Ushoga wa Tino... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ushoga wa Tino...

Discussion in 'Celebrities Forum' started by Greater thinker, Dec 15, 2011.

 1. Greater thinker

  Greater thinker JF-Expert Member

  #1
  Dec 15, 2011
  Joined: Sep 12, 2011
  Messages: 292
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 35
  [​IMG]


  Huyu jamaa pamoja na kujidhalilisha kote huku na kutoa filamu ambayo ame act kama shoga,lakini bado filamu yenyewe mbaaayaaa tofauti na nilivyo/tulivyotarajia..aarrggh idea ni kali but script,story na actorz ovyo kabisa..yoo
   
 2. mikatabafeki

  mikatabafeki JF-Expert Member

  #2
  Dec 15, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 12,837
  Likes Received: 2,101
  Trophy Points: 280
  vip kapumuliwa kweli kwenye movie??????????
   
 3. cartura

  cartura JF-Expert Member

  #3
  Dec 15, 2011
  Joined: Aug 13, 2009
  Messages: 3,049
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  ali-act anamega au anamegwa - halafu nakumbuka jamaa alikuwa analalamika siku moja kwamba movie yake ilizuiwa kwa kisingizio cha sababu za kimaadili
   
 4. libent

  libent JF-Expert Member

  #4
  Dec 15, 2011
  Joined: Oct 29, 2011
  Messages: 385
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  bongo hata waact vipi haziwezi kuwa na ubora kwa sababu huwa wanakurupuka tu, halafu kibongobongo movie kama hiyo haiwezi kunoga kwa sababu hawawezi kufanya zile action kama kunyonyana, kushikana na pia kufanya lile tendo kwa hiyo inabakia kama hadithi tu. Nashut down
   
 5. Mzee

  Mzee JF-Expert Member

  #5
  Dec 15, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 12,970
  Likes Received: 2,965
  Trophy Points: 280
  Unapoteza muda wako kuwaangalia hao wajinga.
   
 6. Mwali

  Mwali JF-Expert Member

  #6
  Dec 15, 2011
  Joined: Nov 9, 2011
  Messages: 7,032
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Unataka kujadili ushoga wake au performance yake kama mcheza sinema?
   
 7. King2

  King2 JF-Expert Member

  #7
  Dec 15, 2011
  Joined: Nov 16, 2011
  Messages: 1,289
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Jamaa ni choko kweli?
   
 8. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #8
  Dec 15, 2011
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Vp movie ya Lolliondo alifanikiwa kuitoa??
   
 9. d

  darlene Member

  #9
  Dec 16, 2011
  Joined: Dec 3, 2011
  Messages: 8
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Who is Tino dnt know him
   
 10. trachomatis

  trachomatis JF-Expert Member

  #10
  Dec 16, 2011
  Joined: Jun 7, 2011
  Messages: 3,653
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 145
  Nampa pole! Kucheza kipande hicho yataka moyo.. Halafu isiuze,dah! Na ni yake mwenyewe..lol!
   
 11. Mwita25

  Mwita25 JF-Expert Member

  #11
  Dec 16, 2011
  Joined: Apr 15, 2011
  Messages: 3,840
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Baraza la filamu waliichakachua kupita kiasi hadi ikashuka kiwango.
   
 12. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #12
  Dec 16, 2011
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Na wasiweze kabisa kufanya givyo maana zitazidi kupotosha maadili ktk kizazi hiki cha kujaribu kila wakionacho
   
 13. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #13
  Dec 16, 2011
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Ni bora ikiwezekana waifungie kabisaa!
   
 14. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #14
  Dec 16, 2011
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Kwa taarifa yako tino kama unapita hum au anaemjua amjulishe kuwa kajishusha thamani mbele ya jamii ya kitanzania na lazima atakuja jutia uamuzi aliofanya kwani ni vigumu kurudi nyumba na kuyafuta makokosa
   
 15. Sumba-Wanga

  Sumba-Wanga JF-Expert Member

  #15
  Dec 16, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 5,387
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  Hapana, this is not positive. We are supposed to watch their movies na kuwasidia kujirekebisha. wao wanaona kuvaa nusu uchi ndio movie lakini it is more than that. Huko nyuma nimeshaongelea mara nyingi the bongo Movies: they leave a lot to be desired.
  Hazina mvuto, themes za kitoto, hazina mantiki ya maana, ni kama ze comedy, lugha ndio usiseme.......

  Ni jukumu letu kuwasaidia kujirekebisha...
   
 16. Sumba-Wanga

  Sumba-Wanga JF-Expert Member

  #16
  Dec 16, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 5,387
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  Valid question: Hebu tuwekeeni picha yake na sisi tumjue. If possible: dossier yake pia
   
 17. Greater thinker

  Greater thinker JF-Expert Member

  #17
  Dec 16, 2011
  Joined: Sep 12, 2011
  Messages: 292
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 35
  Itawekwa kiwango cha umri wa kuangalia yoo
   
 18. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #18
  Dec 16, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  je unapenda filani za kibongo..
   
 19. harakat

  harakat JF-Expert Member

  #19
  Dec 16, 2011
  Joined: Jul 4, 2011
  Messages: 2,908
  Likes Received: 761
  Trophy Points: 280
  Jamaa mwenyewe ndo huyo hapo sasa ni muigizaji
  ndio lakini huwezi kujua mambo mengine....na huwezi
  kumuhukumu mpaka uthibitishe ikumbukwe kwamba kwenye jamii
  zetu hili sio suala la kawaida kwa mtu kua shoga.

  Hivi karibuni kulikuwa na hekaheka mitandaoni kuhusu ujio wa filamu iliyokuwa inakwenda kwa jina “Shoga”.Mambo yalianzia mitaani.Maneno yakawa maneno.Jamii yetu ipo tayari kwa filamu kama hii?Kabla haijatoka rasmi,panga la serikali likaipitia.Kupitia baraza la sanaa-filamu,ikaja “memo” kwamba isiingie mtaani.Inahitaji uhakiki kwanza.Baadaye inaelekea mambo yakawekwa sawa na filamu ikazinduliwa.
  Lakini baada ya uzinduzi huo,suala lingine likajitokeza.Huyu Tino ni shoga?Wahakiki wa sanaa wakaanza kazi yao.Je,ule uigizaji ni umahiri wake tu katika fani au?  [​IMG]
   
 20. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #20
  Dec 16, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180
  Nadhani Watanzania sometimes tuwe wastaarabu kabla ya kuponda tuangalie tuliko toka.... Mie mwenyewe siwezi kaa nikaangalia movie za kibongo BUT i do appreciate the effort na energy ya Watanzania sababu tulikua nyuma saana ki filamu. Nawakubali na kuwa-appreciate for the simple reason kua wamefanya Watanzania wengi (ambapo ukweli unabaki ni wachache huelewa picha za nje) wawe na interest ya kuketi na familia zao na kuangalia movies....

  Ni kweli jamaa wanachemka ila muwape pongezi yako kwa kujitahidi.... Na hili waweza tu ukijiuliza maswali kama Movie industry ina miaka mingapi toka imeanza? Wataalam katika idara husika wako wangapi? (nikimaanisha watu wa Directing, props, shooting, producers, Designer kama setting/costume/ na the like wako wangapi na wana qualification na experience ya miaka mingapi?

  Give the guys a BREAK!
   
Loading...