Ushindi wa upanga ni msingi wa uongozi dhaifu na wa upanga maana aliyeshinda anajua alishinda kwa hila si kwa haki.

mr mkiki

JF-Expert Member
Sep 22, 2016
5,583
11,659
Kwa nini mtu ajikune bila kuwashwawashwa?

Watanzania! Tumefanikiwa sana kupinga nguvu ya ukabila na udini mpaka ikashindwa kutugawa. Sasa tupinge na kukataa sumu ya uchama inayotaka kupenya ili kutugawanya.

Ni takriban miezi 35 kabla ya uchaguzi mkuu ujao hapo Oktoba 2020. Twajua CCM wanajipanga vipi kuhusu uchaguzi huo. Je wapinzani wanafanya japo kuangalia kalenda tu kutambua wamebakiwa na muda gani kama kweli wanataka kuing'oa CCM madarakani? Reminder: anger is not a strategy

mr mkiki.
 
Tuliyoshuhudia uchaguzi mdogo wa madiwani yanasikitisha na kuchekesha, Bado safari ndefu sana!
DPpKZy5XUAASFEx.jpg
 
Back
Top Bottom