S V Surovikin
JF-Expert Member
- Aug 8, 2015
- 13,615
- 32,712
- Thread starter
- #41
Alikuwa na hofu ya kuambukizwa"Kesho yake nilizidiwa zaidi nikawahi hospitali asubuhi nikamweleza doctor hali yangu, akashtuka akakaa mbali kidogo tukawa tunahojiana mwisho akaniambia nikafanye vipimo chumba cha pili"Hii imenichekesha sana!😂😂😂