Ushiriki wa ACT-Wazalendo kwenye zoezi la uokoaji katika ajali ya MV Nyerere

kwanini usiwe na interest na ccm ambacho huwa kinakwapua rambirambi za misiba?
Today my interest is ACT and we are going to use it as a model for other political parties and politicians respond and react in a standardized way during disasters.
 
hii ID unaweza kuwa ulichagua kama mzaha fulani

ila kila nifwatiliapo mada zako napata picha kuwa hili jina haukuchagua mwenyewe bali watu waloyaona matendo yako ya kila siku
 
Mambo ya kuuawa yanatoka wapi mkuu?
Wakati unaikosoa Serikali iliyokuwa inahangaika kuokoa wewe umefanya nini kwa ajili ya wahanga?
Usiseme serikali inahangaika.
Serikali inatimiza wajibu wake, mimi wajibu wangu ni kulipa kodi na kusaidia pale ninapoweza.

Mtanzania mwenye akili timamu huwezi kuhoji eti ACT wazalendo au Chadema imefanya nini kuokoa watu.

Kwanza kwa siasa za kitanzania hawataruhusiwa hata kama watakua na wataalamu wa hizo fani, lakini pia jambo linalohitaji uharaka kama ajali sio vema kuingiza siasa ndio maana watu walitarajia kuona jeshi likiingia kazini kufanya kazi usiku na mchana.

Zitto ataendelea kukosoa, ataendelea kuhoji maana ndio wajibu wake kama mbunge wa chama cha upinzani.

Mkiona upinzani ni kero badilisheni katiba, mkifuta vyama pinzani mjue wananchi tutaibuka na upinzani kutoka moyoni sio kwenye vyama tena.
Ndio maana mwanzo nikakwambia mkiona tunawasumbua just piga risasi sisi wote ili mbaki wenyewe.
 
Wacha Serikali na wananchi wazalendo watimize wajibu wao...upo muda na mahala muafaka kwa kuhoji ufanisi,changamoto,uzembe,mkwamo juu ya zoezi zima la kupambana na janga hili.
Watu wanapokuwa field kwenye uokozi halafu wewe uko Dar unatweet kusaka kiki badala ya kuwa field utoe ushauri wako na uzoefu wako basi hapo tutakuona ni mtu mpuuzi na katili sana kwa wanadamu wenzio.
 
Wewe uko wapi sasahivi?

Acha kuandika ujinga kwa kigezo cha kutetea chama kinachokuweka mjini.
Ni upuuzi mkubwa mamlaka kusema ilishindwa kuendelea na kazi kwakua giza lilizidi.
Karne ya 21 tunamiliki jeshi imara, ndege za mabilioni alafu anatoka mpumba.vu mmoja anasema shughuli ya uokoaji imesimama kwa sababu ya giza, hivi unajua kwamba ukiwa ndani ya maji inachukua muda mfupi kufa?

Sasa kumuacha mtu ambaye alikua anatapa tapa usiku mzima unategemea ukirudi asubuhi utakuta yuko hai au atakua kashakufa?

Hiki ndicho kilichotukera wengi, hatubezi serikali kutimiza majukumu yake, tunakosoa utendaji wake.
Nina hakika kama shughuli ya uokoaji ingeendelea usiku ule basi idadi ya watu waliokufa ingepungua, hii ndio hoja tunalalamikia.
 
Sijatetea chama chochote kwenye andiko langu ila nilitaka kupata approach ya ACT na kiongozi wao katika kudeal na hii emergency scenario kama chama na sehemu ya watanzania...kulalamika wakati watu wanatapatapa kwenye maji ni upuuzi wa kiwango kikubwa sana.
Kuwa bingwa wa kutweet wakati watu wanakufa maji ni umburula unaotakiwa kukomeshwa.
 
Kwahiyo watu wasiokuwepo eneo la tukio awana haki ya kusema? uzembe lazima usemwe kama umeonekana dhahiri
 
Ukitoa mambo ya vyama, kikubwa kama Taifa ni kuwa na kujiandaa kwa majanga ya asili na hicho kivuko/meli iliishapigiwa sana kelele kwamba inaweza pata tatizo na tambua serikali iliyopo madarakani inatokana na chama sasa hauwezi kukwepesha lawama kwa chama hicho ndo kimeshika serikali
 
Today my interest is ACT and we are going to use it as a model for other political parties and politicians respond and react in a standardized way during disasters.
Lugha ya kiingereza ni tatizo kuanzia mwenyekiti wa chama cha kijani hadi misukule uvccm.
 
Ukitoa mambo ya vyama, kikubwa kama Taifa ni kuwa na kujiandaa kwa majanga ya asili na hicho kivuko/meli iliishapigiwa sana kelele kwamba inaweza pata tatizo na tambua serikali iliyopo madarakani inatokana na chama sasa hauwezi kukwepesha lawama kwa chama hicho ndo kimeshika serikali
Kelele zilizopigwa kuhusu kivuko hiko ni zipi na Serikali haikutimiza wajibu kwenye kujibu hiyo kero?Yapo maeneo ya kulaumu na kuyanyooshea kidole lakini tufanye hivyo kwa haki na kweli.
 
Back
Top Bottom