Ushoga Duniani, Obama ni Msemaji tu

Sikonge

JF-Expert Member
Jan 19, 2008
11,550
6,060
Mkuu, ulianza vizuri ila na wewe umepotea. Ushoga umeanza miaka mingi sana kama wengine wanavyosema au Mleta thread alivyoandika kuwa ni Sodoma na Gomora. Nina shangaa sasa kusema hayo ni ya USA, kwani hii Sodoma na Gomora ilikuwa USA? Hapana.

Ushoga umekuwepo kwa miaka mingi sana na wengine wanadai ndiyo sababu haswa ya Shetani kufukuzwa kwenye bustani ya Eden/Peponi kwani kabla Eva hajatengenezwa na Mungu kuwa Mke wa Adam, hakukuwa na Mwanamke na Shetani alikuwa kashauanza huu mchezo na Malaika wenzake (Mhhh!?!?!?!). Haka ka mchezo ni kamchezo kachafu na kazee kuliko dunia hii.

Ila ni MASHOGA hawa hawa tunaowalaani leo ndiyo wameibadilisha dunia na kwa sasa wanazidi kufungua makucha kwa kuishika dunia hii. Kumbuka ni wao wamemuweka madarakani Obama. Zamani walikuwa ni Wayahudi na Media zao/Fedha zao ndiyo walikuwa na nguvu sana kwenye Serikali ya USA. Ila mnakumbuka vitisho na kila aina ya njama zilifanywa na Wayahudi(PM Netanyahu) ili Obama wampige chini ila Obama akasema atatetea haki za Mashoga, na akashinda. Jamaa ni wengi sana na wanazidi kuwa wengi.

Duniani idadi ya watu imekuwa kubwa sana, lazima tupungue tutake tusitake. Wachina wanatuuwa na product zao hatari, wenyewe tunauwana na product hatari, Fukushima na Charnobil nazo zinatukaanga, AIDS, Malaria, nk. Vita kwa sasa zimepungua na idadi ya Binadamu imeongezeka na dawa pekee ni USHOGA. Watu mngelijua hali imefikia wapi, basi tungelikaa tu nyumbani na kusali. Kupigana na hii kitu ni kwamba tumeshachelewa. USHOGA unatawala tayari dunia tupende tusipende.

Mtu unaweza kuja na kila aina ya matusi, ila wenzio watakuja na DOLA zao na jinsi tulivyo wepesi kuuza utu wetu, mbona tutajiuza sana. Hata hapa Tanzania, tayari kuna vijana wadogo wenye hela chafu sana na utawafahamu mara nyingi kuwa ni Watanashati sana na hawana wake. Wengine wana wake wa kugeresha ila ni Mashoga. Huko Uganda kwenyewe, Museven kuna siku atalia atakapogundua kuna Mwanae/Wanae ni Mashoga. Mugabe pia ajiandae labda afe mapema. Hii kitu ni sawa na miaka ileee huko USA, mtu Mweusi kuowa au kuolewa na Mweupe ilikuwa HAIWEZEKANI na hata ukifanya hivyo basi adhabu ni kifo au kifungo. Leo hii kuna mtu anajali tena? Tutabana ila kuna siku tutaachia.

Kuna siku nikiwa nchi za watu, tulikuwa kwenye Studio ya picha wanaume tisa na wanawake watatu. Katika hao wanaume, mie na kijana mwingine pekee ndiyo hatukuwa Mashoga, hawa wengine saba walikuwa Mashoga. Hapo ilibidi niseme kwa mara ya kwanza kuwa mie na jamaa ndiyo Wanaume tusio wa kawaida kwani 7-2 kwa kweli jamaa walikuwa wametuzidi sana kwa idadi.

Leo hii kwenye miji Mikuu mingi na miji mikubwa mingi nchi za WEST, Mashoga ndiyo wanatawala kifedha. Makampuni ya nguo, vipodozi, urembo, burudani, restaurants, Bar, Pub nk, walioshika usukani ni MASHOGA. Nina imani hata ukienda CNN, BBC nk, mashoga ndiyo wamejazana huko. Hebu angalia hata Show za Michael Jackson, wale waimbaji karibu wote ni Mashoga. Madonna pia ni Mishoga mitupu nk. Wengi wa hao vijana, Mabwana zao ndiyo hao Mawaziri, Wabunge, Mahakimu nk ambao Marais wetu huenda kuwapigia magoti wapewe misaada.

Ni ukweli Mchungu ila ndiyo ukweli wenyewe. Obama mtamtukana sana ila tatizo limelala sehemu nyingine na Obama ni Msemaji tu wa tatizo. Mjumbe hauwawi na kama kweli tunataka ku-solve hili tatizo, basi dunia nzima isimame na kuanza kujadili tatizo, jambo ambalo haliwezekani. Wenzetu Mashoga wameungana na wanashirikiana sana duniani, sisi je tunaopinga, tumefanya nini? Kumtukana Obama na kuanza kucheka? Wenzetu wako kimya wanafanya kazi kueneza Ushoga na sisi tunachekelea maneno ya Mugabe na Museven ambayo hata hivyo unaweza kukuta hao hao wapinzani ndiyo Mashoga wenyewe.

Ndiyo maana hata Elton John pamoja na kuwa ni SHOGA, bado Malkia Elizabeth kamtunukia heshima ya SIR. Ila watu hilo hawalioni wanamuona Obama. Huyu Waziri William Hague ni Shoga kabisa.
Kwani Haya mambo ya ushoga ameanzisha Obama? Mambo ya ushoga marekani yalianza Hata kabla ya Obama dada yangu unachokiona sasa hv ni mwendelezo wa uchafu wa wamarekani tuu Hamna kigine!!
 
Mkuu, ulianza vizuri ila na wewe umepotea. Ushoga umeanza miaka mingi sana kama wengine wanavyosema au Mleta thread alivyoandika kuwa ni Sodoma na Gomora. Nina shangaa sasa kusema hayo ni ya USA, kwani hii Sodoma na Gomora ilikuwa USA? Hapana.

Ushoga umekuwepo kwa miaka mingi sana na wengine wanadai ndiyo sababu haswa ya Shetani kufukuzwa kwenye bustani ya Eden/Peponi kwani kabla Eva hajatengenezwa na Mungu kuwa Mke wa Adam, hakukuwa na Mwanamke na Shetani alikuwa kashauanza huu mchezo na Malaika wenzake (Mhhh!?!?!?!). Haka ka mchezo ni kamchezo kachafu na kazee kuliko dunia hii.

Ila ni MASHOGA hawa hawa tunaowalaani leo ndiyo wameibadilisha dunia na kwa sasa wanazidi kufungua makucha kwa kuishika dunia hii. Kumbuka ni wao wamemuweka madarakani Obama. Zamani walikuwa ni Wayahudi na Media zao/Fedha zao ndiyo walikuwa na nguvu sana kwenye Serikali ya USA. Ila mnakumbuka vitisho na kila aina ya njama zilifanywa na Wayahudi(PM Netanyahu) ili Obama wampige chini ila Obama akasema atatetea
 
Hata hapa tanzania ushoga unatawala kiaina yan kama kwenye upande wa fashion, kumetawaliwa na mashoga eg Ally Rwemtullah.& yule mkaka wa Nivana EATV kwa kweli siamin kama ana Rinda hata moja mana mambo yake mmmh
 
Sikonge Sasa rais m7 kaweza, kupitisha hiyo sheria dhidi ya ushoga!!, swali ni jee mkuu wa kaya wetu ataweza kuupitsha hiyo sheria? Atakubali kumuudhi Obama?
 
Last edited by a moderator:
Ndiyo huo ukweli Watu hawataki kuuona. Wanafikiri Ushoga upo USA na UK na unasubiri turuhusu ndiyo uje.

Hata Uganda na Zimbabwe upo sana tu na sanasana utakwenda chini ya uvungu na huko ndiyo kubaya.

Nina uhakika wataingiza Wabunge kibao ili wabadili sheria na hata kumuondoa Museven.
hata hapa tanzania ushoga unatawala kiaina yan kama kwenye upande wa fashion, kumetawaliwa na mashoga eg Ally Rwemtullah.& yule mkaka wa Nivana EATV kwa kweli siamin kama ana Rinda hata moja mana mambo yake mmmh
 
Mkuu, Museven hajapitisha chochote. Mwana Siasa usimuamini kwani anawapa watu wanachokitaka ili wasahau kuwa jamaa ni DIKteta. Ila ukweli unaweza kukuta huko ndiko kwenye ushoga kuzidi hata nchi waliokubali.

Tunda lililokatazwa, tamu bana, wengine wanasema cha wizi kitamu. Anyway, hawa New Generation wana kazi huko mbeleni kupinga au kukubali hii system itakuwa ngumu sana. Ndiyo maana wanaanza kwanza kwa kutengeneza kizazi cha matahira wengi na wanaojitambua kidogo. Watu ukiwapa Dola Africa, hata hawaulizi umezitoa wapi.
Sasa rais m7 kaweza, kupitisha hiyo sheria dhidi ya ushoga!!, swali ni jee mkuu wa kaya wetu ataweza kuupitsha hiyo sheria? Atakubali kumuudhi Obama?
 
Hizi habari huwa zinanitekenya ubongo sana nikiangalia hawa watoto wakiume nlionao!nawaombea sana nahuwa aisee kama Mungu yupo anilindie tu jamani
 
hata hapa tanzania ushoga unatawala kiaina yan kama kwenye upande wa fashion, kumetawaliwa na mashoga eg Ally Rwemtullah.& yule mkaka wa Nivana EATV kwa kweli siamin kama ana Rinda hata moja mana mambo yake mmmh

Ku-deal na mambo ya urembo sidhani kama ni ushoga. Deo usivunjike moyo.
 
Siku moja utakumbuka haya maneno yangu kama utafanikiwa uishi hadi Mwaka 2030.

Huwezi kunielewa kama unaishi kwenye dunia ya UTOPIA. Shuka duniani Mkuu na ufungue macho, Ushoga upo kila sehemu. Mwenyewe nina Watoto ila ukweli hili jambo linanisumbua sana. Nafikiria siku moja binti yangu aje na shoga yake amtambulishe "Daddy, meet my Girlfriend" au wa Kiume aje aniambie "Daddy, meet my Boyfriend."

Wee unayefikiri mie natetea upunga, anza kutembea na dawa za Moyo maana hujui siku wala saa na usije ukasema ni mie nimesababisha kwani huku SIKONGE, nashukuru Mungu Ushoga haujaanza kuonekana mitaani.

Nakumbuka story kuwa miaka ya 70 pale Dar, alikuwepo Shoga akiitwa Faruku, mkata viuno na hasa kwenye wimbo wa "Mzoea vya kunyonga, vya kuchinja haviwezi......" Enzi hizo tukisikia, tunacheka sana. Leo hii ukiwa miji mikubwa kama Dar, Arusha Zanzibar nk utaona Mapunga wangapi?

Dyeteromaika, hapa Houston, shuka duniani ndugu yangu tuje tujiandae na huu ugonjwa.
mleta maada hajaeleweka....kama anatetea upunga vileee............!!!!!
.
 
Nivea, haupo peke yako. Ila kuna watu wanaamini kuwa hili si tatizo. Ni sawa na wale waliokuwa wakiamini kuwa German/Hitler hatashambulia nchi zao kwa sababu wameandikiana mikataba. Hitler aliwaanzia hao aliowekeana mikataba maana walikuwa wamelala. Mie mwenyewe huwa najiuliza, utalizuia vipi hili?

Museven na Mugabe kwangu mie wanaziba maji ya mafuriko kwa mikono. Kama wangelijua SCALE ya ushoga duniani, basi wangelifikiria mara mbili nini cha maana cha kufanya. Matusi na kuweka sheria havitasaidia kabisa.
Hizi habari huwa zinanitekenya ubongo sana nikiangalia hawa watoto wakiume nlionao!nawaombea sana nahuwa aisee kama Mungu yupo anilindie tu jamani
 
Dhambi zilikuwepo kitambo,eti kwa kuwa kuua mtu kulikuwepo tangu enzi za Kain na Abel basi naweza kuua na nikaungana pamoja na wauwaji wengine. Ushoga huku Afrika utasambaa kwa haraka kwan watu wao hawana tamadun au mila zao.
 
ukifuatilia sana ushoga jinsi ulivyo anza USA chanzo chake ni single parents.Kwetu hapa Tanzania ndio fashen sasa hivi chunguza malezi ya hao watoto na wale walioko ktk ndoa.
UZAO WANGU NA WA WATOTO WANGU KAMWE HAWA TAKUWA SEHEMU YA LAANA HII.

Amen
 
Sasa rais m7 kaweza, kupitisha hiyo sheria dhidi ya ushoga!!, swali ni jee mkuu wa kaya wetu ataweza kuupitsha hiyo sheria? Atakubali kumuudhi Obama?

hata tz ushoga ni haramu na ni kwa mujibu wa sheria.hata huko uganda tangia zamani ushoga ilikuwa haramu walichofanya sasa ni kuongeza adhabu
 
Sikonge umezungumza kwa kina mkuu. Kweli hili ni tatizo kubwa pasipo mikakati ya maana sijui kama tz au africa iko salama. Eee Mungu tuepushe na laana hii.
 
Last edited by a moderator:
ukifuatilia sana ushoga jinsi ulivyo anza USA chanzo chake ni single parents.Kwetu hapa Tanzania ndio fashen sasa hivi chunguza malezi ya hao watoto na wale walioko ktk ndoa.
UZAO WANGU NA WA WATOTO WANGU KAMWE HAWA TAKUWA SEHEMU YA LAANA HII.

Amen
Mkuu, ushoga ulianzia middle east, na ulikithiri enzi zile Sodoma ilivyoadhibiwa. Ukumbuke dunia haijawahi kusimama tangu ianze, yanayotendeka siku hizi yalikuwepo tangu awali. Au Sodoma walikuwa ni single parents? Au hakuna mashoga ambao wamelelewa na baba na mama?
Sababu za ushoga zipo nyingi mno. Kusimama kidete na kusema chanzo chake ni single parents pekee, inabidi utoe maelezo zaidi.
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom