Emmanuel180
JF-Expert Member
- Dec 17, 2019
- 342
- 626
Juzi nilikua nasafiri kuelekea iringa sehemu moja wilaya ya kilolo mji mdogo wa ilula sehemu moja inaitwa malendi
Ngoja nikurudiahe nyuma kidogo uchawi wa wahehe ni level ya SGR kuna mtu mmoja anaitwa kiyeyeu kila mtu ana jua historia yake, jamaa aliwahi kusimamisha umeme uliopita juu ya kaburi lake acha hio Tanroads walishindwa kabisa kuvunja kaburi lake lililokua ndani ya eneo la barabara walipolazimisha wali ng'atwa na nyuki mpaka dereva wa bulldozer akafa
Achana na hiii story kwenye mizunguko yangu nikakuta huku malendi mahali ambako previous kabla ya mwendazake hajaenda kulikua kijijini ambako hakuna maji wala umeme lakini miaka mi 5 tu ya mwenda zake umebadilisha kabisa mazingira ya sehemu hii ya malendi ilula kuna maji umeme wa uhakika
Sasa kilichonishangaza kuna bomba za kijiji mwanzo zilikua zinatoa maji zoote vizuri kabisa lakini kuna bomba moja ambayo ki Jiografia iko mahali ambapo ni pazuri zaidi mliman kwenye mteremko haitoi maji lakini zile zingine zoote za karibu zinatoa mapaka za mbali huko
Nilipouliza wakanambia kuna mtu alioga maji yale
Nikastaaajabu nikauliza tena kwaio kama alioga maji hapa na kukatika yasitoke kuna uhusiano gani hapaa, wakanijibu huyo mtu ni mama ni mwanga pale kulikua na ugomvi mmoja alikua akikinga maji ndoo nyingi sasa mmoja huyo akakasirika wakaona kama vile wale wa karibu wanafaidi maji wakaoga yakakatika walioga uchi sasa watu wa idara ya maji walikuja kuchunguza wakasema pale hakuna tatizo lolote mpira haujaziba wala nini lakini kunaonekana kuna mambo hawayaelewi