether ni kwa mkno wa mtu ama shetani huo ugonjwa wake hauwezi kumfanya lolote maana uhakika huo siambiwi na mtu yeyote bali yeye aliyenituma kulihubiri neno lake na kuzidhihirisha nguvu zake kwa wanadamu humu ulimwenguni...

mbona hujamshauri mwakyembe kupunguza urasimu wa ugonjwa wake wengi tunaona kama anaigiza ingawa mwanzo tulikuwa pamoja naye....
 
Mwakyembe anamuamini Mungu gani? uliyoyandika hapa umeongozwana Roho au basi tu changamsha baraza?

Naamini kaumbwa kwa sura na mfano wa Mungu naye anapumzi ya Mungu ndiyo maana anaishi na siyo ghost kama ndivyo basi huyo huyo aliyemshuhudia ndiye Mungu ninaye mwamini mm!
 
Mimi sielewi kabisa, wewe unazungumza kama mchungaji aliyemuombea Dr Mwakyembe au Mwakyembe mwenyewe?

Gospel preacher yeye hanifahamu wala mm simfahamu bali nilisoma jf habari za ugonjwa wake na kuamua kusimama kwa zamu yangu.....
 
Napenda niishie hapa wangu ulikuwa ushuhuda tu kukazia uponyaji wa Dr. Mwakyembe na siyo zaidi ya hapo...Mbarikiwe nyote!
 
Ni dua nzuri, lakini kumbuka hata wale waliomfanyia Mwakyembe ubaya huo wako makanisani. Wanasali na kutakaswa... Wanaendesha harambee na kumtolea Mungu sadaka vilevile! Pengine wanafanya hivyo kama ishara ya toba!! Je unaonaje? Pamoja na dua hii ya kutaka hao wabaya waangamie, Mungu ataisikiliza dua ya nani kati ya hao wawili?

Mungu si mwanadamu bali mwenye haki anajua kila jambo na kila wazo; zaidi sana nia yake ni kila roho isipotee bali iokoke kwani anachukia dhambi bali anapenda binadamu wote hata yule anayetenda dhambi kwani mtenda dhambi ni mtumwa wa shetani naye anataka kutoa wanadamu katika utumwa huu mbaya na kuwaingiza katika kweli yake nayo ni hii kumpenda na kumjua yeye pia kumtendea jirani jinsi upendavyo kutendewa....Neema yake yatosha naye atahukumu kwa haki kwani hukumu yake ni ya kweli na inayoleta toba ya kweli....
 
Gospel preacher yeye hanifahamu wala mm simfahamu bali nilisoma jf habari za ugonjwa wake na kuamua kusimama kwa zamu yangu.....

Ame, umechagua kazi njema mkuu! Ubarikiwe, ni vizuri zaidi kuwajibika kwa Mungu kuliko kwa mwanadamu.
 
  • Thanks
Reactions: Ame
Ushuhuda wangu una base hapa.....


Hasira hukaa kifuani mwa mpumbavu..ndivyo neno la Mungu linavyosema. Vita vyetu si vya damu na nyama na silaha zetu zina nguvu katika roho hata kuangusha ngome falme na mamlaka. Tunayo nguvu ndani yetu ya kukataa kuonewa na tuna ahadi kuwa tukimkanyaga nyoka/ nge kichwa hatatudhuru. Naona watu wengi wanaingia katika mtego wa shetani kwakusema Mungu atafanya...Mungu atatusaidia.. etc Mungu ametupa nguvu za kuwadhibiti maadui zetu nijukumu letu kujua hilo kwanza. Tukishajua basi tujifunze jinsi ya kutumia hizo nguvu hata zilete matunda.

Mfano wa haya ni kama vile unahabari kuwa duniani kuna wahalifu nawe unajua kabisa wanadhuru sasa anakuja mtu akupendaye anakupa AK 47 na manual yake na mwalimu wakukufundisha ili uweze kuitumia kila mara huyo adui ambaye hana hata silaha bali ujuzi wakukunyang'anya silaha uliyonayo na kuitumia dhidi yako kama utamruhusu.

Ndivyo ilivyo kwa wenye haki wote (maana mm sina dini bali nina imani katika Yesu na nguvu zake) hapa JF utasikia tumwombe Mungu amsaidie; wengine wanasema Mungu atalipa; wengine wanaamua kugombana kwa maneno ya kibinadamu...Hawajui kuwa wanamiliki AK 47 na huyo adui hatishwi na maneno yako matupu yasiyo na nguvu wala kwa wale wanaojidai kuwa wana AK 47 ndani lakini hawajui hata jinsi ya kuitumia...AK 47 inapata maana kama unajua unayo na unajua uwezo wake uko kwa kiasi gani katika kuangamiza na pia kama unajua jinsi ya kuitumia dhidi ya mtu mwenye training ya kuitumia lakini hana kibali cha kuimiliki kama ilivyo wewe.

Tunaye roho wa Mungu mwenye nguvu na uwezo ambaye vyote vilivyoujaza ulimwengu viliumbwa kwa nguvu yake na Mungu baba kupitia neno (Yesu) lake. Lakini kama hujui hiyo nguvu iko ndani mwako wala hujui jinsi ya kuitumia basi kuwa mpole tu na uombe wenye ujuzi wakusaidie kuliko kuwa na kiburi ambacho hakiwezi kukusaidia zaidi ya kukuaibisha. Ukristo si dini bali ni style ya maisha wale wanaoamini nakuuishi ni waflame katika dunia hii whether utapenda ama hutopenda and can do anything without any limitation. Na inapofika hapo huwa najiona niko juu ya dunia nakuiangalia kwa chini vitu vyote vikiwa chini ya control yangu 24hrs 7dys 52wks wakati huo huo nikiwa humbled by grace kwa niliyoyapitia kiasi ambacho heshima yangu hata kwa mtoto mdogo ni mwonapo nikubwa ajabu kwani kwake naona sura ya Mungu kwamba kwa udogo wake this can one day be my president na mimi nikampigia saluti...

Nimeandika haya yote kuinua imani ya wale wanaodhani Mwakyembe atakufa....Take it from me I have taken this case personal na hakuna kitakachompata iwe amaelishwa radioactive (rays), sumu(chemical) ama virus(biological weapon) hivi vyote vitageuka waste na kuwa disposed kama vile anavyokula vyakula vingine. Labda mta sema kwanini ngozi imekuwa hivyo basi..Ni ili msije sema kuwa haikuwa hatari yaani ishara kuwa the thing was realy na hao wabaya wahakikishe kuwa kweli waliyafanya haya lakini bado hakufua dafu kwasababu tu mtu mmoja Prince Ame ambaye anajua nafasi yake hapa duniani alikataa huu ubaradhuli wa shetani, Ili baba yake (Jehova) atukuzwe na wote wenye mwili.

Amen to Jesus the name above all!
 
mwakyembe ameamua kutengeneza cinema ya mabishano ya nani anawajibika kuuambia umma yaliyomsibu.....sijapenda
Mwakyembe anaboa sana. Badala ya kufunguka mda huu..anaangalia tu mabishano. Sidhani kama ana cha kuloose akituambia blak and white kwani kama sumu ndio keshawekewa na imeshakula kwake. Funguka kabla hawajakumaliza kabisa. Ananiboa sana
 
First of all, I don't see any Ushuhuda.. Bali sentensi, Ushuhuda would have come with real evidence such as confirmation of cure, etc.

Second, mwakyembe is playing dirty politics... Seeking sympathy

Who knows?? Maybe he has other diseases as well?... He has been seek before, tena bungeni and when he got back MPs cheers, some years ago

Fourth, it is bad to use Fool people in the name of god!
 
Naamini kaumbwa kwa sura na mfano wa Mungu naye anapumzi ya Mungu ndiyo maana anaishi na siyo ghost kama ndivyo basi huyo huyo aliyemshuhudia ndiye Mungu ninaye mwamini mm!

Nimekuuliza ana muamini Mungu? hawa watu wanashinda kwa waganga wa kienyeji na wachawi, ni wanafiki, waongo na hana usafi wowote ule.......issue ya richmond ilikuwa designed kummaliza Lowasa, ili hali akijua Kikwete ndiyo namba moja!

Mungu yupi? kuna watu wa Mungu na wana wa Mungu!! umekurupuka mtumishi, nina wasiwasi na hujatumwa na Mungu kuyasema haya!! ila ni huruma tu!
 
Nimekuuliza ana muamini Mungu? hawa watu wanashinda kwa waganga wa kienyeji na wachawi, ni wanafiki, waongo na hana usafi wowote ule.......issue ya richmond ilikuwa designed kummaliza Lowasa, ili hali akijua Kikwete ndiyo namba moja!

Mungu yupi? kuna watu wa Mungu na wana wa Mungu!! umekurupuka mtumishi, nina wasiwasi na hujatumwa na Mungu kuyasema haya!! ila ni huruma tu!
Shetani ana akili sana,lakini ni mfalme wa uongo na uchonganishi.
Aliweza kumconvince Adam na Hawa kula tunda, na kwamba wataishi milele.Mtoa mada kasema ujumbe simple and clear kama imani yako ni haba kaa kimya tu au kanywe bia
 
  • Thanks
Reactions: Ame
Nimekuuliza ana muamini Mungu? hawa watu wanashinda kwa waganga wa kienyeji na wachawi, ni wanafiki, waongo na hana usafi wowote ule.......issue ya richmond ilikuwa designed kummaliza Lowasa, ili hali akijua Kikwete ndiyo namba moja!

Mungu yupi? kuna watu wa Mungu na wana wa Mungu!! umekurupuka mtumishi, nina wasiwasi na hujatumwa na Mungu kuyasema haya!! ila ni huruma tu!
"hujatumwa na Mungu kuyasema haya!! Ila ni huruma tu!" mkuu Ame acha maneno yote tafakari haya maneno tu!
 
mwakyembe ameamua kutengeneza cinema ya mabishano ya nani anawajibika kuuambia umma yaliyomsibu.....sijapenda

Mimi ni binadamu. Nina mapungufu yangu memgi lakini nachelea kumdhihi mtoa madi asiwe ''a respecta of a person.'' Mwakyembe ni public figure, wengi wanafahamu hilo. Ame awemkweli, Mungu siyo respector of a person kama Ame anavyodhani. Mwakyembe aliwaficha majambazi wa Richimon, na dhambi hiyo hajatubu mpaka leo kwa kuwataja wote aliowaficha ili wachukuliwe hatua za kisheria. Dhambi hii inatosho kabisa kuondoa uhusiano wake na Mungu kwa 100%. Wanaompamba Mwakymbe aonekane mtakatifu wanajidanganya wenyewe. Wamshauri tu atubu kwanza dhambi ya kulipotosha taifa kwenye lile sakata la Richimond. Nawasilishi!
 
Ni dua nzuri, lakini kumbuka hata wale waliomfanyia Mwakyembe ubaya huo wako makanisani. Wanasali na kutakaswa... Wanaendesha harambee na kumtolea Mungu sadaka vilevile! Pengine wanafanya hivyo kama ishara ya toba!! Je unaonaje? Pamoja na dua hii ya kutaka hao wabaya waangamie, Mungu ataisikiliza dua ya nani kati ya hao wawili?
si kila aliaye bwana bwana atauona ufalme wa mbingu... kama kweli Edward Lowassa amehusika hakika pilika zake zote ni bure?
 
Back
Top Bottom