Gamba Jipya
JF-Expert Member
- Apr 16, 2011
- 401
- 80
Tumeona wenyekiti wa vyama vyenye ushawishi mkubwa vya CDM na CUF kupeleka wenyeviti wao katika kampeni za ubunge jimbo la Igunga zinazoendelea hivi sasa.
Kutokana na tathmini na taarifa kadhaa za kiutafiti imebainika kuwa vyama vyenye ushawishi mkubwa jimboni hapo ni CCM na CDM na ijulikane kuwa mnano tarehe 25 ya mwezi huu CDM wanampango wa kuingiza silaha zao za mwisho za maangamizo kama vile, Sugu,Wenje,Mnyika,Mdee,Kiwia,Lema n.k hawa ni watu wenye ushawishi mkubwa sana kwa vijana kitu ambacho CCM hatuna vijana wenye ushawishi wa kiasi hiki,
Je ni wakati muafaka sasa wa mwenyekiti wetu ambaye ni mtu mwenye ushawishi mkubwa kwa vijana na wazee kuingia Igunga na kumalizia mashambulizi, wasawasi wangu ni pale matokeo ya uchaguzi yakaonekana tumeangushwa je umaarufu wa mwenyekiti wetu na chama kwa ujumla utakuwa kwenye hali gani.
Je ni wakati muhimu sasa wa kuomba nguvu za mwenyekiti?