Ushirikiano wa CHADEMA NA CHRISTIAN DEMOCRATIC UNION(CDU)unatia mashaka!!!

in and out

Member
Jun 30, 2011
69
6
cdu ni chama cha siasa kinachoongoza nchini ujerumani chenye mlengo wa kustawisha na kuwaunganisha wakristo nchini ujerumani, sheria ya vyama vya siasa inakataza inazuia kuwa na vyama vya kidini nchini kwetu kwa ujerumani sheria imeruhusu, chama cha democrasia na maendeleo kinashutumiwa kwa kuwa na mrengo wa kidini, leo chadema wanashirikiana na cdu hamuoni kwamba cdm imeamua kujivua gamba? na malengo kamili ya chama hicho yameonekana? kwa hili naomba msajili wa vyama aliangalie, ipo siku kikatokea chama kikafanya urafiki na muslim brotherhood hamuoni kwamba tutaigawa nchi mapande mapande???????......,
 
Hizi thread za aina hii ni zakuzipotezea tuu,Ujerumani leo hii ni nchi pekee Europe ambayo ina idadi kubwa ya waturuki ambao wote ni waislamu wananeemeka hawataki hata kurudi kwao na kwa sasa wanaongozwa na chancellor kutoka CDU - Peleke ujinga wako huko
 
Mbona CCM pia wamepeleka vijana wao kwenye mafunzo yanayoendelea Ujerumani ambayo Chadema imewakilishwa na Heche? Wangekataa mwaliko huo tungekuelewa. Hta serikali yenyewe inafadhiliwa na Serikali ya Ujerumani chini ya CDU, na Juzi wameahidi kusaidia ujenzi wa Makao mkauu ya EAC. Nchi kama Sweden na Finland ambazo ndio wafadhili wakuu wa Tanzania pia zina mrengo wa Kikristo. Mbona hatujaona mnalalamika kwa hili?
 
cdu ni chama cha siasa kinachoongoza nchini ujerumani chenye mlengo wa kustawisha na kuwaunganisha wakristo nchini ujerumani, sheria ya vyama vya siasa inakataza inazuia kuwa na vyama vya kidini nchini kwetu kwa ujerumani sheria imeruhusu, chama cha democrasia na maendeleo kinashutumiwa kwa kuwa na mrengo wa kidini, leo chadema wanashirikiana na cdu hamuoni kwamba cdm imeamua kujivua gamba? na malengo kamili ya chama hicho yameonekana? kwa hili naomba msajili wa vyama aliangalie, ipo siku kikatokea chama kikafanya urafiki na muslim brotherhood hamuoni kwamba tutaigawa nchi mapande mapande???????......,

Na ccm kinashirikiana kwa karibu sana na chama cha kikomunisti cha China. Kwa hili naomba msajili wa vyama aliangalie maana iko hatari kuwa na sera za dini ya kibusti. Hii itagawa nchi mapande. hatari!
 
CCM wana urafiki na chama cha ki Koministi cha China na Urusi pia Cuba.
Istoshe ina uhusiano na vyama vingi vya ki-Islamu je unaweza kudhibitisha kuwa Tanzania ni ya Kikoministi au ni ya ki -Islamu????
 
Umejiunga leo? Mboa tushaliongelea hilo na mwisho ilibainika kuwa wadadisi wengi juu ya hili ni magamba? Vp na we ni magamba?
 
Na nyie CUF si mkatafute ushirikiano na Hamas... Vile visu alivyotuonyesha IGP Mahita kabla ya uchaguzi wa mwaka 2000 vyenye nembo na rangi ya CUF ni ushahidi tosha kuwa mna uhusiano na maghaidi wa kiislam kama AL Quaeda ilifaa chama chenu kifutwe toka wakati huo. Bahati yenu mmeolewa na CCM
 
  • Thanks
Reactions: LAT
cdu ni chama cha siasa kinachoongoza nchini ujerumani chenye mlengo wa kustawisha na kuwaunganisha wakristo nchini ujerumani, sheria ya vyama vya siasa inakataza inazuia kuwa na vyama vya kidini nchini kwetu kwa ujerumani sheria imeruhusu, chama cha democrasia na maendeleo kinashutumiwa kwa kuwa na mrengo wa kidini, leo chadema wanashirikiana na cdu hamuoni kwamba cdm imeamua kujivua gamba? na malengo kamili ya chama hicho yameonekana? kwa hili naomba msajili wa vyama aliangalie, ipo siku kikatokea chama kikafanya urafiki na muslim brotherhood hamuoni kwamba tutaigawa nchi mapande mapande???????......,
Hebu kwanza tufahamiane na mtu huyu;

Join Date : 30th June 2011

Posts : 4
Rep Power : 0

Sasa, hapa JF utajifunza mengi kama utaruhusu ubongo wako kuwa na nafasi. usijijaze na mambo ya kanisani, msikitini, mtaani, nk. ukakosa pa kuweka mambo mapya.

Kuna mtu kakueleza ni jinsi gani Waturuki wanavyofaidi huko Ujerumani na hivi karibuni CDU imetetea kwa nguvu uanzishaji wa shule zinazotoa elimu ya dini ya kiislamu nchini Ujerumani.

Mtoa mada hajui jinsi dini inavyoendeshwa ktk nchi za ulaya na hasa u-kristu wa Ulaya. Ukristu wa ulaya, na hasa ule mkongwe (ukiachilia madhehebu yanayozuka sasa hivi) ulisha achana na mambo uliyonayo kichwani. Ndo maana kuna University za kikristu lakini hata musaudi- Arabia anaweza kusoma bila shida.

Wenye matatizo ulaya ni Uislamu na madhehebu ya kikristu yanayozuka sasa hivi maana wanahangaika sana kutafuta utambulisho.

Naona unahitaji elimu kubwa zaidi ya hapa. Soma kidogo.
 
kama hauna cha kupost tembelea majukwaa mengine, utakutana na thread nyingi sana zinazotoa elimu na hata vichekesho
 
Since when is co-operation or even being a friend to a Christian a criminal offense? This is not even promoting secularism but criminalization of Christianity! Of recent, there are some fundamentalist Muslims in JF, who just believe being a Christian or even co-operating with a Christian is a criminal offense! Well, this kind of perversity shouldn't be condoned. It is inferiority complex and insensitivity to the Christians and intolerance that should be out-rooted. Such cheap politics shows how CCM is sustained with feeble minds!
 
LATIFA,He who fights with a wall will only hurt his hand...

your urguments are always stinking rot .... even a pit latrine worth more than your arguments ...

JF siyo ya wajinga ... eti umekuja na ID nyingine kutuletea upupu huu

nyinyi ndiyo mnaaribu image ya JF kwa kuingiza mambo ya upuuzi kama haya
 
Chadema sawa kushirikiana vyama vya kikriso wengi na waislam mnawaita magaidi!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Kitu nnachokiona hapa JF wengi waliotumwa humu wana uelewa finyu na upeo mdogo wa mambo wanachokoza tu kuona upande mwingine utajibu nini ili wapate kuharibu matokeo yake upande wa pili wamekamilika kama viongozi wao.
 
cdu ni chama cha siasa kinachoongoza nchini ujerumani chenye mlengo wa kustawisha na kuwaunganisha wakristo nchini ujerumani, sheria ya vyama vya siasa inakataza inazuia kuwa na vyama vya kidini nchini kwetu kwa ujerumani sheria imeruhusu, chama cha democrasia na maendeleo kinashutumiwa kwa kuwa na mrengo wa kidini, leo chadema wanashirikiana na cdu hamuoni kwamba cdm imeamua kujivua gamba? na malengo kamili ya chama hicho yameonekana? kwa hili naomba msajili wa vyama aliangalie, ipo siku kikatokea chama kikafanya urafiki na muslim brotherhood hamuoni kwamba tutaigawa nchi mapande mapande???????......,

Crap comes from crap mind.
 
your urguments are always stinking rot .... even a pit latrine worth more than your arguments ... JF siyo ya wajinga ... eti umekuja na ID nyingine kutuletea upupu huu nyinyi ndiyo mnaaribu image ya JF kwa kuingiza mambo ya upuuzi kama haya
Ahahaha! Naona mzimu wa Ritz unazidi kukutafuna mpaka unaweseseka hovyo, Ritz ni Hostile kwa Pro-CDM-JF, ID yangu inatosha kupambana na Pro-CDM-JF, wote.LATIFA, the remedy of fire is fire!
 
Lakini hii chama cha CDU kimetoa mashrti gani amabyo serikali ya CCM chini ya kikwete ikakubali mpaka wakachangia bajeti yetu.

Kama tuko fair basi tusiishie kuhoji Urafiki wa CDM na CDU tuhoji zaidi urafiki wa Tanzania hii ya CCM na germany inayoongozwa na CDU.

Leteni MOU basi tuone
  • kuwa misaada yao wamesema ijennge makanisa
  • Isitumike kwenye maeneo yenye waislam wengi
 
Back
Top Bottom