Ushoga unaingia rasmi kwa kasi ya ajabu barani Afrika | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ushoga unaingia rasmi kwa kasi ya ajabu barani Afrika

Discussion in 'International Forum' started by Askari Kanzu, Apr 9, 2012.

 1. Askari Kanzu

  Askari Kanzu JF-Expert Member

  #1
  Apr 9, 2012
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 4,526
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 145
  Baada ya Bingu wa Mutharika kufariki na afya ya komredi Mugabe kuanza kuzoroteka sijui ni kiongozi gani atakaekemea huu ubaradhuli unaoingia kwa kasi barani Afrika.
  Mr. Gay World comes to Africa

  By DONNA BRYSON | Associated Press – Sun, Apr 8, 2012
  [​IMG]
  Shoga mkuu toka Namibia, Wendelinus Hamutenya akiwa kwenye mashindano huko Johannesburg, uswazi.

  JOHANNESBURG (AP) — After Mr. Gay Ethiopia entered the Mr. Gay World contest, his father cut off all communications. Mr. Gay Zimbabwe withdrew, fearing the publicity was making life difficult for his mother.

  But Mr. Gay Namibia's family accompanied him to the airport for a warm send-off when he left for the competition, which culminates for him and 21 other men late Sunday in the finals at a Johannesburg casino.

  "Bring the trophy home," Namibia's Wendelinus Hamutenya said his mother told him.


  Hamutenya said his experience shows that Africans and Africa can change. On the continent, gay rights activists have been vilified, threatened and killed. Laws in dozens of African countries ban homosexual acts. Prominent African politicians ridicule gays and minor politicians grab headlines by proposing even tougher anti-gay laws.

  "I hope and I believe that Namibia will be the second country in Africa to recognize the rights" of gays, Hamutenya said in an interview. The first country is South Africa, also the first African country to host Mr. Gay World, which debuted in 2009 in Canada.

  The bill of rights adopted after apartheid ended in South Africa in 1994 explicitly bans discrimination on grounds of sexual orientation. Same-sex couples can marry and adopt children in South Africa.

  Endelea kusoma kwenye mtandao wa Yahoo!
   
 2. BUNDI WA MJINI

  BUNDI WA MJINI Member

  #2
  Apr 9, 2012
  Joined: Jan 23, 2012
  Messages: 41
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Aiiseee...awful...
   
 3. Boflo

  Boflo JF-Expert Member

  #3
  Apr 9, 2012
  Joined: Jan 20, 2010
  Messages: 4,394
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135

  Remember you may hate gays and lesbos today but your own son or daughter may just grow up to be one of them
   
 4. F

  FJM JF-Expert Member

  #4
  Apr 9, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Hivi ni kweli kuwa Africa haikuwa na gay people? Au hawataki ku-acknowledge existance ya gay people?
   
 5. Askari Kanzu

  Askari Kanzu JF-Expert Member

  #5
  Apr 9, 2012
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 4,526
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 145
  Umeona eeeh? Taratibu haya mashindano mwisho wake yatakita Dar na kudhaminiwa na makampuni ya vilaji. Sio mbali sana!
   
 6. Askari Kanzu

  Askari Kanzu JF-Expert Member

  #6
  Apr 9, 2012
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 4,526
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 145
  Tungoje wataalamu wakujibu kwa hili.
   
 7. Boflo

  Boflo JF-Expert Member

  #7
  Apr 9, 2012
  Joined: Jan 20, 2010
  Messages: 4,394
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Wabongo watu wa ajabu sana

  Mngekuwa mnachukia ufisadi unaofanywa na viongozi wetu kama mnavyochukia ushoga, hii nchi ingekuwa mbali

  sana kimaendeleo...........shame on you!!
   
 8. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #8
  Apr 9, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Too low for this.
   
 9. Askari Kanzu

  Askari Kanzu JF-Expert Member

  #9
  Apr 9, 2012
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 4,526
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 145
  Hapo wewe hujihesabu, siyo?
   
 10. Ndahani

  Ndahani JF-Expert Member

  #10
  Apr 9, 2012
  Joined: Jun 3, 2008
  Messages: 14,316
  Likes Received: 1,785
  Trophy Points: 280
  I hate them with all my heart. I dont care if anyone in the family join them. Kila mtu atabeba mzigo wake mwenyewe. Mi nabeba wa kwangu.
   
 11. J

  JATELO1 JF-Expert Member

  #11
  Apr 9, 2012
  Joined: Oct 31, 2011
  Messages: 1,235
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 145
  Naona kila siku hoja mara rights za mashoga zinakupa taabu sana. Vipi wewe ni victim? au wewe ni kati ya wale wanaoruhusu wanaume wenzio kukupumulia mgongoni? pole kama utakuwa umeudhika, lkn mara nyingi sana michango yako iko positive na mambo ya mashoga?
   
 12. M

  Mwembetayari JF-Expert Member

  #12
  Apr 10, 2012
  Joined: Feb 21, 2012
  Messages: 333
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  There is a crazy obsession with what other people do with their private parts and Askari Kanzu has started tens of threads on this issue. Dangerous obsession! Shameful Indeed! :shock:
   
 13. Askari Kanzu

  Askari Kanzu JF-Expert Member

  #13
  Apr 10, 2012
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 4,526
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 145
  Wewe iko siku nitakuoa na kukuweka ndani ya nyumba ili nikukate kiu (ashakum si matusi). You are too obsessed by Askari Kanzu!
   
 14. Mkereketwa_Huyu

  Mkereketwa_Huyu JF-Expert Member

  #14
  Apr 10, 2012
  Joined: Feb 19, 2011
  Messages: 5,115
  Likes Received: 1,205
  Trophy Points: 280

  I hope haujakulia Tanzania na hujui usenge ni nini. Let me brief you a bit: usenge ulikuwepo bongo hata kabla wewe hujazaliwa na utazidi kuwepo. Unataka kuniambia hujasikia kina Aunt Zuhura, Hemed, au fulani? Na si kusikia tu, mijibaba kibao inashikishwa ukuta bongo ila underground bcs it is NOT allowed. Usagaji ama kushikishwa ukuta ni starehe ya mtu na ni dhambi kumnyima mtu haki yake kwani wengine uzaliwa kupenda kinyume na maumbile. Suppose mtu anakuambia hakuna kufanya mapenzi na mwanamke bali ku masturbate tu, wewe utajisikiaje? Kama mtu anafilwa nyumbani kwake na si hadharani, shida iko wapi? Takwimu za hapa bongo za wanawake miaka 18 - 34 zinaonyesha kuwa hawa wanawake (16%) wengi wanaojifungua wameharibika mikundu, yaani wanafilwa. Je, hawa ni ******* ama wanafurahisha nafsi zao?
   
 15. Mkereketwa_Huyu

  Mkereketwa_Huyu JF-Expert Member

  #15
  Apr 10, 2012
  Joined: Feb 19, 2011
  Messages: 5,115
  Likes Received: 1,205
  Trophy Points: 280
  Hilo neno lililofutika ni gay in Kiswahili
   
 16. K

  Koba JF-Expert Member

  #16
  Apr 10, 2012
  Joined: Jul 3, 2007
  Messages: 6,144
  Likes Received: 494
  Trophy Points: 180
  ...unasema you dont care na kila mtu atabeba mzigo wake,sasa why hate?
   
 17. K

  Koba JF-Expert Member

  #17
  Apr 10, 2012
  Joined: Jul 3, 2007
  Messages: 6,144
  Likes Received: 494
  Trophy Points: 180
  I support hawa gays & lesbian 100%!!
   
 18. mpayukaji

  mpayukaji JF-Expert Member

  #18
  Apr 10, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 943
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Kama tutamia akili za kawaida vizuri bila kujali mashinikizo ya ******* wa magharibi walioko madarakani, duniani hakuna haki ya kujiharibu au kujikana kama wanavyofanya mashoga. Kama alivyowahi kusema comrade Mugabe mashoga na wasagaji ni wachafu kuliko nguruwe. Kimsingi hiki kinachofanyika ni ukoloni wa kimila ambapo tunaandaliwa kukubali uchafu huu. Wenzetu wameharibikiwa wanataka nasi tuharibikiwe kama wao. Hayo masenge unayoyaona wakati mwingi usiyalaumu. Kama wanaume kwa kisingizio cha usanii au usupa staa wanaweza kuvaa hereni na kutembea mitako nje kwanini na wengine wasiigize ushoga. Hata hivyo tukiangalia mambo bila makengeza. ushoga hauna madhara makubwa kwa watu wetu kama ufisadi na usanii wa kisiasa. Ushoga ni suala la mtu binafsi kutumia vibaya mwili wake tofauti na watawala wanaotumia raslimali za nchi vibaya. Heri ushoga kuliko ufisadi.
   
 19. Smatta

  Smatta JF-Expert Member

  #19
  Apr 10, 2012
  Joined: Nov 5, 2008
  Messages: 2,343
  Likes Received: 277
  Trophy Points: 180
  Kila mtu na maisha yake, if two consenting adult do some things in private, its non of my business. Its a free world, I think we shouldn't discriminate against homosexuals
   
 20. Mu-Israeli

  Mu-Israeli JF-Expert Member

  #20
  Apr 10, 2012
  Joined: Mar 21, 2012
  Messages: 2,456
  Likes Received: 108
  Trophy Points: 160
  Kwa kauli na misimamo kama hii, kweli tuna kazi kubwa.

  Kauli yako Boflo inaweza kuzaa kauli zifuatazo:-
  Remember you may hate killers today but your own son or daughter may just grow up to be one of them,
  Remember you may hate bandits today but your own son or daughter may just grow up to be one of them,
  Remember you may hate corrupt people today but your own son or daughter may just grow up to be one of them,
  Remember you may hate thieves today but your own son or daughter may just grow up to be one of them,
  .
  .
  .

  Kwa maana hiyo basi, Boflo is advocating people to love, or join, or support his gay people, and possibly the other types of people in the Boflo's above possible statements.
   
Loading...