Ushoga umejikita mizizi katika jamii yetu, tuache unafiki... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ushoga umejikita mizizi katika jamii yetu, tuache unafiki...

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Boflo, Oct 15, 2012.

 1. Boflo

  Boflo JF-Expert Member

  #1
  Oct 15, 2012
  Joined: Jan 20, 2010
  Messages: 4,394
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  [​IMG]
  Inavyoonekana watu wengi wanafanya mapenzi ya kishoga kwa kujifichaficha. Si ajabu wengi wana wake na watoto, na pengine ni watu wanaoheshimika katika jamii lakini wanajihusisha na ushoga.

  Ushoga siyo "tatizo" la nchi za Magharibi pekee. Limeshafika hata kwetu na sitashangaa kama kuwa tulikuwanalo tangu zamani.
  Hali hii hainishangazi sana kwani kwa sasa kila mtu anataka kupiga/kupigwa tigo, kama unapenda tigo ya kike, sioni sababu ambayo itakufanya siku moja usijaribu ya kiume. Ni kipi kinachokufanya uamini kuwa ni sawa kwa mwanamke lakini ni kosa kwa mwanamme mwenzio? Unafiki mtupu...


  Kwa hivyo tuache unafiki wa kuwanyanyapaa mashoga - hasa kwenu wapenda tigo. Hata kama kwa sasa mnahusudisha tigo za kike, huko mnakoelekea hata za kiume mtazitwanga tu.
   
 2. Majigo

  Majigo JF-Expert Member

  #2
  Oct 15, 2012
  Joined: Feb 23, 2012
  Messages: 5,418
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  Nabisha!!
   
 3. Kizamani

  Kizamani JF-Expert Member

  #3
  Oct 15, 2012
  Joined: Sep 12, 2011
  Messages: 419
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Siwezi bisha kwani inawezekana mleta mada ni mmoja wapo.
   
 4. Mc Tilly Chizenga

  Mc Tilly Chizenga JF-Expert Member

  #4
  Oct 15, 2012
  Joined: Feb 7, 2012
  Messages: 3,692
  Likes Received: 801
  Trophy Points: 280
  Boflo,we ni msemaji wao au kiongozi wao au mwanachama mwandamizi?

  anyway kama umejikita ktk jamii na unakuja kusema hapa jf unataka jf ifanye nini?mfunguliwe jukwaa lenu rasmi au sticky thread?na wewe Boflo ndio utakuwa moderator wa jukwaa hilo la mashoga?

  unataka nini Boflo?sema usikike
   
 5. Mc Tilly Chizenga

  Mc Tilly Chizenga JF-Expert Member

  #5
  Oct 15, 2012
  Joined: Feb 7, 2012
  Messages: 3,692
  Likes Received: 801
  Trophy Points: 280
  boflo nijibu haraka nataka kuondoka nakuona hapo chini
   
 6. ITEGAMATWI

  ITEGAMATWI JF-Expert Member

  #6
  Oct 15, 2012
  Joined: Jan 26, 2012
  Messages: 4,222
  Likes Received: 1,065
  Trophy Points: 280
  Hata kama ni mmoja wapo lakini aseme huo ushoga umekithiri kwake siyo asingizie nchi nzima! Mimi nabisha kwa nguvu zote!
   
 7. Mc Tilly Chizenga

  Mc Tilly Chizenga JF-Expert Member

  #7
  Oct 15, 2012
  Joined: Feb 7, 2012
  Messages: 3,692
  Likes Received: 801
  Trophy Points: 280
  watu wa maoni ya katiba mpya wakija nitawaambia mashoga waruhusiwe kwa sharti la kwamba wakatwe uume(wa kazi gani sasa kama wameamua kutumia makalio yao?).mkuu Boflo unaonaje hayo maoni utakubali iwe hivyo?
   
 8. EMT

  EMT JF-Expert Member

  #8
  Oct 15, 2012
  Joined: Jan 13, 2010
  Messages: 14,464
  Likes Received: 865
  Trophy Points: 280
  Narrow thinking.
  Kwani wanaoanzisha thread hapa JF madhumuni yao ni nini hasa?
  Ni wasemaji au viongozi au wanachama wa vyombo vinavyohusiana na hizo habari?
  Kwani Ritz akianzisha thread kuhusu Chadema basi anakuwa mesemaji wao?
  Hao wanaoazisha thread wafunguliwe majukwaa yao rasmi au thread zao ziwe sticky?
  Na hao waanzisha thread ndiyo watakuwa moderator wa hilo jukwaa?
   
 9. kalou

  kalou JF-Expert Member

  #9
  Oct 15, 2012
  Joined: Aug 22, 2009
  Messages: 4,357
  Likes Received: 970
  Trophy Points: 280
  astaghafillulah..
   
 10. Mc Tilly Chizenga

  Mc Tilly Chizenga JF-Expert Member

  #10
  Oct 15, 2012
  Joined: Feb 7, 2012
  Messages: 3,692
  Likes Received: 801
  Trophy Points: 280
  ngoja Boflo mwenyewe ajibu nitarejea kwako kiongozi
   
 11. EMT

  EMT JF-Expert Member

  #11
  Oct 15, 2012
  Joined: Jan 13, 2010
  Messages: 14,464
  Likes Received: 865
  Trophy Points: 280
  Na asipojibu bado urejea kwangu?
   
 12. Kizamani

  Kizamani JF-Expert Member

  #12
  Oct 15, 2012
  Joined: Sep 12, 2011
  Messages: 419
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Aah boflo bana, mambo gani tena hayo!
   
 13. Mc Tilly Chizenga

  Mc Tilly Chizenga JF-Expert Member

  #13
  Oct 15, 2012
  Joined: Feb 7, 2012
  Messages: 3,692
  Likes Received: 801
  Trophy Points: 280
  nitarudi kukujibu,au ngoja nikujibu sasa,kama umesoma mambo mengi ya Boflo utaelewa kwanini nimemuuliza hivyo!kwa wanaomjua wataelewa kwanini nimemuuliza hivyo,jaribu kumsoma na kumjua this dude called himself Boflo
   
 14. m

  mgomba101 JF-Expert Member

  #14
  Oct 15, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 1,788
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  mkate wa Boflo unaliwa siku hizi?? zamani ulikuwa unaliwa sana na middle class pamoja na makabwela.
   
 15. dada white

  dada white JF-Expert Member

  #15
  Oct 15, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 1,233
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Boflo Hivi una ubongo ndani ya kichwa chako?
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 16. O

  Otorong'ong'o JF-Expert Member

  #16
  Oct 15, 2012
  Joined: Aug 17, 2011
  Messages: 31,078
  Likes Received: 10,438
  Trophy Points: 280
  Boflo bana...huwa nasoma post zako halafu sioni cha kukujibu.
   
 17. EMT

  EMT JF-Expert Member

  #17
  Oct 15, 2012
  Joined: Jan 13, 2010
  Messages: 14,464
  Likes Received: 865
  Trophy Points: 280
  Prejudice and assumptions.
   
 18. Mc Tilly Chizenga

  Mc Tilly Chizenga JF-Expert Member

  #18
  Oct 15, 2012
  Joined: Feb 7, 2012
  Messages: 3,692
  Likes Received: 801
  Trophy Points: 280
  dont ever think all assumptions are invalid and untrue...may be its not true when i assume you...EMT and Boflo are in the same boat!
   
 19. Mc Tilly Chizenga

  Mc Tilly Chizenga JF-Expert Member

  #19
  Oct 15, 2012
  Joined: Feb 7, 2012
  Messages: 3,692
  Likes Received: 801
  Trophy Points: 280
  wewe ji-Boflo,umeanzisha mjadala halafu unakaa pembeni unachungulia mpaka watu tunapambana na wengine badala ya wewe mtoa mada!haya endelea kujificha nitakubana kesho mpaka useme mnataka mtambuliwe rasmi ama la?
   
 20. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #20
  Oct 15, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,401
  Trophy Points: 280
  Bofloooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooo Kachanganyikiwa kwa kumwambia na yeye Boflooooooooooooooooooooooooooooooooooooooo
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Loading...