Ndata
JF-Expert Member
- Mar 2, 2017
- 226
- 321
Yericko Nyerere alama ya imani ndani ya CHADEMA
Kama ukitaka kuongelea imani ya vyama, kuheshimu na kupigania vyama basi kwa Tanzania jina Yericko Nyerere lazima liwe la kwanza.
Sifahamu nafasi yake ndani ya CHADEMA ila nadiriki kusema ni nembo imara ndani ya Chama. Ni mlinzi mtiifu wa misingi, imani na viongozi wa chama kuliko vijana wengine wengi tuu.
Yericko hataki kupepesa macho juu ya uhuni wa Zitto, Yericko anafahamu ujanja ujanja wa Zitto na anafahamu malengo ya Zitto ni kuhakikisha Chadema inapasuka vipande vipande.
Yericko anafahamu fika chuki ya Zitto kwa Chadema bado ni kubwa na bado inaishi.
Rejea miezi kadhaa nyuma Yericko alipouamsha Umma kwa taarifa za Afisa habari wa ACT kuwa muhariri mkuu wa Jamvi la habari gazeti linalofadhiliwa na dola kupambana na Chadema.
Ni chini ya Uhariri wa Abdallah Hamis Mbowe alionekana kaiongopea mahakama na kuishia kukaa gerezani kwa miezi kadhaa.
Leo Yericko anakuja na madai muhimu sana, vijana wa Zitto wanaanza kumuandikia propaganda uchwara.
Zitto anataka kutumia ugonjwa na masaibu yaliyopata Lissu kusababisha mpasuko ndani ya Chadema. Hili Jasusi Yericko kaliona.
Rejea Makala za Speaker ya Zitto Ado Shaibu week hizi mbili. Amejikita kuongelea zaidi Zitto na Lissu na sio ACT na Chadema. Hapa unaona kabisa target yao ni Lissu na sio ushirikiano wa vyama.
Zitto kavuka mipaka na kuutaarifu umma wapinzani wa kweli Tanzania ni wawili tuu na mmoja wao ni Lissu, Maana yake Mbowe, Lema, Mnyika, Mdee na wengine wengi waliopigana na kupambana kwa muda sasa wasiaminiwe kabisa na wananchi maana ni wana Ccm walojivika ngozi ya upinzani.
Kwanni tusikubaliane na Yericko kwamba Zitto yupo kwa ajili ya mission maalum na zaidi ni kuifuta kabisa Chadema.
Cwu Tanzania