USHUHUDA: Hii ndiyo michezo hatarishi ya Kampuni ya Mafuta ya Oilcom

Sioni kwa sababu gani taarifa kama hii badala ifanyiwe kazi, wanahangaika kumtafta mtoa taarifa. Lkn pamoja na kujitoa fahamu, asilimia kubwa ya watumishi TRA wamekwenda na maji.
 
Haya ndio maajabu. Taarifa kama hizi ni moja kati ya nyenzo muhimu za kukomesha matendo maovu ambayo serikali inajitahidi kupambana nayo
 
Njaa na wivu zitawaua nyie maskini.
OILCOM ni one of top 10 wanao ongoza Kulipa Ushuru hapa nchini.

Kama una data za hakika si umplekee Pombe !

Kulipa kodi ni hoja nyingine na uchakachuaji ni hoja nyingine
 
Parameter anayoi-monitor kwenye hii petrol anayotu-blendia ni hiyo OCTANE number tu kwa sababu anajua kuwa akikosea hiyo atauwa injini za magari yote yanayotumia petrol na effect yake watu wataiona immediately wakijaza kwenye station zake.

I will always go for Puma and Total products
 
Moderators embu tupia macho vitisho vya hao jamaa huko inbox ili jamaa akipotea tujue pa kuanzia, mzee safi sana hakika wewe mzalendo nitakuwa najaza puma au total tuu
Swali langu usalama wake ukoje hatarini wakati jf Ni salama? Mungu amlinde mzalendo huyu
 
Dada Faiza, jamaa anacho sema hapa ni uchanganyaji wa Petrol na Naptha kwa ratio maalum alafu baadae wanaongezea octane booster kwa lengo la kufikia anti knock index inayo takiwa kudhibiti kulipuka mapema kwa mchanganyiko wa mafuta na hewa kwenye cylinder liners kutokana na joto linalo sababishwa na piston compression (mahusiano ya pressure na temperature) ufumbuzi wa tatizo hili ni kuongeza additives kwenye mafuta ili u raise flash point temp. hiyo itafanya mafuta yasilipuke mapema kabla hayaja chomwa na spark plugs - kwa wachakachuaji mahili suala hili wanalichukulia kama la kufa na kupona, wakilifanyia mchezo ni rahisi kuhumbuka kama ntakavyo elezea hapa chini.

Kama wachakachuaji wangepuuzia kuweka anti knock agent ya kutosha kwenye mafuta, wateja wangelalamika kwamba magari yao pulling power ya engine inapungua sana kila wajazapo mafuta kwenye vituo fulani vya mafuta, malalamiko hayo yangekuwa mengi sana kiasi cha kuifanya Serikali kuingilia kati ili kubaini tatizo hilo linasabishwa na kitu gani kwenye mafuta, ufatiliaji huo angesababisha wahusika wa mchezo huu kutiwa mbaroni kirahisi.

Swali hapa ni: ilikuwaje wasitiliwe shaka kwa muda mrefu - jibu linatokana na ufanisi wao wa kutengeneza mixed grill ambayo kwa mtu wa kawaida ni vigumu kuitilia shaka kutokana na mchanganyiko maalumu kufikia specs za un adulted Petrol - engine ita run bila ya kuwa na hicups zozote - kitu ambacho uta notice kama una weledi fulani ni harufu inayo tolewa kwenye exhaust pipe, si hilo tu hata ukichukua Petrol kidogo kwenye galoni ukamimina kidogo nyuma ya kiganja chako harufu yake ina walakini fulani, halafu it takes time to vaporise unlike Petrol ya kawaida Octane numbers notwithstanding - WHY!

Baada ya kupitia uzi mzima wa mleta taarifa sidhani kama ameutunga, anaonekana anajua vizuri anacho ongea, na masuala ya uchakachuwaji sio sayansi ya roketi, mtu yeyote mwenye uwezo wa kifedha na kiufundi anaweza kufanikisha uchakachuaji akitumia a backyard laboratory yenye vifaa vya kupimia flash point za mafuta, anaongezea taratibu agents za anti knock (namely tetra ethlyl lead au Ferrocene) zinawekwa kwenye mafuta mpaka yanafikia index ya kudhibiti pre mature ignition - vifaa hivyo vipo kwenye Chemical lab Tazara workshops sina shaka UDSM na TBS wanavyo. Mambo mengine tusitetee tetee sana kama kuna wafanya biashara walikuwa wanachanganya Petrol na Mafuta ya taa watashindwaje kuchanganya Petrol na Naptha, hata kama naptha haipatikani nchini si wana import tu, kwani viwanda vya rangi thinner wanaipata wapi.
Wewe jamaa shule hukuwa unakariri ,Bali ulielewa
 
Njaa na wivu zitawaua nyie maskini.
OILCOM ni one of top 10 wanao ongoza Kulipa Ushuru hapa nchini.

Kama una data za hakika si umplekee Pombe !
Hivi ipi ni afadhali kutengeneza mafuta hapa au mm kwa akiki zangu serikalinichue Lodi tu hayi ya Nathan sijui nn ya kazi gani
 
Juzi nimefungua uzi wenye kichwa cha habari, "USHUHUDA: Jinsi kampuni za mafuta zinavyokwepa ushuru" nikatoa mfano mmoja wa kampuni ya OILCOM inavyokwepa ushuru. Kuna watu wameni-inbox vitisho.

Sasa natoa mfano mwingine wa OILCOM hiyohiyo.

Baada ya gas ya songosongo kuanza kuchakatwa (Gas processing). Kampuni ya OILCOM ilipata tender ya kununua Naptha ambayo ni byproduct ya gas processing. Hii naptha ni mojawapo ya condensate katika Natural Gas Liquids (NGL) ambazo huwa zina-liquify katika surface separator.

Kwa wasioijua hii Naptha ni ile thinner inayotumika kuchanganyia rangi. Sasa hii naptha inatumika katika viwandani kutengenezea Rangi. Sasa OILCOM ndio Dealer mkubwa wa hiyo naptha pale songosongo. Huwa anapeleka meli pale Songosongo na kupakia mzigo wa kutosha na kuja kuushusha kwenye depot yake pale kurasini. Kwa mkataba wake OILCOM ni kwamba anaiuza kwenye viwanda vya rangi vya hapa nchini na nyingine ana-export nje ya nchi.

Anachokifanya kwenye depot yake pale kurasini ni kui-blend na Petrol (PMS) kwa ratio nzuri na kuongeza na Octane boosters ili afikie viwango vinavyohitajika vya AKI (Anti Knocking Index) na anatuuzia kwenye service station zake kama petrol.

Parameter anayoi-monitor kwenye hii petrol anayotu-blendia ni hiyo OCTANE number tu kwa sababu anajua kuwa akikosea hiyo atauwa injini za magari yote yanayotumia petrol na effect yake watu wataiona immediately wakijaza kwenye station zake.

Parameter nyingine kama oxygen content na vapour pressure hashuguliki nazo kwakuwa effect zake zipo kwenye ulaji wa mafuta wa injini na kutoa moshi. (Effects of low and high oxygen content)

Hii petrol yenye naptha ya songosongo tumeuziwa kwa muda mrefu sana na wakuu wanajua kuanzia EWURA hadi TRA. Yupo afisa mmoja wa TRA wa kitengo cha mafuta ambaye alikuwa ndio kama Resident Custom Officer pale Oilcom anaitwa GEORGE, yeye ndio alikuwa kiunganishi wa OILCOM kwenye haya magumashi.
We inonekana hujapata mgawo umeamua kuchomoa betri
 
Ukisoma comment za wengi unajua sis I wabongo tukoje ila soo kiss let’s tumeishi na bado tunaishi kimaskini sana
 
Usiogope vitisho lete habari zaombovu ili tutembee vifua mbele
 
Aisee kweli jf ni shule tosha mimi nilikuaga nafikiri petrol inachimbwa kama dhahabu yaan wanachimba kama mashimo ya dhahabu kua unachimba ukifika chini unaikuta kama maji ya kisima unachota kwenye dumu ready for use kumbe kuna tu process hiiiii
 
Chemical zilizo nyingi huwa zinakuwa na preparation method zaidi ya moja. Hata hiyo petrol ukichimba hutoikuta kama ilivyo. Utakutana na Crude Oil ambayo wakiifanyia fractional distillation ndio utapata components mbalimbali kama gas, petrol, diesel, Oil, bitumen n.k.

Na hiyo petrol ikishapatikana hapo bado huwa haifai kwa matumizi hadi wakaiongezee additives ili kuiongezea performance yake.
 
Njaa na wivu zitawaua nyie maskini.
OILCOM ni one of top 10 wanao ongoza Kulipa Ushuru hapa nchini.

Kama una data za hakika si umplekee Pombe !
Kulipa kodi sawa, lkn sio kwa gharama ya uharibifu wa mali na ukwepaji otherwise upinge madai haya kwa evidence
 
Juzi nimefungua uzi wenye kichwa cha habari, "USHUHUDA: Jinsi kampuni za mafuta zinavyokwepa ushuru" nikatoa mfano mmoja wa kampuni ya OILCOM inavyokwepa ushuru. Kuna watu wameni-inbox vitisho.

Sasa natoa mfano mwingine wa OILCOM hiyohiyo.

Baada ya gas ya songosongo kuanza kuchakatwa (Gas processing). Kampuni ya OILCOM ilipata tender ya kununua Naptha ambayo ni byproduct ya gas processing. Hii naptha ni mojawapo ya condensate katika Natural Gas Liquids (NGL) ambazo huwa zina-liquify katika surface separator.

Kwa wasioijua hii Naptha ni ile thinner inayotumika kuchanganyia rangi. Sasa hii naptha inatumika katika viwandani kutengenezea Rangi. Sasa OILCOM ndio Dealer mkubwa wa hiyo naptha pale songosongo. Huwa anapeleka meli pale Songosongo na kupakia mzigo wa kutosha na kuja kuushusha kwenye depot yake pale kurasini. Kwa mkataba wake OILCOM ni kwamba anaiuza kwenye viwanda vya rangi vya hapa nchini na nyingine ana-export nje ya nchi.

Anachokifanya kwenye depot yake pale kurasini ni kui-blend na Petrol (PMS) kwa ratio nzuri na kuongeza na Octane boosters ili afikie viwango vinavyohitajika vya AKI (Anti Knocking Index) na anatuuzia kwenye service station zake kama petrol.

Parameter anayoi-monitor kwenye hii petrol anayotu-blendia ni hiyo OCTANE number tu kwa sababu anajua kuwa akikosea hiyo atauwa injini za magari yote yanayotumia petrol na effect yake watu wataiona immediately wakijaza kwenye station zake.

Parameter nyingine kama oxygen content na vapour pressure hashuguliki nazo kwakuwa effect zake zipo kwenye ulaji wa mafuta wa injini na kutoa moshi. (Effects of low and high oxygen content)

Hii petrol yenye naptha ya songosongo tumeuziwa kwa muda mrefu sana na wakuu wanajua kuanzia EWURA hadi TRA. Yupo afisa mmoja wa TRA wa kitengo cha mafuta ambaye alikuwa ndio kama Resident Custom Officer pale Oilcom anaitwa GEORGE, yeye ndio alikuwa kiunganishi wa OILCOM kwenye haya magumashi.
Kuna uzi unafanana na huu ulihusu ukwepaji wa kodi bandarini ulikuwa bomba sana.
Mkuu kwa kunyaka vitu nyeti vya kitaalamu unasaidia kutuepusha hasara kubwa mno.
Kiukweli hapa utafiti ufanyike ikibidi wafungiwe na kutaifishwa kabisa.
 
Kweli mkuu???
tunelekea kwenye Hukumu, na ukifuatilia ni wenyewe OilCom ndio wako nyuma ya pazia wanaisukuma Jamhuri (tusubiri Mahakama tusiingilie)
 
Back
Top Bottom