Ushiriki wa JK kampeni za Igunga

Gamba Jipya

JF-Expert Member
Apr 16, 2011
401
80
Tumeona wenyekiti wa vyama vyenye ushawishi mkubwa vya CDM na CUF kupeleka wenyeviti wao katika kampeni za ubunge jimbo la Igunga zinazoendelea hivi sasa.

Kutokana na tathmini na taarifa kadhaa za kiutafiti imebainika kuwa vyama vyenye ushawishi mkubwa jimboni hapo ni CCM na CDM na ijulikane kuwa mnano tarehe 25 ya mwezi huu CDM wanampango wa kuingiza silaha zao za mwisho za maangamizo kama vile, Sugu,Wenje,Mnyika,Mdee,Kiwia,Lema n.k hawa ni watu wenye ushawishi mkubwa sana kwa vijana kitu ambacho CCM hatuna vijana wenye ushawishi wa kiasi hiki,

Je ni wakati muafaka sasa wa mwenyekiti wetu ambaye ni mtu mwenye ushawishi mkubwa kwa vijana na wazee kuingia Igunga na kumalizia mashambulizi, wasawasi wangu ni pale matokeo ya uchaguzi yakaonekana tumeangushwa je umaarufu wa mwenyekiti wetu na chama kwa ujumla utakuwa kwenye hali gani.

Je ni wakati muhimu sasa wa kuomba nguvu za mwenyekiti?
 
Hata saidia. Siku hizi hana mvuto, hana ushawishi.
 
Mwenyekiti wenu anajua kuwa hakushinda uchaguzi wa 2010. Self confidence imemwishia kabisa. Nitashangaa akitinga Igunga.
 
Mkuu mwenyekiti ndio kwanza kenda za New York kujipoza...Mwenzake Karzai wa Afghanstan karudi nyumbani baada ya rais wa zamani kuuawa, kaahirisha kabisa mkutano wa UN hali JK watu zaidi ya 1000 wamekufa maji hakwenda hata Pemba kuwapa pole kaishia Unguja mara huyooo New York - siku ya maombolezi Pemba katuma wajumbe.
 
Hata saidia. Siku hizi hana mvuto, hana ushawishi.
Kikwete ni mjanja sana kitu chochote ambacho anaamini ataumbuka hagusi, kwa mfano wakati alipoombwa ashiriki midaharo wakati wa kampeni za uchaguzi mkuu alikataa katakata kwasababu anaufahamu uwezo wake vizuri sana tena tokea anasoma chuo, yanini akubali kutwangwa maswali na watu ambao anaamini kabisa wako juu sana kifikra si ni kujiumbua tuu? Kwasasa kikwete anaweza kuwa ni Rais asiye na mvuto kuliko Rais yeyote kwa Africa unategemea anaweza kujitokeza mbele za watu kumnadi mtu? au unadhani chama kilikosea kumtuma Mkapa aende Igunga.
 
Nape mwenyewe anawapelekesha mputa huyo mwenyekiti si atawainamisha magwanda kabisa
 
Mkuu mwenyekiti ndio kwanza kenda za New York kujipoza...Mwenzake Karzai wa Afghanstan karudi nyumbani baada ya rais wa zamani kuuawa, kaahirisha kabisa mkutano wa UN hali JK watu zaidi ya 1000 wamekufa maji hakwenda hata Pemba kuwapa pole kaishia Unguja mara huyooo New York - siku ya maombolezi Pemba katuma wajumbe.

nasikia ana hisa kwenye meli ile kam sio return kutokana na biashara za meli ile
 
SAMAHANI WANDUGU
HIVI NI KWELI MKEE WA rz 1 KAPEWA MKOPO NA BODI YA MIKOPO YA MAVYUO KUSOMA SHAHADA YA MAHUSIANO????????????
 
Tumeona wenyekiti wa vyama vyenye ushawishi mkubwa vya CDM na CUF kupeleka wenyeviti wao katika kampeni za ubunge jimbo la Igunga zinazoendelea hivi sasa.

Kutokana na tathmini na taarifa kadhaa za kiutafiti imebainika kuwa vyama vyenye ushawishi mkubwa jimboni hapo ni CCM na CDM na ijulikane kuwa mnano tarehe 25 ya mwezi huu CDM wanampango wa kuingiza silaha zao za mwisho za maangamizo kama vile, Sugu,Wenje,Mnyika,Mdee,Kiwia,Lema n.k hawa ni watu wenye ushawishi mkubwa sana kwa vijana kitu ambacho CCM hatuna vijana wenye ushawishi wa kiasi hiki,

Je ni wakati muafaka sasa wa mwenyekiti wetu ambaye ni mtu mwenye ushawishi mkubwa kwa vijana na wazee kuingia Igunga na kumalizia mashambulizi, wasawasi wangu ni pale matokeo ya uchaguzi yakaonekana tumeangushwa je umaarufu wa mwenyekiti wetu na chama kwa ujumla utakuwa kwenye hali gani.

Je ni wakati muhimu sasa wa kuomba nguvu za mwenyekiti?

Kuomba nguvu gani: Labda nguvu za giza. Oh! nimesahau kidogo lakini nguvu hiyo iliisha-expire maana nabii wake shehe 'hayahaya' alishajisalimisha kwa mola wake.

Kama ni mwenyekiti sijui ni kiti gani, maana yeye hana muda wa kukikalia anazunguka juu juu kama mbayuwayu.
Ushawishi wake wa ahadi lukuki zisizotekelezeka kuanzia 2005 watu walishamstukia.
 
Je ni wakati muafaka sasa wa mwenyekiti wetu ambaye ni mtu mwenye ushawishi mkubwa kwa vijana na wazee kuingia Igunga na kumalizia mashambulizi, wasiwasi wangu ni pale matokeo ya uchaguzi yakaonekana tumeangushwa je umaarufu wa mwenyekiti wetu na chama kwa ujumla utakuwa kwenye hali gani.

Je ni wakati muhimu sasa wa kuomba nguvu za mwenyekiti?

Hapo kwenye RED ndipo panaponitia wasiwasi mkubwa...
Nadhani utakuwa umetumia tafiti zilizomuingiza Mukama
kwenye nafasi aliyopo sasa ya Ukatibu Mkuu!...
 
Anaogopa kuanguka jukwaani hivi sasa ule ugonjwa umerudi kwa kasi ya ajabu,akiona watu wengi anaanguka.
 
naona kitu kwenye thread yako ambacho labda na nyie wote mnakiona, its time(katiba mpya kama kweli itakuwepo), raisi asiwe mwenyekiti wa chama. sasa kampeni tena wakati huo umeme bado haujashughulikiwa? nitapata wasiwasi kama raisi wangu ataacha majukumu ya msingi na kumpigia kampeni mgombea ambae kura yake haibatilishi wingi wa zile ndiyooooooooo bungeni, atlest kwa izo four years
 
JK anaweza kwenda Igunga kwa sababu ni mwoga sana mbele ya mafisadi. Watamtisha kwa kuleta tena ule mkakati wa kutenganisha kofia. Ata-capitulate tu. Mtaona.
 
JK akienda Igunga, basi Kamanda Marando naye apelekwe ili akamfinyange vizuri katika ufisadi wa EPA. JK atajuta sana.
 
Back
Top Bottom