Ushoga ni mradi na mkakati wa UN...........kama ilivyo ukimwi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ushoga ni mradi na mkakati wa UN...........kama ilivyo ukimwi

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Magezi, Jul 4, 2010.

 1. M

  Magezi JF-Expert Member

  #1
  Jul 4, 2010
  Joined: Oct 26, 2008
  Messages: 2,827
  Likes Received: 87
  Trophy Points: 145
  Kuna taarifa zimevuja hasa baada ya wale vijana wa malawi ambao walioana kuachana kwamba walifadhiliwa na mawakala wa UN kupitia shirika la UNFPA.

  Kuna taarifa pia kuwa makakati wa UN ni kujaribu kupunguza idadi ya watu hasa ktk nchi maskini kwa kudhibiti kuzaliana lakini pia kuongeza uwezekano wa watu wanaojamiina sana kufa kwa maradhi yatokananyo na ngono. Inasemekana mawakala wa ushoga wanajaribu sana kujipenyeza ktk makanisa na kila sehemu.

   
 2. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #2
  Jul 4, 2010
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  Source?
   
 3. B

  Bull JF-Expert Member

  #3
  Jul 4, 2010
  Joined: Nov 4, 2008
  Messages: 984
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nilwai kuisoma hii kwenye gazeti fulani kuwa ile ndoa ya mashoga imedhaminiwa na UN/UNFPA, Mwenye akili atajiuliza kwa waje afrika kudhamini vitu kama hivi??

  Tufungueni macho waafrika vinginevyo watatumaliza kwa kutumia UN!
   
 4. JS

  JS JF-Expert Member

  #4
  Jul 4, 2010
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 2,065
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Hizi ni serious allegations to the UN please give further details na source tafadhali
   
 5. SHUPAZA

  SHUPAZA JF-Expert Member

  #5
  Jul 4, 2010
  Joined: Aug 4, 2009
  Messages: 548
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Mh! makubwa haya kama tukiweza kupata source ya information manake UN ndio wakubwa wetu sasa kama wanatupeleka huku
  tumekwisha.Ila isije ikawa ndio zile info za studio
   
 6. Kiby

  Kiby JF-Expert Member

  #6
  Jul 4, 2010
  Joined: Nov 16, 2009
  Messages: 5,209
  Likes Received: 1,011
  Trophy Points: 280
  .
  Haihitajiki nguvu kubwa kutafuta mchawi, zaidi ya kutumia nguvu kubwa ya kulitibu tatizo.
   
 7. K

  Kapwani JF-Expert Member

  #7
  Jul 4, 2010
  Joined: Nov 17, 2009
  Messages: 668
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ni kweli lakini ukijua nguvu ya adui pia inakurahisishia kujipanga ndugu yangu! maana itasikitisha sana kama UN ndio wanao facilitate haya mambo
  huku wakijidai wanatusaidia kututatulia majanga yetu...tukitambua unafiki wao itasadia hata kizazi kijacho kuamua vinginevyo
  mix with yours
   
 8. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #8
  Jul 5, 2010
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  Hizi allegations sio ngeni.
  Capitalists understand perfectly well kwamba under their system, 'too much populous' planet is a ground for catastrophic disasters., kwa sababu wanajua hakuna infinite resources kwa ajili ya kila mtu. Kwa hiyo wanachofanya ni kupunguza watu, inasemekana walianza kwa kuchochea vita na AIDS, na sasa si ajabu wanatengeneza vitu maabara kuhakikisha ugonjwa wa ushoga unasambaa kwa kasi kwene nchi zenye 'damu chafu'. Tatizo hapa je nchi kaa Tz, nani wa kutulinda???

  Maana nikiangalia left and right, the common mwananchi ni kama mwana swala yatima nyikani.
   
Loading...