Ushirikina USA, Europe na Asia

The Boss

JF-Expert Member
Aug 18, 2009
49,229
116,840
Mara nyingi zikiwekwa threads za ushirikina wa Africa, huwa tunakimbilia kuwaponda watu wa weusi kwa imani potofu za kishirikina kumbe hizi imani zipo all over the world.

Hii habari nimeitoa Yahoo, inaeleza imani za kishirina za mataifa mbali mbali
kwa wasafiri.

Mfano huko Nepal ndege ilikuwa mbovu ikatengenezwa na kuchinjiwa mbuzi wawili kwa kafara.

China hakuna ndege yenye row no 4, sababu no 4 kwao inafanana na kusema 'death row'
na kadhalika soma uone.


9 Crazy Travel Superstitions Around the World
 
mkuu ushirikina upo dunia nzima, ni kasumba tu ndizo zinazotusumbua kwamba mtu mweupe hawezi kufanya ujinga, yeye anafanya mazuri matupu kama malaika
 
Sasa nepal ndio ulaya? yaani hao watu wa nepal wapo primitive kuliko hata waafrika tofauti ni rangi tuu
 
Sasa nepal ndio ulaya? yaani hao watu wa nepal wapo primitive kuliko hata waafrika tofauti ni rangi tuu
Nimekuwekea link ukasome
imetajwa USA Irelan Italy Serbia na nchi nyiingi tu
 
Interesting Observation. Nilitembelea nchi fulani ya kiarabu hapo miaka ya nyuma, wenyeji wangu walikuwa na taratibu zao ambazo ziliniacha na maswali mengi kuhusu Imani n.k. Kwa mfano ilikuwa ukiingia au kutoka chooni ni lazima utangulize mguu wa kushoto. Pia ukiwa unatoka nyumbani kuelekea kwenye shughuli zako unatanguliza mguu wa kulia na kuna maneno ya lugha Yao unatamka.
 
mkuu ushirikina upo dunia nzima, ni kasumba tu ndizo zinazotusumbua kwamba mtu mweupe hawezi kufanya ujinga, yeye anafanya mazuri matupu kama malaika

Tofauti Ni Kwamba USHIRIKINA Wa Mzungu Ni Wa Kujenga au Kimaendeleo Zaidi ILA USHIRIKINA Wa Kiafrika Ni Wa Kushushana Tu Mishipa, Kupeana Tezi Dume Na Kugandishana Kilazima Viungo Mahiri Ila Korofi Vya Uzazi.
 
Sasa nepal ndio ulaya? yaani hao watu wa nepal wapo primitive kuliko hata waafrika tofauti ni rangi tuu

Na Wewe Acha UPOPOMA Si Amekutajia Hapo USA, EUROPE Na ASIA? Yaani Hujui Kuwa Nchi Ya Nepal Ipo ASIA? Halafu Ni Wapi Hapo Ktk UZI Wake Amesema ULAYA? Nyie Ndiyo Mtakaokuwa KIKWAZO Kikubwa Kwa Waziri Professor Joyce Ndalichako.
 
Hivi sijuagi tofauti ya uchawi na ushirikina,ni kitu kimoja au tofauti?
Kwa wanaojua msaada tafadhali,maana kuuliza ni wakati wa kwenda,
 
Hata Kwa makabila ya kwetu uchawi NA ushirikina wake unatofautiana....
 
Mkuu hizo ni imani potofu ila ushirikina as uchawi binafsi siamini kama upo. Imani potofu inaweza kuwa kuamini chochote kile na kama utaziweka kichwani hakika litakutokea (asemalo mjinga Ndo linalomtokea). In the USA kwenye elevators Hakuna number 13 hasa New York, hiyo ilikua zaidi miaka ya nyuma wakihusisha number hiyo na imani potofu ila bdae wakabadilika na inatumika kwa sehemu kubwa sasa.
 
Back
Top Bottom