Ushuhuda: Mchemsho niliokunywa, haikupita nusu saa nikawa fresh mpaka nikawa naona furaha ya kupumua

Wizziiii mtupuuuuu, kazi yenu kuwaibia watu tuu majizi makubwa nyiee, yaani mnashuhudia uongo ili kuwaibia watuu???
 
Kwani huko ulikosomea maswala ya covid19 uliambiwa inampata mtu mara ngapi kwa mwaka?
Mara mbili inawezekana kisayansi (baada ya kuumwa na ukabahatika kupona unapata Kinga ya covid-19 lakini ina China baada ya kuanzia miezi sita.) Coronavirus inakawaida ya kujiongeza( mutative) ikijiongeza kirusi hicho kinaweza kikushambulie tena bila shida.
 
Hata mimi nimesikia kwamba covid19 inarudi baada ya miezi 6, lakini kwa hapa mtaani ninapoishi naweza kusema ni uongo.
Covid19 inaweza kurudi hata baada ya miezi miwili
 
Binafsi nimeshuhudia watu kadhaa waliopona baada ya kutumia mchanganyiko huu na kujifukiza. Kuna jamaa yangu mmoja hali yake ilishakuwa tete sana, hata alikuwa anapumua kwa taabu sana. Tulipopata taarifa tu tukamshauri mkewe amtengenezee huu mchanganyiko. Hali yake ilibadilika sana baada ya kuanza kutumia na sasa ni mzima kabisa.
Hapa mtaani kuna jirani yangu naye ilimpata, yeye naye alikuwa mbishi kutumia mchanganyiko huu, akitumaini zaidi dawa alizopewa hospitalini. Lakini hali yake ikazidi kuwa mbaya mno. Hapo akawa hana namna ila kukubali kujaribu kuutumia. Sasa hivi na yeye anaendelea vizuri sana.
Nilichojifunza ni kwamba, bado Watanzania wengi ni wagumu mno wa kuelewa na ni wabishi mno. Suala la kujifukiza haliko tu Tanzania, tumeona katika mataifa watu wanajifukiza na wanasaidika, lakini bado kuna watu kwa chuki zao na serikali wanabisha.
Hebu sasa tuambieni nyie mnaobisha, ufumbuzi wa janga hili nini?
Ni kujifungia ndani? Huko walikojifungia corona haiwasumbui?
Tutajifungia mpaka lini?
Halafu tukifungia tutakula nini?
Leteni majibu ya maana na sio matusi
Matusi yanaonyesha tu namna gani mtu ni mweupe kichwani
Bora useme na wewe pengine wakaelewa
 
  • Thanks
Reactions: len
Aisee mimi sijapima ila natumia ile dozi ya NIMR...koo lilikua limevimba,kichwa kinauma hadi macho yanalegea,homa zinakuja nakuondoka sometimes nahisi uzito kwenye kupumua nikaona siyo poa nimejifungia kwa muda japo sijui kama ni covid ila dalili ndo hizo but ni afadhali nw.
 
Binafsi nimeshuhudia watu kadhaa waliopona baada ya kutumia mchanganyiko huu na kujifukiza. Kuna jamaa yangu mmoja hali yake ilishakuwa tete sana, hata alikuwa anapumua kwa taabu sana. Tulipopata taarifa tu tukamshauri mkewe amtengenezee huu mchanganyiko. Hali yake ilibadilika sana baada ya kuanza kutumia na sasa ni mzima kabisa.
Hapa mtaani kuna jirani yangu naye ilimpata, yeye naye alikuwa mbishi kutumia mchanganyiko huu, akitumaini zaidi dawa alizopewa hospitalini. Lakini hali yake ikazidi kuwa mbaya mno. Hapo akawa hana namna ila kukubali kujaribu kuutumia. Sasa hivi na yeye anaendelea vizuri sana.
Nilichojifunza ni kwamba, bado Watanzania wengi ni wagumu mno wa kuelewa na ni wabishi mno. Suala la kujifukiza haliko tu Tanzania, tumeona katika mataifa watu wanajifukiza na wanasaidika, lakini bado kuna watu kwa chuki zao na serikali wanabisha.
Hebu sasa tuambieni nyie mnaobisha, ufumbuzi wa janga hili nini?
Ni kujifungia ndani? Huko walikojifungia corona haiwasumbui?
Tutajifungia mpaka lini?
Halafu tukifungia tutakula nini?
Leteni majibu ya maana na sio matusi
Matusi yanaonyesha tu namna gani mtu ni mweupe kichwani
Kwa mujibu wa dr faustine ndugulile mgonjwa wa corona anahitaji zaidi oksijen na sio moto, mvuke wala moshi ,kujifukiza kunaweza kuongeza tatizo kwenye njia ya hewa
 
Kibongobongo, dawa mpya ya Uviko-19 ni mchanganyiko wa Salimia/ Sloane’s liniment na asali ya nyuki wadogo.

Bado natafiti uwiano wa kuchanganya hivyo msianze kutumia kwanza.

Nitaongezea nyama baadaye.

Sasa hivi nasikiliza wimbo wa Hayati Bob Marley, Natural Mystic.

“Wengi zaidi hawana budi kuteseka, wengi zaidi hawana budi kufa.
Usiniulize kwa nini.
Kuna kitu kisichofahamika kinapita hewani.
Kama ukisikiliza kwa makini waweza sikia”.
 
Hawa wote ni wafuasi wa mjinga mmoja wanajaribu kukebehi watu. Watu wanakufa wao wanasema ni hofu. Watu wanakufa wao wanatudanganya tujifukize na madawa ya ujinga ambayo yanasababisha mapafu kuathirika zaidi. Kwendeni zenu
wewe mbuzi waambie watu wafanye kitu gani wapatapo hizi dalili, mnajitia ujuaji wakati wajuaji wenyewe wamelagea.
 
Kwa sababu ni uposhaji. Mpaka sasa kuna dawa zinazojulika zinasaidia ku-recover lakini malimao siyo moja na wanasanyansi wameshasema hayasaidii kwa namna yanavyotumika. Huku kwentu tunambiwa tusijali chochote kuhusu corona bali tujifukize na kula tangawizi na malimao. Huoni ni uposhaji huo?
Malimao/ndimu ni tiba ya kikohozi miaka na miaka, sijui wataalamu gn unawazungumzia wasojua hili jambo. Na kwenye Covid zinashughulikiwa dalili, unavyosema ndimu na tangawizi havisaidii wewe ndo mpotoshaji.
 
Kuna watu ukisema umejitibu kwa kutumia hizi dawa za asili/tiba rishe wanachukia sana.
Ilhali zimeleta msaada kwa watu wengi.

Mimi sijaugua wala kupata dalili za Covid ila rafiki yangu alipata izo dalili akapiga mchanganyiko wa NMR kwa kutengeneza yeye mwenyewe home.
 
Aliuguaje ugonjwa usiokuwepo nchini au yuko nje ya nchi?
 
Back
Top Bottom