Ushindi wa taifa star, je ni matunda ya maximo au paulsen?

Taifa Staaz imeshinda lini? wapi? kwenye kombe gani?:teeth:

Tanganyika ikiwakilishwa na Kili Staaz ndo walioshinda CECAFA Senior Challenge Cup 2010.

Maximo katusaidia kutengeneza mazingira
 
Ushindi wa Kilimanjaro Stars ni matunda ya Jakaya Mrisho Kikwete. Bila yeye, leo tusingemuona Maximo wala Paulsen
 
Ushindi wa Tanganyika Stars ni matunda yaliyosababishwa na maximo kwani kwa kawaida timu huandaliwa zaidi hata ya miaka 5 huu ushindi ni wazi kuwa maximo anamchango wake mkubwa kwa timu hiyo ya Tanganyika
 
MIMI NAAMINI NI MATUNDA YA MOJA KWA MOJA YA PAULSEN KWANI KITENDO CHAKE CHA KUTURUDISHIA KASEJA KIMESAIDIA NA KASEJA AMEPROVE HILO KWA KUWA KIPA BORA WA MASHINDANO, MAANA SOMETIMES TULIKUWA TUNAFUNGWA SABABU YA UPUUZI WAKE WA KUMCHUKIA BILA SABABU KASEJA,

PILI , PAULSEN AMEJENGA TIMU INAYOTUMIA NGUVU ZAIDI KULIKO ILE YA MAXIMO NA VIJANA WANAJITUMA ZAIDI

TATU, PAULSEN ANABADILIKA MECHI HADI MECHI, KINA MWAIKIMBA, BANKA NA WENGINEO WALIPOKUWA WAKICHEMSHA ANAWAPOTEZEa wakati maximo alkuwa analea wachezaji mizigo mpaka mashabiki wanachukia
 
Hatuwezi pinga kuwa msingi wa Maximo ndo umetufikisha apa.
Uzuri wa uyu Paulsen ni kuwa yuko flexible ila Maximo ni very conservative
 
Bila mximo tungekuwa wehu till today, Amejenga confidence and every thing. Paulsen anaeendeleza pale pa Maximo
 
Ushindi wa Kilimanjaro Stars ni matunda ya Jakaya Mrisho Kikwete. Bila yeye, leo tusingemuona Maximo wala Paulsen

Kiwete anafaa awe waziri wa michezo... urais Dr. Peter W.S

Maximo mi huyu mzee hata simuamini... hata ushindi wenyewe ni wa kupikwa
 
Back
Top Bottom