nderingosha
JF-Expert Member
- Mar 20, 2011
- 4,281
- 3,243
..duh hawa waarabu nchi hii wameifanya yao...huyu mzee Islam wa OILCOM amefanya kafara ya ajabu pale upanga anapoishi....Nikiri kuwa katika taifa dar...ama TZ nzima sijapata kuona nyumba ya namna hii..nina uhakika hakuna nyumba ya kifahari zaidi ya hii TZ....huyu jamaa ameweka ngome ya ajabu kwake...yaani si hekalu bali kasri la ajabu lililochukua sehemu kubwa ya mtaa ulio karibu na malik street pale msikitini Al Noor....yani jumba lake ni jingome la ukubwa wa ajabu lililojengwa kwa imported concrete na kuzibwa mwanzo mwisho...kasri la ajabu limekwenda juu kabisa..na kuta nene za mawe/matofali ya nje....yaani design ya jumba hili sijawahi ona TZ....huwezi kuamini ni nyumba ya mtu mmoja...maana humo ndani kuna mijumba iliyoungana karibu sehemu kubwa ya mtaa ule....Ukipita hapo lazima ushangae na punde utafatwa na walinzi kuulizwa wafanya nini hapo....wanasema hata huo msikiti hapo yeye Islam ameujenga...na ana mlango wake special umeunganishwa toka kwake kwenda hapo msikitini....amazingly..na wakuu wa nchi hii possibly wanajua maana wengine husali hapo msikitini...
...nimewahi kusema waarabu na wahindi ndio wenye kuishika TZ na ndio majipu makubwa nchi hii..wale watanzania wanaokamatwa ni cha mtoto lakini mara nyingi wanakuwa mawakala ama vibaraka wa waarabu na wahindi matajiri wa nchi hii....na ukitaka kuwajua matajiri hawa nenda upanga uone wanavyoishi.....na kuwajua si vigumu kama unaishi upanga maana wao na watoto wao huwa na tabia ya kutoka usiku na magari ya kifahari kabisa ya sports yenye kupiga kelele mitaa yote ya upanga....hakika kafara za namna hii huzioni popote TZ zaidi ya upanga...si osterbay wala masaki bali upanga..na matajiri hawa ndio wenye biashara zote kubwa za maana TZ....haswa mafuta (petrol& disel) na hata mafuta ya kula...magari...na hata vitalu vya kuwindia..n.k you name it....Naona JPM anakimbizana na watumishi wa umma wanaokuwa mawakala/vibaraka wa waarabu na wahindi....